Kwa maana akiachiwa atakuwa mwiba kwa SamiaAmna kitu ACT baba mlezi ni master mind ana kitu

Mpina ni mvunjaji mzuri wa katiba ya vyama.Tukimpa nchi atavunja katiba ya nchi.Ndiomaana CCM wamekukataaWaswahili husema mwanzo wa ngoma ni lele na ukisikia zindindi, zinduna haziko mbali.
Hadithi ya secretariat ya CHADEMA kutimuliwa ilianza na barua ya kada wao ndugu Mchome. Kadhalika hadithi ya CHADEMA kuzuiwa kufanya shughuli za siasa ilianza na mashtaka yaliyofunguliwa na Said Issa Mohamed, Ahmed Rashid Khamis, na Maulida Anna Komu ambao ni makada wao.
Uzoefu huu unatufundisha jambo moja, kauli za huyu Monalisa Ndala kada wa ACT Wazalenda, zaweza kuwa na kishindo kikuu. Binafsi sitashangaa kusikia kuwa mpina ameondolewa na Tume kwenye kinyang'anyiro cha urais.
View attachment 3444277
KOSA kubwa la ACT ni kumfukuza yule mwanachama wao uwanachama wa ACTWaswahili husema mwanzo wa ngoma ni lele na ukisikia zindindi, zinduna haziko mbali.
Hadithi ya secretariat ya CHADEMA kutimuliwa ilianza na barua ya kada wao ndugu Mchome. Kadhalika hadithi ya CHADEMA kuzuiwa kufanya shughuli za siasa ilianza na mashtaka yaliyofunguliwa na Said Issa Mohamed, Ahmed Rashid Khamis, na Maulida Anna Komu ambao ni makada wao.
Uzoefu huu unatufundisha jambo moja, kauli za huyu Monalisa Ndala kada wa ACT Wazalenda, zaweza kuwa na kishindo kikuu. Binafsi sitashangaa kusikia kuwa mpina ameondolewa na Tume kwenye kinyang'anyiro cha urais.
View attachment 3444277
Ccm ndo baba lao, Samia alichukua lini fomu ya kugombea urais kupitia ccm?Mpina ni mvunjaji mzuri wa katiba ya vyama.Tukimpa nchi atavunja katiba ya nchi.Ndiomaana CCM wamekukataa
Chura hataki challengeWaswahili husema mwanzo wa ngoma ni lele na ukisikia zindindi, zinduna haziko mbali.
Hadithi ya secretariat ya CHADEMA kutimuliwa ilianza na barua ya kada wao ndugu Mchome. Kadhalika hadithi ya CHADEMA kuzuiwa kufanya shughuli za siasa ilianza na mashtaka yaliyofunguliwa na Said Issa Mohamed, Ahmed Rashid Khamis, na Maulida Anna Komu ambao ni makada wao.
Uzoefu huu unatufundisha jambo moja, kauli za huyu Monalisa Ndala kada wa ACT Wazalenda, zaweza kuwa na kishindo kikuu. Binafsi sitashangaa kusikia kuwa mpina ameondolewa na Tume kwenye kinyang'anyiro cha urais.
View attachment 3444277
Asipoondolewa nitashangaa kwa jinsi anavyobagaza viongozi wa Chama na Serikali hawezi kuvumiliwa.Waswahili husema mwanzo wa ngoma ni lele na ukisikia zindindi, zinduna haziko mbali.
Hadithi ya secretariat ya CHADEMA kutimuliwa ilianza na barua ya kada wao ndugu Mchome. Kadhalika hadithi ya CHADEMA kuzuiwa kufanya shughuli za siasa ilianza na mashtaka yaliyofunguliwa na Said Issa Mohamed, Ahmed Rashid Khamis, na Maulida Anna Komu ambao ni makada wao.
Uzoefu huu unatufundisha jambo moja, kauli za huyu Monalisa Ndala kada wa ACT Wazalenda, zaweza kuwa na kishindo kikuu. Binafsi sitashangaa kusikia kuwa mpina ameondolewa na Tume kwenye kinyang'anyiro cha urais.
View attachment 3444277
ACT ni ccm,mpina ni CCM .chadema haina siasa za kubembelezanaKulala kituo cha polisi ni dalili ya kutojielewa na kutoelewa sheria, siasa za nchi hii zinahitaji akili sio jazba na mihemko, jazba na mihemko ndio anayomponza Lisu na wapinzani wengine wenye kutaka sifa. Act ni watu wanaoijia mchezo ndio maana hukuti wakiongea ujinga utakao waponza. Kulala polisi sio sifa.
sifa za kijinga zinawapoteza Chadema, Rip Mdude.
Labda nyie wanachama wa ACT ndio mjiandae, sisi wengine haituhusu!Waswahili husema mwanzo wa ngoma ni lele na ukisikia zindindi, zinduna haziko mbali.
Hadithi ya secretariat ya CHADEMA kutimuliwa ilianza na barua ya kada wao ndugu Mchome. Kadhalika hadithi ya CHADEMA kuzuiwa kufanya shughuli za siasa ilianza na mashtaka yaliyofunguliwa na Said Issa Mohamed, Ahmed Rashid Khamis, na Maulida Anna Komu ambao ni makada wao.
Uzoefu huu unatufundisha jambo moja, kauli za huyu Monalisa Ndala kada wa ACT Wazalenda, zaweza kuwa na kishindo kikuu. Binafsi sitashangaa kusikia kuwa mpina ameondolewa na Tume kwenye kinyang'anyiro cha urais.
View attachment 3444277
Mana mara ya mwisho kule kusini bwana Mwepesi walisema kakamatwa lakini ghafla usiku wa manane akaachiwa kwakua hawa sio target ni sehemu yao 🤣🤣🤣Unaweza kutukumbisha kiongozi yyte wa ACT Aliyewahi japo kulala kituo cha POLISI ???