Tujiandae na Vita ya Tatu ya Dunia

Tujiandae na Vita ya Tatu ya Dunia

Tegemea arab nationals na washirika wake kupotea kwenye uso wa dunia.
 
Halafu msisahau kuwa kuna nchi zenye njaa, sisi kazi yetu ni kuwashababikia mataifa makubwa wakiwa wanabondana
 
Vita ya Tatu mtaiona kwenye BBC, MSNBC na media zingine tu.
 
North Korea wapi?
🙌🙌🙌
JamiiForums1434033461.jpeg
 
Kweli mkuu unapendaga sana VITA

Sehemu Salama KUTAFUTA NA KUPATA wanawake wazuri wa KUOA NA kulea WATOTO NA KUZAA WATOTO KATIKA MIAKA 200 IJAYO NI CHATO.

KABILA ALIKOTOKA JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI – HAKIKA WAMEMALIZA ICE-CREAM YOTE, WANAHAMU YA KUTOA RAIS MWINGINE KWA MIHULA 20 IJAYO.

MAKABILA MENGINE YOTE NDOTO ZA KUTOA URAIS KWENYE MIHULA IJAYO ZIPO KWA ASILIMIA 200- UTAPIGWA JELA LA NJE
 
Hakuna vita ya tatu itakayotokea hapa duniani Kwa kuwa binadamu wa Leo hawapendi Wala kushabikia vita kama hapo awali.
 
Vita ya dunia ipo, ila itahusisha serikali (yaani UN) against dini zinajifungamanisha na Siasa..(babiloni mkubwa)
tunayoyaona sasa ni utanguliz tu... serikali baadae itajua kuwa chanzo cha vita zote ni dini za uongo...(mwenye macho na aone hilo
 
Mbona sijakuelewa vizuri kiongozi!! Haya mamno ya kui- equate uwwzo wa kiuchumi na masuala ya kushinda vita ndio huwa siuelewi, kila siku huwa nawahoji hivi GDP ya Merikani wakati alipo vamia/jiingiza kwenye vita na VietNam ya Kasikazini GDP ya North VietNam ilikuwa ya kiwango gani???

Bottom line is: kuwa na Uchumi mkubwa sio passport ya kushinda vita - tulishuhudia jinsi Meeikani ilivyo dhalilishwa na Taifa dogo la VietNam Kaskazini sasa hizo zillion USD ya uchumi wa Merikani na zana za kivita ziliwasaidia nini?? Kuhusu Ukraine, Urusi ilisha jipanga kwa muaka mingi jinsi ya lu-deal na njama za kutaka kuitumia Ukraine ili wadhoofishe kijeshi, lakini wawahakikisheni nja hizo hazitafamikiwa Urusi itahibuka kidedea wayakaopata shida na taabu ni nchi za Ulaya zilizokuwa zina msupport Zelesky kwa niaba ya Merikani.
 
Kuna Uhusiano Mkubwa kati ya uchumi na Vita mkuu.
Bahati mbaya au nzuri kigezo cha kupima Uchumi wa nchi ni GDP sana ingawa vipo vingi lakini GDP ndo huwa inapima uwezo wa nchi na ukuaji pia.

Kwanini sasa tuangalie vita na uchumi?
Vita inagharama kubwa sana inatumia pesa nyingi sana,resources na Nguvu kazi.
Fedha nyingi zinatumika kusupply majeshi,silaha,fuel nk yaan kama huna uchumi basi wafadhili wa vita wawe muda wote wanasupply kwa wakati kama wanachofanya Ukraine , kua misada na Vifaa haviishi tena kwa wakati

Hivo basi Uchumi au pesa ni kama Ndo pumzi ya vita
Ili vita iendelee inabidi pesa iwepo ya kuagiza vifaa,chakula,vifaa vya hospital madawa,mafuta ya kusafirishia silaha na malighafi na wanajeshi kama uchumi hausupport basi nchi inaweza chukua siku tatu imeishiwa Ikabidi ijisalimishe

-Kuna kuishiwa silaha
-Kuishiwa hela za kuwalipa wanajeshi
-kuishiwa hela za kuwatibu majeruhi
-kuishiwa chakula cha kusupport wapiganaji
-Kuishiwa mafuta (angalia yalivo muhimu katika kila kitu)

UCHUMI NA VITA haviachani

Kesi ya vietnam washirika walikua Usoviet na china kwahiyo hamna namna USA ingeshida

Ni sawa vita ya afghanstan na Soviet (USA alikua yupo nyuma ya Afghastan kutoa silaha,misaada na mafunzo kwa wanajeshi
 
Vita ya dunia ipo, ila itahusisha serikali (yaani UN) against dini zinajifungamanisha na Siasa..(babiloni mkubwa)
tunayoyaona sasa ni utanguliz tu... serikali baadae itajua kuwa chanzo cha vita zote ni dini za uongo...(mwenye macho na aone hilo
Mkuu sijaelewa !
Vita za dini kamwe haitaweza kua vita ya dunia kwasababu hamna dini mbili kuna dini lukuki mfano india ina ubudha

Vita inapiganwa kisa maslahi Vita ya kidini ni waislam pekee ndo wanaweza taka kupigana hii vita kwenye Jihadi (lakini kwa mfumo wa miaka hii huwezi endesha jihadi na dunia ikakuangalia labda ingekua Nchi za kiislam ndio super power)

Vita itakua ni Western /Democratic Vs Dictatorship/Authoritarian/Monarch or communist countries
 
Hakuna vita ya tatu itakayotokea hapa duniani Kwa kuwa binadamu wa Leo hawapendi Wala kushabikia vita kama hapo awali.
Si kweli binadamu tumeumbwa na asili ya vita.
Vita inatokana na kugombea madaraka, Kulazimisha dini, Kupigania mali ghafi, Kutaka kuwatawala wengine na ubaguzi na superiority complex
 
Kweli mkuu unapendaga sana VITA

Sehemu Salama KUTAFUTA NA KUPATA wanawake wazuri wa KUOA NA kulea WATOTO NA KUZAA WATOTO KATIKA MIAKA 200 IJAYO NI CHATO.

KABILA ALIKOTOKA JOHN POMBE JOSEPH MAGUFULI – HAKIKA WAMEMALIZA ICE-CREAM YOTE, WANAHAMU YA KUTOA RAIS MWINGINE KWA MIHULA 20 IJAYO.

MAKABILA MENGINE YOTE NDOTO ZA KUTOA URAIS KWENYE MIHULA IJAYO ZIPO KWA ASILIMIA 200- UTAPIGWA JELA LA NJE
Sasa mkuu mbona haihusiani na uzi
Kuna nyuzi za siasa huko
 
Back
Top Bottom