BABA NI CCM
Member
- Nov 24, 2018
- 86
- 98
Tupo huku Bunge laukana Muswada wa Mafao wa 25% kwa 75%. Ladai waulizwe Serikali ndio walioleta kanuni - JamiiForums, tunajadili mambo ya maana wewe endelea na mambo yako ya kijingaKidumu chama cha mapinduzi
Habari za kuja ndege zetu mpya zimesikika wiki za karibuni. Ndege za hali ya juu kuirudisha ATCL yetu
Kama ilivyo kawaida ya upinzani usio na hoja za kujenga Tanzania yetu umeanza kutoa propaganda za kitoto juu ya ndege zetu hizi.
Nawakumbusha tu tunafahamu kuwa ujio wa ndege zetu hizi hautawapendeza maana mnaona wazi mnakosa hoja 2020. Tumejipanga kuwakabili hoja kwa hoja hadi mgeuke kihoja.
Jumapili njema
Ni mimi mtoto wa baba
Mbaya zaidi wananunua kwa kupora mafao yetuNinyi mna akili za kuku,badala ya kuiimarisha kwanza ATCL eti mnakomaa kununua mandege!Ninyi ni mazuzu tuuuu!!
ATCL itaimarishwaje bila ndege?????Ninyi mna akili za kuku,badala ya kuiimarisha kwanza ATCL eti mnakomaa kununua mandege!Ninyi ni mazuzu tuuuu!!
Ninyi mna akili za kuku,badala ya kuiimarisha kwanza ATCL eti mnakomaa kununua mandege!Ninyi ni mazuzu tuuuu!!
unaandika thread halafu unajipa like mwenyewe! hahahahaKidumu chama cha mapinduzi
Habari za kuja ndege zetu mpya zimesikika wiki za karibuni. Ndege za hali ya juu kuirudisha ATCL yetu
Kama ilivyo kawaida ya upinzani usio na hoja za kujenga Tanzania yetu umeanza kutoa propaganda za kitoto juu ya ndege zetu hizi.
Nawakumbusha tu tunafahamu kuwa ujio wa ndege zetu hizi hautawapendeza maana mnaona wazi mnakosa hoja 2020. Tumejipanga kuwakabili hoja kwa hoja hadi mgeuke kihoja.
Jumapili njema
Ni mimi mtoto wa baba
Ushamba unawasumbuaNinyi mna akili za kuku,badala ya kuiimarisha kwanza ATCL eti mnakomaa kununua mandege!Ninyi ni mazuzu tuuuu!!
Sasa unaleta ndege wakati management ni mbovu unategemea kuwa shirika litasurvive mkuu???!Unaimarisha vipi shirika la ndege bila kuwa na ndege?
Sasa unaleta ndege wakati management ni mbovu unategemea kuwa shirika litasurvive mkuu???!ATCL itaimarishwaje bila ndege?????
Kidumu chama cha mapinduzi
Habari za kuja ndege zetu mpya zimesikika wiki za karibuni. Ndege za hali ya juu kuirudisha ATCL yetu
Kama ilivyo kawaida ya upinzani usio na hoja za kujenga Tanzania yetu umeanza kutoa propaganda za kitoto juu ya ndege zetu hizi.
Nawakumbusha tu tunafahamu kuwa ujio wa ndege zetu hizi hautawapendeza maana mnaona wazi mnakosa hoja 2020. Tumejipanga kuwakabili hoja kwa hoja hadi mgeuke kihoja.
Jumapili njema
Ni mimi mtoto wa baba
Unacheo gani huki ccm? Isijeikawa wewe ni ngazi tu.Kidumu chama cha mapinduzi
Habari za kuja ndege zetu mpya zimesikika wiki za karibuni. Ndege za hali ya juu kuirudisha ATCL yetu
Kama ilivyo kawaida ya upinzani usio na hoja za kujenga Tanzania yetu umeanza kutoa propaganda za kitoto juu ya ndege zetu hizi.
Nawakumbusha tu tunafahamu kuwa ujio wa ndege zetu hizi hautawapendeza maana mnaona wazi mnakosa hoja 2020. Tumejipanga kuwakabili hoja kwa hoja hadi mgeuke kihoja.
Jumapili njema
Ni mimi mtoto wa baba
....inaimarishwaje bila ndege !?Ninyi mna akili za kuku,badala ya kuiimarisha kwanza ATCL eti mnakomaa kununua mandege!Ninyi ni mazuzu tuuuu!!