maridhiano ni utaratibu wa hiyari wa jamii yoyote ile iliyostaarabika gentleman, sio lazima muhitilafiane.Mnaridhiana kwani mlihitilafiana wapi? π
Kama hakuna ugomvi kwanini mkaze komwe kutaka kupatana?
Nyie endeleeni kukaza mafuvu tuu, patawaka tena sio muda.
maridhiano ni utaratibu wa hiyari wa jamii yoyote ile iliyostaarabika gentleman, sio lazima muhitilafiane.
Maridhiano haya ni muhimu sana kwasababu,yatajenga msingi imara, muafaka na madhubuti sana tunapoelekea kwenye mchakato muhimu sana wa Katiba mpya.
sio lazima uwe sehemu ya maridhiano hayo gentleman, unaweza kuwakilishwa na mamilioni ya waTanzania waliotayari π
Yes,Karidhiane na bibi yako
Kamuite baba Ako mkaridhiane nayeMy friends, ladies and gentlemen,
Sote ni mashuhuda kwamba, hivi sasa amani na utulivu wa nchi yetu kisiasa, kijamii na kiuchumi tangu tumalize uchaguzi mkuu wa kihistoria Oct.29.2025, unaendelea kuimarika na kushamiri vyema sana, na hiyo inatoa nafasi na fursa kwetu sisi sote kama familia ya mama Tanzania, kujiandaa vema na kukaa mguu sawa kuelekea maridhiano ya kihistoria ya kitaifa, ambayo hatimae yatatujengea msingi muafaka sana, kuelekea mchakato muhimu sana wa kupata katiba mpya, huku kila moja wetu akiwa tayari ana moyo mweupe na wa shukrani kwa taifa na kwa Mungu, kwa mema yote aliotutendea tangu tupate uhuru wa taifa letu.
Ni raia yangu kwa waTanzania wote, kote ulimwenguni, kutumia vizuri fursa hiyo adhimu ya maridhiano kusameheana, kusahihishana kwa hekima na kurekebishana kwa upendo, hasa kwenye yale maeneo ambayo, kwa namna moja au nyingine yalijenga hali ya uhasama au uadui miongoni mwetu kama familia ya Tanzania na pengine kupelekea vurugu, uharibifu na maafa ambayo yalituathiri sote kama ndugu wa baba na mama moja Tanzania.
Maridhiano yaweke msingi madhubuti wa kuepuka kurejea changamoto hiyo tena, na
pasiwepo kundi la watu, chama cha siasa, taasisi ya dini au asasi ya kiraia kuhodhi au kujimilikisha mchakato huu muhimu wa maridhiano, kuelekea katiba mpya.
Mchakato uwe mali ya waTanzania wote.
Kumbuka maridhiano ni tendo la hiyari na sio lazima uwe sehemu ya maridhiano hayo ya kitaifa, utawakilishwa na walio wengi.π
Mungu Ibariki Tanzania
tunaridhiana njia muafaka za kuelekea mchakato muhimu sana wa kupata katiba mpya gentleman,Mnaridhiana nini?
Mnaridhiana na nani?
Kipi kimetokea?
Mmemkosea nani mpaka mnamuomba maridhiano?
Kama hakuna makosa, hakuna hitilafu maridhiano ya nini?
Gentleman, jibu maswali yangu. π
tunaridhiana njia muafaka za kuelekea mchakato muhimu sana wa kupata katiba mpya gentleman,
tunaridhiana na jamii nzima ya kiTanzania kama taifa na familia moja ya mama Tanzania.
Kumetokea umuhimu mkubwa sana wa maridhiano ili kuleta jamii zote za Tanzania pamoja na kuamua njia bora na muafaka sana kuelekea mchakato wa Katiba mpya bila kukwama, kama ilivyotokea kipindi kile cha ile rasimu ilikua imejaa hisia binafsi za mzee warioba.
Hakuna aliemkosea mwingine, na falsafa hii ya maridhiano ni muendelezo tu kwani tayari, tuliishaanza maridhiano mara tu awamu ya sita chini ya Dr Samia Suluhu Hassan aliposhika hatamu. Ndio maana uliona mikutano ya kisiasa iliruhusiwa, vibaraka waliokimbilia uhamishoni kwa mabwana zao walirejea nchini, nchi ilifunguka n.k.
Kwahiyo maridhiano hayahitaji mkoseane na yeyote gentleman.
Maridhiano ni mojawapo ya utamaduni wa kawaida kwa jamii yenye lengo na nia moja kufanikisha ilichokusudia.
So, baada ya mchakato ya uchaguzi mkuu na sasa tunaelekea kwenye mchakato muhimu sana wa kupata katiba mpya, ni lazima kama jamii kukaa pamoja, kujitathimini, kujisahihisha na kujirekebisha, ili hatimae kua na uelekeo moja, utakaotufikisha salama kwenye kupata katiba mpya.
Kumbuka,
maridhiano ni tendo la hiyari, sio lazima wewe uwepo au mmi niwepo. Mamilioni ya waTanzania waliotayari wanaweza kutuwakilisha vema sasa,sisi washupaza shingo wachache π
Gentleman,Kamuite baba Ako mkaridhiane naye
Maridhiano kumbe yanaweza kufanyika bila kuhitilafiana kumbe wewe ni mpumbavu Sikujuamaridhiano ni utaratibu wa hiyari wa jamii yoyote ile iliyostaarabika gentleman, sio lazima muhitilafiane.
Maridhiano haya ni muhimu sana kwasababu,yatajenga msingi imara, muafaka na madhubuti sana tunapoelekea kwenye mchakato muhimu sana wa Katiba mpya.
sio lazima uwe sehemu ya maridhiano hayo gentleman, unaweza kuwakilishwa na mamilioni ya waTanzania waliotayari π
hizo ni hisia zako tu potofu gentleman,Jamii yetu imetawanyika lini mpaka mfanye maridhiano ya kuileta pamoja?
Kama ndivyo, Nani aliitawanya jamii hiyo?
Kama unasema watu wapo tayari kwa mchakato huo, hayo maridhiano yafanyike kivipi na jamii unadema ipo tayari?
Yes,Maridhiano kumbe yanaweza kufanyika bila kuhitilafiana kumbe wewe ni mpumbavu Sikujua
umejieleza kwa uchungu sana gentleman dah aise?Wabongo aliyeturoga cjui ni nani. Kuna haja gani mtu apost kitu umjibu kwa matusi. Kwani kama kakukera si upite kushoto na hautapungukiwa chochote? Au mwelekeze mtu kwamba 1 na 2 no ni 3 na 4 kuliko kuja na mambo ya bibi yako mara mjinga wewe cjui huna akili na upuuzi mwingi. Punguzeni hangover nisije kufanya nilichowafanyia watu facebook mwaka juzi.
sio lazima hayo yote uloyataja yatokeee ndio maridhiane.Gentleman wewe ni hovyo hovyo hovyo kabisa
Maridhiano ni makubaliano, suluhisho, au hali ya kurudisha uhusiano mwema kati ya pande mbili zilizokuwa na mzozo, kutoelewana, au uhasama
Sasa sisi lini tulikuwa na mzozo bwashee, mbona kuna amani kila kona..?
how comes a person who is 18yrs and above akili anaziweka matakoni? Mzazi wa mtu na post vinahusiana nini kama sio ukiritimba? Lazma mtu ukereke mr coz mtu kutumia mzazi wa mtu instead ya kukataa kihoja ndio maanake nini. Ntakuja kunyonga mtu humu ndani we ngoja.umejieleza kwa uchungu sana gentleman dah aise?
Pole kwa kero hiyo ndugu mdau.
suala la maadili imekua janga na changamoto kubwa sana hasa mitandaoni.
sijawahi kuelewa kwanini mdau akikosa hoja dhidi ya mada iliyoko mezani, ana panic na kukimbilia kutumia wazazi ambao hata hawahusiani na hoja yenyewe kama mfano wa kubeza hoja hiyo asiyoipenda.
Hata hivyo,
ili kusonga mbele, we must take things easy.
Asante kukemea utovu wa maadili gentleman
Kumbe na nyie huwa MNAFIWA.Gentleman,
ingawa baba yangu hayupo tena, alishatangulia mbele ya haki, but angelikua hai, sina shaka yoyote angekua sehemu ya maridhiano ya kitaifa, kuelekea mchakato muhimu sana wa kupata katiba mpya.
namsihi baba yako ikiwa bado yupo hai, kutumia fursa hii adhimu, kishirikina na mamilioni ya waTanzania kwa busara
katika mchakato maridhiano hayo ili hatimae tuelekee kwenye mchakato wa Katiba mpya kwa upendo.
R.I.P my father.π€π₯
Siyo mimi ni kamusi, nenda maktaba ya lumumba uondoe ujingahuenda uelewa mdogo dhidi ya neno maridhiano ndio changamoto kwako gentleman.
Tumia akili siyo buku 7hiyari ya maridhiano sio lazima pawepo changamoto kabla π