Mbona sijakuelewa vizuri kiongozi!! Haya mamno ya kui- equate uwwzo wa kiuchumi na masuala ya kushinda vita ndio huwa siuelewi, kila siku huwa nawahoji hivi GDP ya Merikani wakati alipo vamia/jiingiza kwenye vita na VietNam ya Kasikazini GDP ya North VietNam ilikuwa ya kiwango gani???
Bottom line is: kuwa na Uchumi mkubwa sio passport ya kushinda vita - tulishuhudia jinsi Meeikani ilivyo dhalilishwa na Taifa dogo la VietNam Kaskazini sasa hizo zillion USD ya uchumi wa Merikani na zana za kivita ziliwasaidia nini?? Kuhusu Ukraine, Urusi ilisha jipanga kwa muaka mingi jinsi ya lu-deal na njama za kutaka kuitumia Ukraine ili wadhoofishe kijeshi, lakini wawahakikisheni nja hizo hazitafamikiwa Urusi itahibuka kidedea wayakaopata shida na taabu ni nchi za Ulaya zilizokuwa zina msupport Zelesky kwa niaba ya Merikani.
Kuna Uhusiano Mkubwa kati ya uchumi na Vita mkuu.
Bahati mbaya au nzuri kigezo cha kupima Uchumi wa nchi ni GDP sana ingawa vipo vingi lakini GDP ndo huwa inapima uwezo wa nchi na ukuaji pia.
Kwanini sasa tuangalie vita na uchumi?
Vita inagharama kubwa sana inatumia pesa nyingi sana,resources na Nguvu kazi.
Fedha nyingi zinatumika kusupply majeshi,silaha,fuel nk yaan kama huna uchumi basi wafadhili wa vita wawe muda wote wanasupply kwa wakati kama wanachofanya Ukraine , kua misada na Vifaa haviishi tena kwa wakati
Hivo basi Uchumi au pesa ni kama Ndo pumzi ya vita
Ili vita iendelee inabidi pesa iwepo ya kuagiza vifaa,chakula,vifaa vya hospital madawa,mafuta ya kusafirishia silaha na malighafi na wanajeshi kama uchumi hausupport basi nchi inaweza chukua siku tatu imeishiwa Ikabidi ijisalimishe
-Kuna kuishiwa silaha
-Kuishiwa hela za kuwalipa wanajeshi
-kuishiwa hela za kuwatibu majeruhi
-kuishiwa chakula cha kusupport wapiganaji
-Kuishiwa mafuta (angalia yalivo muhimu katika kila kitu)
UCHUMI NA VITA haviachani
Kesi ya vietnam washirika walikua Usoviet na china kwahiyo hamna namna USA ingeshida
Ni sawa vita ya afghanstan na Soviet (USA alikua yupo nyuma ya Afghastan kutoa silaha,misaada na mafunzo kwa wanajeshi