Tujiandae kumpokea Mbwana Samatta muda wowote kuanzia sasa!!

Kabla hujafika huko lazima tujue mpira unabadikika na pia Kocha aliye mkuta kipindi kile sio huyu wa sasa...kila kocha ana kuja na lake na pia unakuta mchezaji ana pangiwa majukumu mengine tofauti na awali
 
We jamaa hujui mpira unafananisha Messi na Samatta?

Wewe ndio walewale mnaoingia kwenye banda la mpira huku unasikilza redio
Mkuu kusema kweli huwa naudhiwa sana na mambulula wanaoingia na radio bandani
 
ndani ya team yao kuna mgomo wa chini chini ndio maana team inafanya vibaya kila match.
mfumo anaochezesha Coach Sio rafiki kwa team kupata matokeo mzuri
How sure you are??au how sure are u??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ni utabiri mzuri ila anaweza asirudi tanzania lakini akapata timu nyingine huko huko Ubelgiji ambayo itampa muda mwingi wa kucheza, hivyo akaboresha kiwango chake. All the best Mbwana Samatta.
 
Samatta kawa mtamu kama mkojo wa sungura. keshatupia huko
 

Mechi 2 sasa ana goli 3, naona scoring touch inarejea taratibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…