Tujiandae kwa Maridhiano ya Amani kitaifa, Kuelekea Mchakato wa Katiba Mpya

Tujiandae kwa Maridhiano ya Amani kitaifa, Kuelekea Mchakato wa Katiba Mpya

Vipesa vingapi mnalipwa???

Kujitoa akili namna hii?
huna haja ya kujaribu kuhitimisha au kupindisha mjadala kwa mihemko iliyojaa hisia potofu gentleman.

Maridhiano is real kuelekea mchakato muhimu sana wa kupata katiba mpya ya nchi yetu.
Calm down and be prepared plz 🐒
 
My friends, ladies and gentlemen,

Sote ni mashuhuda kwamba, hivi sasa amani na utulivu wa nchi yetu kisiasa, kijamii na kiuchumi tangu tumalize uchaguzi mkuu wa kihistoria Oct.29.2025, unaendelea kuimarika na kushamiri vyema sana, na hiyo inatoa nafasi na fursa kwetu sisi sote kama familia ya mama Tanzania, kujiandaa vema na kukaa mguu sawa kuelekea maridhiano ya kihistoria ya kitaifa, ambayo hatimae yatatujengea msingi muafaka sana, kuelekea mchakato muhimu sana wa kupata katiba mpya, huku kila moja wetu akiwa tayari ana moyo mweupe na wa shukrani kwa taifa na kwa Mungu, kwa mema yote aliotutendea tangu tupate uhuru wa taifa letu.

Ni raia yangu kwa waTanzania wote, kote ulimwenguni, kutumia vizuri fursa hiyo adhimu ya maridhiano kusameheana, kusahihishana kwa hekima na kurekebishana kwa upendo, hasa kwenye yale maeneo ambayo, kwa namna moja au nyingine yalijenga hali ya uhasama au uadui miongoni mwetu kama familia ya Tanzania na pengine kupelekea vurugu, uharibifu na maafa ambayo yalituathiri sote kama ndugu wa baba na mama moja Tanzania.

Maridhiano yaweke msingi madhubuti wa kuepuka kurejea changamoto hiyo tena, na pasiwepo kundi la watu, chama cha siasa, taasisi ya dini au asasi ya kiraia kuhodhi au kujimilikisha mchakato huu muhimu wa maridhiano, kuelekea katiba mpya.

Mchakato uwe mali ya waTanzania wote.

Kumbuka maridhiano ni tendo la hiyari na sio lazima uwe sehemu ya maridhiano hayo ya kitaifa, utawakilishwa na walio wengi.🐒

Mungu Ibariki Tanzania
Screenshot_20260514-220943~2.png
 
Gentleman naomba namba ya dada yako turidhiane nimlombe nimuache yatakuwa maridhiano mema kabisa yaliozingatia usawa na maelewano
 
Gentleman naomba namba ya dada yako turidhiane nimlombe nimuache yatakuwa maridhiano mema kabisa yaliozingatia usawa na maelewano
ni muhimu zaidi kujikita kwenye kuelekea mchakato wa maridhiano ya kitaifa kuelekea kupata katiba mpya gentleman,

hayo ya kibinafsi nadhani hapa si mahali pake na kwakweli hayana maana yoyote humu jukwaani 🐒
 
ni muhimu zaidi kujikita kwenye kuelekea mchakato wa maridhiano ya kitaifa kuelekea kupata katiba mpya gentleman,

hayo ya kibinafsi nadhani hapa si mahali pake na kwakweli hayana maana yoyote humu jukwaani 🐒
Jamii ni watu gentleman maridhiano yangu na ndugu yako pia ni ya kitaifa kwani yapo ndani ya nchi hii
 
Back
Top Bottom