GE2025 Tujiandae kisaikolojia kusikia Mpina ameondolewa na Tume kugombea urais

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Mpina ni mvunjaji mzuri wa katiba ya vyama.Tukimpa nchi atavunja katiba ya nchi.Ndiomaana CCM wamekukataa
 
KOSA kubwa la ACT ni kumfukuza yule mwanachama wao uwanachama wa ACT
 
Chura hataki challenge
 
Sasa kama mtu hana vigezo si hana tu. Kama hakutumwa basi ni bora angebaki zake kundini laabda ile ahadi ingefanyika
 
mPina ni threat kubwa eneo la Kanda ya ziwa wasukuma simchezo Kwa umoja na zitokabwe kapiga Dili kwenye ruzuku
 
Hakuna lolote ya chama na mgombea wa kazi maalum aenguliwe?

Yote hayo ni maigizo kuonyesha kwamba kuna uchaguzi na ushindani ila hakuna lolote.

Billion 86 zimeshakusanywa sasa mgao unafuata kwenye vyama shikizi kuvisaidia kupiga kampeni bandia ionekane kuna uchaguzi.
 
Asipoondolewa nitashangaa kwa jinsi anavyobagaza viongozi wa Chama na Serikali hawezi kuvumiliwa.
 
ACT ni ccm,mpina ni CCM .chadema haina siasa za kubembelezana
 
Labda nyie wanachama wa ACT ndio mjiandae, sisi wengine haituhusu!
 
Unaweza kutukumbisha kiongozi yyte wa ACT Aliyewahi japo kulala kituo cha POLISI ???
Mana mara ya mwisho kule kusini bwana Mwepesi walisema kakamatwa lakini ghafla usiku wa manane akaachiwa kwakua hawa sio target ni sehemu yao 🤣🤣🤣
 
Ngoja tuone manake huku kuna Monalisa na kule kuna Dr Malisa. Dakika ni za lala salama.
 
Hilo si rahisi kutokea kwani hata kijani kahunja kanuni zipo wazi sana na akichukua hatu kwa sasa atakuwa anajiumbua mwenyewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…