Necromancer
JF-Expert Member
- Sep 20, 2018
- 3,187
- 3,138
Isije kuwa midege inanunuliwa na pesa za Wastaafu.Kidumu chama cha mapinduzi
Habari za kuja ndege zetu mpya zimesikika wiki za karibuni. Ndege za hali ya juu kuirudisha ATCL yetu
Kama ilivyo kawaida ya upinzani usio na hoja za kujenga Tanzania yetu umeanza kutoa propaganda za kitoto juu ya ndege zetu hizi.
Nawakumbusha tu tunafahamu kuwa ujio wa ndege zetu hizi hautawapendeza maana mnaona wazi mnakosa hoja 2020. Tumejipanga kuwakabili hoja kwa hoja hadi mgeuke kihoja.
Jumapili njema
Ni mimi mtoto wa baba
Mchaga wa wapi wewe?Hii ni nchi gani wanyonge wanaporwa haki zao mchana kweupe, KIbabe
MAFAO YA WAZEE
-FAO LA KUJITOA
bei za mahindi chini kabisa
Sukari bei juu
Cementi, bati uuwiii
Mafuta uwii bei
Teuzi zimefanyika (new management), na 'style' ya uendeshaji shirika imebadilishwa. Kwa sasa ndege ni za serikali na ATCL wanakodishwaSasa unaleta ndege wakati management ni mbovu unategemea kuwa shirika litasurvive mkuu???!
....elewa kuwa management imebadilisha bana ! Nani atafanya investment kama hiyo bila ya tathmini (economic viability ) ya mafanikio ? Be positive.Wewe ndiyo hupaswi kucomment kwenye kila post mkuu,unajua ni kwa nini ATCL ilikufa??!Mnaleta ndege kwa wingi wakati management ni mbovu unategemea kuwa shirika litasurvive??!
Teuzi zimefanyika (new management), na 'style' ya uendeshaji shirika imebadilishwa. Kwa sasa ndege ni za serikali na ATCL wanakodishwa
Huo uteuzi uliofanyika ilikuwa ni siasa za maji taka ambazo hazijawahi kuiacha nchi salama.Hali ya shirika ni mbaya sana ndiyo maana CAG hakuthubutu kuweka ripoti yake ya ukaguzi kwenye taarifa ya ukaguzi wa 2017/2018 ili kumlinda jiwe!!....elewa kuwa management imebadilisha bana ! Nani atafanya investment kama hiyo bila ya tathmini (economic viability ) ya mafanikio ? Be positive.
....naona wewe una matokeo yako mkononi na unajua kuliko CAG na Rais. Endelea kuamini unacho amini.Huo uteuzi uliofanyika ilikuwa ni siasa za maji taka ambazo hazijawahi kuiacha nchi salama.Hali ya shirika ni mbaya sana ndiyo maana CAG hakuthubutu kuweka ripoti yake ya ukaguzi kwenye taarifa ya ukaguzi wa 2017/2018 ili kumlinda jiwe!!
vijana wengi wa BAVICHA wana akili pumbavu, usihangaike naoATCL itaimarishwaje bila ndege?????
Kidumu chama cha mapinduzi
Habari za kuja ndege zetu mpya zimesikika wiki za karibuni. Ndege za hali ya juu kuirudisha ATCL yetu
Kama ilivyo kawaida ya upinzani usio na hoja za kujenga Tanzania yetu umeanza kutoa propaganda za kitoto juu ya ndege zetu hizi.
Nawakumbusha tu tunafahamu kuwa ujio wa ndege zetu hizi hautawapendeza maana mnaona wazi mnakosa hoja 2020. Tumejipanga kuwakabili hoja kwa hoja hadi mgeuke kihoja.
Jumapili njema
Ni mimi mtoto wa baba
tunaiimarishaje hiyo ATCL bila kununua ndege sisi washamba?Ushamba unawasumbua
time will tell...........Kidumu chama cha mapinduzi
Habari za kuja ndege zetu mpya zimesikika wiki za karibuni. Ndege za hali ya juu kuirudisha ATCL yetu
Kama ilivyo kawaida ya upinzani usio na hoja za kujenga Tanzania yetu umeanza kutoa propaganda za kitoto juu ya ndege zetu hizi.
Nawakumbusha tu tunafahamu kuwa ujio wa ndege zetu hizi hautawapendeza maana mnaona wazi mnakosa hoja 2020. Tumejipanga kuwakabili hoja kwa hoja hadi mgeuke kihoja.
Jumapili njema
Ni mimi mtoto wa baba
labda yeye ni CEO wa atcl, si analelewa na ndege mzeeMkuu ndege ndo utakula?
[emoji87]Hii moja yenyewe hata root ya maana haijapata imeishia kujaza Mwanza - Dar pungufu ongea!!
Waiimalishe bila ndege watumie ungo?Ninyi mna akili za kuku,badala ya kuiimarisha kwanza ATCL eti mnakomaa kununua mandege!Ninyi ni mazuzu tuuuu!!
Itabidi afanye hivyo walahi.....Dah! Mkuu, kwa juhudi hizi ukikosa teuzi, basi kaoge maji ya bahari...