GE2025 Tujiandae kisaikolojia kusikia Mpina ameondolewa na Tume kugombea urais

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025
Hawawezi kumuondoa, hata akiamua mwenyewe kujitia, Tume itambembeleza abadiri uamuzi wake.
 
Usipotumia akili siasa za nchi hii utaishia magerezani na kupotezwa na wasiojulikana. Wenye akili hayakuti hayo.
 
Hivi vyama vingine kesizao zinasuasua Yule Kama Wa ccm kesiyake ikaisha mapemaa wakafanya waaah watu kati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…