Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
- Thread starter
- #21
Punguza ukali kidogo ndugu mdau, vijana watatishika na kuogopa kuchangia hoja sasa, japo wanapaswa kujirekebisha tu, na kua na heshima wanapoingia kwenye mjadala na watu wanao wajua au wasio wajua.how comes a person who is 18yrs and above akili anaziweka matakoni? Mzazi wa mtu na post vinahusiana nini kama sio ukiritimba? Lazma mtu ukereke mr coz mtu kutumia mzazi wa mtu instead ya kukataa kihoja ndio maanake nini. Ntakuja kunyonga mtu humu ndani we ngoja.
Ni muhimu kujenga utamaduni wa kua na nidhamu wakati wote kwenye mijadala ya aina zote. Mijadala inayokupendeza unachangia kistaarabu, na ile isiyokupendeza vile vile unaikosoa kwa hekima. Sidhani kama patakua na changamoto mtu akifanya hivyo.