Tetesi: Tujiandae ndege mpya zinakuja na uzushi pia unakuja

Tetesi: Tujiandae ndege mpya zinakuja na uzushi pia unakuja

Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu,ni miaka mitatu hakuna ongezeko la mshahara na maslahi yenu yanazidi kandamizwa
 
Vipi bado mnalinda forex kwa JWTZ? Mlisema mna madola mengi sana pale BOT...vipi, maneno tu kumbe mmeishiwa kama mjulima wa mahindi tu
 
Mkuu ndege ndo utakula?
Kwani mwenzetu wewe kwenye maisha yako yote unamiliki chakula tu? hakuna vitu vingine unavyomiliki ambavyo huli kama gari, pikipiki, baiskeli, gari la punda nk? Hujawahi kusafiri? Na hapa JF umeandika kwa kutumia unga wa mahindi?Jiongeze siyo kila kitu kujitoa ufahamu. Ila siungi mkono 25% kwa 75% ya wastaafu.
 
Watumishi fanyeni hujuma indirect dhidi ya serikali hii onevu kwenu,ni miaka mitatu hakuna ongezeko la mshahara na maslahi yenu yanazidi kandamizwa
Badala ya kuwahimiza wafanye kazi kwa bidii walete tija, unahimiza wafanye hujuma. Huu ni unyumbu. Yaani huku serikali inakwapua mafao ya wastaafu, chadema wanahimiza wafanyakazi wahujumu serikali. Sasa sijui nani mwehu na nani kichaa.
 
Ninyi mna akili za kuku,badala ya kuiimarisha kwanza ATCL eti mnakomaa kununua mandege!Ninyi ni mazuzu tuuuu!!
Sasa mkuu unawezaje kuiimarisha hiyo ATCL bila kuwa na ndege?
Kumbuka kabla ya 2015,ATCL walikuwa na ndege moja tu,mbona hawakuimarika,Kama hoja yako no kuiimarisha ATCL bila ndege?
 
Kwani mwenzetu wewe kwenye maisha yako yote unamiliki chakula tu? hakuna vitu vingine unavyomiliki ambavyo huli kama gari, pikipiki, baiskeli, gari la punda nk? Hujawahi kusafiri? Na hapa JF umeandika kwa kutumia unga wa mahindi?Jiongeze siyo kila kitu kujitoa ufahamu. Ila siungi mkono 25% kwa 75% ya wastaafu.
Huwezi elewa nilichokoment hadi uwe unafikiria nje ya box
 
Back
Top Bottom