Dr Adam Francis
JF-Expert Member
- Aug 12, 2011
- 790
- 1,316
Kulala kituo cha polisi ni dalili ya kutojielewa na kutoelewa sheria, siasa za nchi hii zinahitaji akili sio jazba na mihemko, jazba na mihemko ndio anayomponza Lisu na wapinzani wengine wenye kutaka sifa. Act ni watu wanaoijia mchezo ndio maana hukuti wakiongea ujinga utakao waponza. Kulala polisi sio sifa.Unaweza kutukumbisha kiongozi yyte wa ACT Aliyewahi japo kulala kituo cha POLISI ???
Haitatokea, kwasababu mkorogo mbaya zaidi uko kwenye uteuzi wa Chura Kiziwi.Waswahili husema mwanzo wa ngoma ni lele na ukisikia zindindi, zinduna haziko mbali.
Hadithi ya secretariat ya CHADEMA kutimuliwa ilianza na barua ya kada wao ndugu Mchome. Kadhalika hadithi ya CHADEMA kuzuiwa kufanya shughuli za siasa ilianza na mashtaka yaliyofunguliwa na Said Issa Mohamed, Ahmed Rashid Khamis, na Maulida Anna Komu ambao ni makada wao.
Uzoefu huu unatufundisha jambo moja, kauli za huyu Monalisa Ndala kada wa ACT Wazalenda, zaweza kuwa na kishindo kikuu. Binafsi sitashangaa kusikia kuwa mpina ameondolewa na Tume kwenye kinyang'anyiro cha urais.
View attachment 3444277
Mkapa alishawahi kumfungulia MREMA cases 16 tofauti pale mahakama ya kisutu . Tuseme mrema alikuwa lisu?Kulala kituo cha polisi ni dalili ya kutojielewa na kutoelewa sheria, siasa za nchi hii zinahitaji akili sio jazba na mihemko, jazba na mihemko ndio anayomponza Lisu na wapinzani wengine wenye kutaka sifa. Act ni watu wanaoijia mchezo ndio maana hukuti wakiongea ujinga utakao waponza. Kulala polisi sio sifa.
sifa za kijinga zinawapoteza Chadema, Rip Mdude.
Wewe ni mpumbavu kabisaKulala kituo cha polisi ni dalili ya kutojielewa na kutoelewa sheria, siasa za nchi hii zinahitaji akili sio jazba na mihemko, jazba na mihemko ndio anayomponza Lisu na wapinzani wengine wenye kutaka sifa. Act ni watu wanaoijia mchezo ndio maana hukuti wakiongea ujinga utakao waponza. Kulala polisi sio sifa.
sifa za kijinga zinawapoteza Chadema, Rip Mdude.
Kitu cha ajabu ni kwamba yule wa CCM kalalamikiwa hiv hivi na wameuchunaWaswahili husema mwanzo wa ngoma ni lele na ukisikia zindindi, zinduna haziko mbali.
Hadithi ya secretariat ya CHADEMA kutimuliwa ilianza na barua ya kada wao ndugu Mchome. Kadhalika hadithi ya CHADEMA kuzuiwa kufanya shughuli za siasa ilianza na mashtaka yaliyofunguliwa na Said Issa Mohamed, Ahmed Rashid Khamis, na Maulida Anna Komu ambao ni makada wao.
Uzoefu huu unatufundisha jambo moja, kauli za huyu Monalisa Ndala kada wa ACT Wazalenda, zaweza kuwa na kishindo kikuu. Binafsi sitashangaa kusikia kuwa mpina ameondolewa na Tume kwenye kinyang'anyiro cha urais.
View attachment 3444277
Hao ACT ni. CCM BKulala kituo cha polisi ni dalili ya kutojielewa na kutoelewa sheria, siasa za nchi hii zinahitaji akili sio jazba na mihemko, jazba na mihemko ndio anayomponza Lisu na wapinzani wengine wenye kutaka sifa. Act ni watu wanaoijia mchezo ndio maana hukuti wakiongea ujinga utakao waponza. Kulala polisi sio sifa.
sifa za kijinga zinawapoteza Chadema, Rip Mdude.
Umeiona barua ya huyu Monalisa Ndala? Tayari kapeleka nakala kwa msajili wa vyama vya siasa. Lolote laweza kutokea.Kulingana na kanuni za uchaguzi wa Rais, Ubungeni na UDIWANI ,mgombea anawekewa pingamizi na
1. Mgombea mwingine wa nafasi hiyo
2. Mwanasheria Mkuu wa Serikali
3.Msajili wa vyama vya siasa
Hivyo kulingana na kanuni hawezi kuweka hilo pingamizi kwa Mpina
Msajili makalio yanampwita akisikia chadema. Angekuwa MSAJILI Kweli angemsikiliza malisa kwanza. Huyu ni msajili wa kina mchome.Umeiona barua ya huyu Monalisa Ndala? Tayari kapeleka nakala kwa msajili wa vyama vya siasa. Lolote laweza kutokea.
Ila maneno ya Mpina akiwa Kisesa, watamuondoa tu!Kulala kituo cha polisi ni dalili ya kutojielewa na kutoelewa sheria, siasa za nchi hii zinahitaji akili sio jazba na mihemko, jazba na mihemko ndio anayomponza Lisu na wapinzani wengine wenye kutaka sifa. Act ni watu wanaoijia mchezo ndio maana hukuti wakiongea ujinga utakao waponza. Kulala polisi sio sifa.
sifa za kijinga zinawapoteza Chadema, Rip Mdude.
Amna kitu ACT baba mlezi ni master mind ana kituIla maneno ya Mpina akiwa Kisesa, watamuondoa tu!
Hatutaki ushindani wowote kama tulivyofanya kwenye chama chetu. Undava undava.Waswahili husema mwanzo wa ngoma ni lele na ukisikia zindindi, zinduna haziko mbali.
Hadithi ya secretariat ya CHADEMA kutimuliwa ilianza na barua ya kada wao ndugu Mchome. Kadhalika hadithi ya CHADEMA kuzuiwa kufanya shughuli za siasa ilianza na mashtaka yaliyofunguliwa na Said Issa Mohamed, Ahmed Rashid Khamis, na Maulida Anna Komu ambao ni makada wao.
Uzoefu huu unatufundisha jambo moja, kauli za huyu Monalisa Ndala kada wa ACT Wazalenda, zaweza kuwa na kishindo kikuu. Binafsi sitashangaa kusikia kuwa mpina ameondolewa na Tume kwenye kinyang'anyiro cha urais.
View attachment 3444277
Duu kweli kuna watoto wengi.Unaweza kutukumbisha kiongozi yyte wa ACT Aliyewahi japo kulala kituo cha POLISI ???