magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
km kweli ana 32 still ana miaka km mitano ya kumalizia career yakeSamata yule km sio 32+ sijui
[emoji28] [emoji28] [emoji2] [emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Atakuwa kapata demu sasa hivi.
Wanatumia vumbi la kikongo[emoji28]Hivi kwanini wachezaji wa kibongo wakipata mademu kiwango kinapeperuka ?
Mkuu kusema kweli huwa naudhiwa sana na mambulula wanaoingia na radio bandaniWe jamaa hujui mpira unafananisha Messi na Samatta?
Wewe ndio walewale mnaoingia kwenye banda la mpira huku unasikilza redio
How sure you are??au how sure are u??[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ndani ya team yao kuna mgomo wa chini chini ndio maana team inafanya vibaya kila match.
mfumo anaochezesha Coach Sio rafiki kwa team kupata matokeo mzuri
Hahahaaaaaaaaaaa[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji2] [emoji2] [emoji23]Apunguze nyeto teh na lile baridi la kule si la kitoto
Kazi kuu ya Mshambuliaji ni kufunga magoli. Mshambuliaji wa klabu ya Genk na timu ya taifa ya Tanzania, Mbwana Ally Samatta amekuwa katika fomu ya chini sana msimu huu.Samatta hafungi tena magoli kama awali, naona kama mwisho wake wa kuendelea kuvheza Genk unakaribia, kama mambo yasipobadilika muda wowote kuanzia sasa Samatta atakuwa anarejea barani Africa kutafuta timu ya kucheza ila sio Tanzania. Huu ni mtazamo tu, msijenge chuki!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Apunguze nyeto teh na lile baridi la kule si la kitoto
We mchawi tu,wenzako kufanikiwa unaumia,we una roho ya kishetanikigoli kimoja ndio unajawa na imani hivyooooo
Hiyo goli we unaweza?unacheza club gani,huo wivu wa kijingakigoli kimoja ndio unajawa na imani hivyooooo
Kurecover kutoka kwenye majeraha makubwa huchukua mda sana naona ameanza kurejea kwenye makali yakeMechi 2 sasa ana goli 3, naona scoring touch inarejea taratibu.
Wanatumia vumbi la CongoHivi kwanini wachezaji wa kibongo wakipata mademu kiwango kinapeperuka ?