Tetesi: Tujiandae ndege mpya zinakuja na uzushi pia unakuja

Tetesi: Tujiandae ndege mpya zinakuja na uzushi pia unakuja

Kidumu chama cha mapinduzi

Habari za kuja ndege zetu mpya zimesikika wiki za karibuni. Ndege za hali ya juu kuirudisha ATCL yetu

Kama ilivyo kawaida ya upinzani usio na hoja za kujenga Tanzania yetu umeanza kutoa propaganda za kitoto juu ya ndege zetu hizi.

Nawakumbusha tu tunafahamu kuwa ujio wa ndege zetu hizi hautawapendeza maana mnaona wazi mnakosa hoja 2020. Tumejipanga kuwakabili hoja kwa hoja hadi mgeuke kihoja.

Jumapili njema
Ni mimi mtoto wa baba
Waje na uzushi upi mkuu! kama terrible teen imeshapitwa na wakati labda wakomalie ndege hazina WI-Fi maana akili zao ufipa wanajijua wenyewe,walipigialo kelele likitekelezwa wanalikataa jua likiwaka.
 
Nadhan kuimarisha atcl ni pamoja na kununua ndege. Maana shirika lilibaki na ndege moja tu.
Japkuwa kwangu mm naona kununua ndege nimapema. Wangeondoa ungozi wa shirika kwanza. Halaf uje uongozi mpya ambao ni dynamic halaf ndio ndege zije
Ninyi mna akili za kuku,badala ya kuiimarisha kwanza ATCL eti mnakomaa kununua mandege!Ninyi ni mazuzu tuuuu!!
 
ndege ni muhimu sana ila kuchukua mafao ya wazee wetu ni unyanganyi bahati mbaya bunge ni kibogoyo
 
Nadhan kuimarisha atcl ni pamoja na kununua ndege. Maana shirika lilibaki na ndege moja tu.
Japkuwa kwangu mm naona kununua ndege nimapema. Wangeondoa ungozi wa shirika kwanza. Halaf uje uongozi mpya ambao ni dynamic halaf ndio ndege zije
Ndicho nilichomaanisha hapo!Sasa wanaleta ndege wakati management ni mbovu unategemea kuwa shirika litasurvive mkuu???!
 
Poa , ila yule mdudu aliyetafuna ATC atokomezwe na kizazi chake ili asiangamize tena shirika . Mungu ibariki TZ
 
Kidumu chama cha mapinduzi

Habari za kuja ndege zetu mpya zimesikika wiki za karibuni. Ndege za hali ya juu kuirudisha ATCL yetu

Kama ilivyo kawaida ya upinzani usio na hoja za kujenga Tanzania yetu umeanza kutoa propaganda za kitoto juu ya ndege zetu hizi.

Nawakumbusha tu tunafahamu kuwa ujio wa ndege zetu hizi hautawapendeza maana mnaona wazi mnakosa hoja 2020. Tumejipanga kuwakabili hoja kwa hoja hadi mgeuke kihoja.

Jumapili njema
Ni mimi mtoto wa baba
Achan na Habari za mandege hayo,

Ishu kubwa sasa hivi ni MAFAO ya watumishi walioitumikia serikali Hii kwa nguvu zao zote mnawanyang'anya stahiki zao uzeeni.
 
Kidumu chama cha mapinduzi

Habari za kuja ndege zetu mpya zimesikika wiki za karibuni. Ndege za hali ya juu kuirudisha ATCL yetu

Kama ilivyo kawaida ya upinzani usio na hoja za kujenga Tanzania yetu umeanza kutoa propaganda za kitoto juu ya ndege zetu hizi.

Nawakumbusha tu tunafahamu kuwa ujio wa ndege zetu hizi hautawapendeza maana mnaona wazi mnakosa hoja 2020. Tumejipanga kuwakabili hoja kwa hoja hadi mgeuke kihoja.

Jumapili njema
Ni mimi mtoto wa baba
Wewe ni mtoto wa baba jesica mkuu?
 
Mwenye Enzi Mungu yuko upande wetu ni nani ata thubutu kuwa juu yetu walahi
 
Ninyi mna akili za kuku,badala ya kuiimarisha kwanza ATCL eti mnakomaa kununua mandege!Ninyi ni mazuzu tuuuu!!
Hoja kioja kabisa. ATCL imekuwepo kwa zaidi ya 30yrs bila ya ndege kwa nini haikuimarika??

Sidhani na siuoni uimara wa shirika la ndege bila ya kuwa na ndege.

Not necessary to comment in every post.
 
Hoja kioja kabisa. ATCL imekuwepo kwa zaidi ya 30yrs bila ya ndege kwa nini haikuimarika??

Sidhani na siuoni uimara wa shirika la ndege bila ya kuwa na ndege.

Not necessary to comment in every post.
Wewe ndiyo hupaswi kucomment kwenye kila post mkuu,unajua ni kwa nini ATCL ilikufa??!Mnaleta ndege kwa wingi wakati management ni mbovu unategemea kuwa shirika litasurvive??!
 
Hii ni nchi gani wanyonge wanaporwa haki zao mchana kweupe, KIbabe

MAFAO YA WAZEE
-FAO LA KUJITOA
bei za mahindi chini kabisa

Sukari bei juu

Cementi, bati uuwiii

Mafuta uwii bei
Ndio, watu watashindwa kujenga Nyumba bora ili waone ndege zikipita angani.
Sukari watoto hawataijua ili wakiangalia angani waone ATCL.
Wastaafu watakufa baada ya kustaafu kwani fedha zao zimesaidia kununua ndege.
Nchi ya ajabu hii haina mfano kabisa
 
IATA attributes the losses to the failure by governments to liberalise the continent’s airspace, slow economic recovery and high operating costs.Across the continent, the majority of airlines are surviving on government bailouts.According to aviation experts, the failure by African governments to liberalise the skies ostensibly to protect struggling national airlines from competition, has greatly impeded growth of the aviation sector.
 
Mazuzu ni wanachi hawajui kipaumbele chao yanaburuzwa yanakubali
[emoji30][emoji30][emoji30]
Hebu%20jaribu%20kueleza%20ujumbe%20una%C3%B2jitokeza%20kwenye%20mchoro%20huu%20wa%20katuni%20...jpeg
 
Leta midege baba, jenga na viwanja vya midege kila mahali watanzania wapae bwaana...
 
Back
Top Bottom