Tetesi: Tujiandae ndege mpya zinakuja na uzushi pia unakuja

Kidumu chama cha mapinduzi

Habari za kuja ndege zetu mpya zimesikika wiki za karibuni. Ndege za hali ya juu kuirudisha ATCL yetu

Kama ilivyo kawaida ya upinzani usio na hoja za kujenga Tanzania yetu umeanza kutoa propaganda za kitoto juu ya ndege zetu hizi.

Nawakumbusha tu tunafahamu kuwa ujio wa ndege zetu hizi hautawapendeza maana mnaona wazi mnakosa hoja 2020. Tumejipanga kuwakabili hoja kwa hoja hadi mgeuke kihoja.

Jumapili njema
Ni mimi mtoto wa baba
Isije kuwa midege inanunuliwa na pesa za Wastaafu.
Kama ni hivyo nitaomba yakose abiria walahi!
 
Zile Ndege Afya Ya Twiga Imeimarika Sana
Hata Hizi Nyingine Wafanye Mabadiliko Kwenye Twiga Apate Afya
 
Wapiga zomari wengi, hawajawahi zipanda ndege
 
Hii ni nchi gani wanyonge wanaporwa haki zao mchana kweupe, KIbabe

MAFAO YA WAZEE
-FAO LA KUJITOA
bei za mahindi chini kabisa

Sukari bei juu

Cementi, bati uuwiii

Mafuta uwii bei
Mchaga wa wapi wewe?
 
Sasa unaleta ndege wakati management ni mbovu unategemea kuwa shirika litasurvive mkuu???!
Teuzi zimefanyika (new management), na 'style' ya uendeshaji shirika imebadilishwa. Kwa sasa ndege ni za serikali na ATCL wanakodishwa
 
Wewe ndiyo hupaswi kucomment kwenye kila post mkuu,unajua ni kwa nini ATCL ilikufa??!Mnaleta ndege kwa wingi wakati management ni mbovu unategemea kuwa shirika litasurvive??!
....elewa kuwa management imebadilisha bana ! Nani atafanya investment kama hiyo bila ya tathmini (economic viability ) ya mafanikio ? Be positive.
 
Teuzi zimefanyika (new management), na 'style' ya uendeshaji shirika imebadilishwa. Kwa sasa ndege ni za serikali na ATCL wanakodishwa
....elewa kuwa management imebadilisha bana ! Nani atafanya investment kama hiyo bila ya tathmini (economic viability ) ya mafanikio ? Be positive.
Huo uteuzi uliofanyika ilikuwa ni siasa za maji taka ambazo hazijawahi kuiacha nchi salama.Hali ya shirika ni mbaya sana ndiyo maana CAG hakuthubutu kuweka ripoti yake ya ukaguzi kwenye taarifa ya ukaguzi wa 2017/2018 ili kumlinda jiwe!!
 
....naona wewe una matokeo yako mkononi na unajua kuliko CAG na Rais. Endelea kuamini unacho amini.
 
Pamoja sana, ahsante kwa taarifa
Kidumu chama cha mapinduzi

Habari za kuja ndege zetu mpya zimesikika wiki za karibuni. Ndege za hali ya juu kuirudisha ATCL yetu

Kama ilivyo kawaida ya upinzani usio na hoja za kujenga Tanzania yetu umeanza kutoa propaganda za kitoto juu ya ndege zetu hizi.

Nawakumbusha tu tunafahamu kuwa ujio wa ndege zetu hizi hautawapendeza maana mnaona wazi mnakosa hoja 2020. Tumejipanga kuwakabili hoja kwa hoja hadi mgeuke kihoja.

Jumapili njema
Ni mimi mtoto wa baba
 
Wekeni kwanza CT scan kwenye hospitali zote za rufaa na za wilaya na vitanda vya kutosha,pamoja na vifaa tiba na dawa.
 
Kidumu chama cha mapinduzi

Habari za kuja ndege zetu mpya zimesikika wiki za karibuni. Ndege za hali ya juu kuirudisha ATCL yetu

Kama ilivyo kawaida ya upinzani usio na hoja za kujenga Tanzania yetu umeanza kutoa propaganda za kitoto juu ya ndege zetu hizi.

Nawakumbusha tu tunafahamu kuwa ujio wa ndege zetu hizi hautawapendeza maana mnaona wazi mnakosa hoja 2020. Tumejipanga kuwakabili hoja kwa hoja hadi mgeuke kihoja.

Jumapili njema
Ni mimi mtoto wa baba
time will tell...........
 
Mapipa mawili ya maana yanakuja kabla ya krismasi. Tusubiri kusoma kwenye whatsapp na facebook....anaandika Tundu Lissu..anaandika Zitto Kabwe.

Watu wanapiga kazi, maandiko ya mitandaoni wameachiwa wanaharakati na wapiga kelele
 
Back
Top Bottom