Mkapa alishawahi kumfungulia MREMA cases 16 tofauti pale mahakama ya kisutu . Tuseme mrema alikuwa lisu?
Lipumba alishawahi kuvunjwa mkono pale zakhem mbagala naye alikuwa lisu?
Mtikila je? Siasa za jaziba ni zipi hizo?
Makala alitangazia dunia kwamba michango ya wana chadema ni kwa ajili ya kununulia mpox na ebola. Uliwahi kusikia karipio lolote?
Akitoa singasinga kuchangia ccm ni harambee na inakubalika wakichangia wengine Takukuru inahusika? Ndiyo sawa h8yo? Akichangia GSM sawa. Wakichangia chadema wanaenda kununua VIRUSI?