Punguza ukali kidogo ndugu mdau, vijana watatishika na kuogopa kuchangia hoja sasa, japo wanapaswa kujirekebisha tu, na kua na heshima wanapoingia kwenye mjadala na watu wanao wajua au wasio wajua.how comes a person who is 18yrs and above akili anaziweka matakoni? Mzazi wa mtu na post vinahusiana nini kama sio ukiritimba? Lazma mtu ukereke mr coz mtu kutumia mzazi wa mtu instead ya kukataa kihoja ndio maanake nini. Ntakuja kunyonga mtu humu ndani we ngoja.
imeandikwa,Kumbe na nyie huwa MNAFIWA.
kamusi mpya ya kisasa au ile ya zamani gentleman?Siyo mimi ni kamusi, nenda maktaba ya lumumba uondoe ujinga
Tumia akili siyo buku 7
taratibu watabadilika tu ikiwa kundi la watu wakali kama wew kukemea utovu wa kimaadili waziwazi hivi litaongezeaka.Unajua watu mnakera sana. Mimi kama mimi hata nikikosana na jirani au mtu yeyote wa karibu ni mimi na yeye swala nichukie familia yake au mimi niambie familia yangu wamchukie hiyo ni vita ya kijinga na niliachia malimbukeni. Soma post kama huna chakuchangia pita kuliko kuingiza wazazi humu shetani nyie. Mashavu kama paka mwenye mimba sura ngumu kufa mnategea wakunja sura kama ganda la fenesi nyie. Kama humheshimu mzazi wako unadhani ni wote chura kikongwe wewe mkosa heshma kwa mzazi. Mzazi hata kama ni kilema anafaa heshma yake nguruwe wa kihindi wewe jarib kutumia akili na sio mavi yako punda wa grade wewe.
leo niko patrol ya hawa vikaragosi wa matusi ni bora hata mtu asichangie kuliko kuchangia matusi bro. Kwa mitusi ya humu hata mtu anashindwa kusaidia mwingine coz atajua ni walewale. Kuna jamaa aliomba msaada wa kuja dar badala mtu amshauri la maana ikawa ni kumtusi mara oo mwambie babako akupe nauli itoshe mara dar unakuja kufanya nin na hauna hela cjui akili yako haifanyi kazi na makadablasha kibao. Tutafika kweli kwa mwendo huoo? Jirekebisheni nyie watuPunguza ukali kidogo ndugu mdau, vijana watatishika na kuogopa kuchangia hoja sasa, japo wanapaswa kujirekebisha tu, na kua na heshima wanapoingia kwenye mjadala na watu wanao wajua au wasio wajua.
Ni muhimu kujenga utamaduni wa kua na nidhamu wakati wote kwenye mijadala ya aina zote. Mijadala inayokupendeza unachangia kistaarabu, na ile isiyokupendeza vile vile unaikosoa kwa hekima. Sidhani kama patakua na changamoto mtu akifanya hivyo.
Unajua hii doria unayofanya leo mtu anaweza kuibeza, but kuna watu wanaweza kubadili tabia zao kabisa kulingana na elimu ya maadili unayoitoa na tabia mbaya unazokemea kwa ukali.leo niko patrol ya hawa vikaragosi wa matusi ni bora hata mtu asichangie kuliko kuchangia matusi bro. Kwa mitusi ya humu hata mtu anashindwa kusaidia mwingine coz atajua ni walewale. Kuna jamaa aliomba msaada wa kuja dar badala mtu amshauri la maana ikawa ni kumtusi mara oo mwambie babako akupe nauli itoshe mara dar unakuja kufanya nin na hauna hela cjui akili yako haifanyi kazi na makadablasha kibao. Tutafika kweli kwa mwendo huoo? Jirekebisheni nyie watu
Gentleman,Hakuna maridhiano mpaka waliofanya na kuagiza mauaji wawajibishwe ipasavyo
Hamtakuwa salama tenaMy friends, ladies and gentlemen,
Sote ni mashuhuda kwamba, hivi sasa amani na utulivu wa nchi yetu kisiasa, kijamii na kiuchumi tangu tumalize uchaguzi mkuu wa kihistoria Oct.29.2025, unaendelea kuimarika na kushamiri vyema sana, na hiyo inatoa nafasi na fursa kwetu sisi sote kama familia ya mama Tanzania, kujiandaa vema na kukaa mguu sawa kuelekea maridhiano ya kihistoria ya kitaifa, ambayo hatimae yatatujengea msingi muafaka sana, kuelekea mchakato muhimu sana wa kupata katiba mpya, huku kila moja wetu akiwa tayari ana moyo mweupe na wa shukrani kwa taifa na kwa Mungu, kwa mema yote aliotutendea tangu tupate uhuru wa taifa letu.
Ni raia yangu kwa waTanzania wote, kote ulimwenguni, kutumia vizuri fursa hiyo adhimu ya maridhiano kusameheana, kusahihishana kwa hekima na kurekebishana kwa upendo, hasa kwenye yale maeneo ambayo, kwa namna moja au nyingine yalijenga hali ya uhasama au uadui miongoni mwetu kama familia ya Tanzania na pengine kupelekea vurugu, uharibifu na maafa ambayo yalituathiri sote kama ndugu wa baba na mama moja Tanzania.
Maridhiano yaweke msingi madhubuti wa kuepuka kurejea changamoto hiyo tena, na pasiwepo kundi la watu, chama cha siasa, taasisi ya dini au asasi ya kiraia kuhodhi au kujimilikisha mchakato huu muhimu wa maridhiano, kuelekea katiba mpya.
Mchakato uwe mali ya waTanzania wote.
Kumbuka maridhiano ni tendo la hiyari na sio lazima uwe sehemu ya maridhiano hayo ya kitaifa, utawakilishwa na walio wengi.π
Mungu Ibariki Tanzania
Huna akili timamu na hujui unaongea nini,hizo propaganda unazotumia ni za mtu aliye level ya chekechea,vip form 4 ulipata Credit 3 au??Taifa letu ni salama kwa sasa, pengine kuliko wakati mwingine wowote tangu tupate uhuru gentleman,
na ndio maana,
taifa zima liko tayari kwa Maridhiano kuelekea katiba mpya π
Ndugu muerevu mwenye akili timamu, punguza basi mihemko kidogo na ujieleza kwa hekima tu bila kujipiga kifua na bilashaka utaeleweka vizuri zaidi kwa wadau wa JF.Huna akili timamu na hujui unaongea nini,hizo propaganda unazotumia ni za mtu aliye level ya chekechea,vip form 4 ulipata Credit 3 au??
Kristo siyo Wanu, Samia,Mchengerwa au Abdul.imeandikwa,
mwanadamu aliezaliwa na mwanamke siku zake za kuishi si nyingi,tena hujaa taabu.
Gentleman,
mzee alishamaliza kazi yake hapa duniani, na ametangulia mbele za haki.
Wenye imani thabiti hua hatufiwi gentleman, bali tunaimarishwa na kutegemezwa ili kujitegemea zaidi kiroho na kimwili.
kwetu,
kuishi ni kristo na kufa ni faida
Ni muhimu sana kujiandaa vema kwa Maridhiano ya Amani kitaifa Kuelekea Mchakato wa Katiba mpya π
huna haja ya kuringa ewe mwanadamu, mwili wako na wangu vitaliwa mchangani bila mbambamba yoyote.Kristo siyo Wanu, Samia,Mchengerwa au Abdul.
Chawa muanze kuridhiana nyie wenyewe kwa wenyewe kwanza kabla ya kuwasogelea WatanzaniaMy friends, ladies and gentlemen,
Sote ni mashuhuda kwamba, hivi sasa amani na utulivu wa nchi yetu kisiasa, kijamii na kiuchumi tangu tumalize uchaguzi mkuu wa kihistoria Oct.29.2025, unaendelea kuimarika na kushamiri vyema sana, na hiyo inatoa nafasi na fursa kwetu sisi sote kama familia ya mama Tanzania, kujiandaa vema na kukaa mguu sawa kuelekea maridhiano ya kihistoria ya kitaifa, ambayo hatimae yatatujengea msingi muafaka sana, kuelekea mchakato muhimu sana wa kupata katiba mpya, huku kila moja wetu akiwa tayari ana moyo mweupe na wa shukrani kwa taifa na kwa Mungu, kwa mema yote aliotutendea tangu tupate uhuru wa taifa letu.
Ni raia yangu kwa waTanzania wote, kote ulimwenguni, kutumia vizuri fursa hiyo adhimu ya maridhiano kusameheana, kusahihishana kwa hekima na kurekebishana kwa upendo, hasa kwenye yale maeneo ambayo, kwa namna moja au nyingine yalijenga hali ya uhasama au uadui miongoni mwetu kama familia ya Tanzania na pengine kupelekea vurugu, uharibifu na maafa ambayo yalituathiri sote kama ndugu wa baba na mama moja Tanzania.
Maridhiano yaweke msingi madhubuti wa kuepuka kurejea changamoto hiyo tena, na pasiwepo kundi la watu, chama cha siasa, taasisi ya dini au asasi ya kiraia kuhodhi au kujimilikisha mchakato huu muhimu wa maridhiano, kuelekea katiba mpya.
Mchakato uwe mali ya waTanzania wote.
Kumbuka maridhiano ni tendo la hiyari na sio lazima uwe sehemu ya maridhiano hayo ya kitaifa, utawakilishwa na walio wengi.π
Mungu Ibariki Tanzania
Maridhiano ya Amani kitaifa ni hiyari ya jamii nzima ya kiTanzania gentleman, hulazimishwi japo utawakilishwa na mamilioni ya waTanzania waliotayari kwa Maridhiano kuelekea mchakato muhimu sana wa kupata katiba mpya πChawa muanze kuridhiana nyie wenyewe kwa wenyewe kwanza kabla ya kuwasogelea Watanzania
Wajibu wangu siyo kudhabikia, kuiba, kuua, kudhulumu na kutupa jela watu wasio na makosa.huna haja ya kuringa ewe mwanadamu, mwili wako na wangu vitaliwa mchangani bila mbambamba yoyote.
Timiza wajibu wako sasa, maisha hayana extra time.
Maridhiano yanakuja kuelekea mchakato wa Katiba mpya tujiandae kikamilifu kutumia fursa hii adhimu ya kuimarisha umoja, amani na utulivu katika taifa letu π
Gentleman,Wajibu wangu siyo kudhabikia, kuiba, kuua, kudhulumu na kutupa jela watu wasio na makosa.
Vipesa vingapi mnalipwa???Gentleman,
hisia potofu na nyepesi kama hizo, hazina athari zozote kuelekea maridhiano ya kitaifa, yatakayo jenga msingi imara na muafaka, kuelekea mchakato muhimu sana wa kupata katiba mpya π