LGE2024 Tujiandikishe kupiga kura

Uchaguzi wa Serikali za Mitaa 2024
Kupiga kura ni haki yako lakini sio lazima.
Na kinachonifurahisha ni kuwa sisi vijana hatuna muda huo wa kupiga kura japo sisi ndio tuna mawazo ya kuing'oa ccm madarakani.
Lakini wazee wetu na akina mama ambao huwaambii kitu kuhusu CCM ndio wapiga kura je, kwa mwendo huu ccm itatolewa madaraka?
 
Hata mkipiga kura wote msiichague ccm Bado upinzani hautashika Dola kamwe. Bila tume huru Kura Yako ni Bure tu. Baki kwako lala huna usigizi piga hata nyeto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…