WALOLA VUNZYA
JF-Expert Member
- Nov 20, 2020
- 7,154
- 7,155
Nenda kajiandikishe tu,dunia bado inazunguka huwezi jua yajayo mbeleni.Nani alitarajia kuwa Magufuri atakufa baada ya kufanya ule ufidhuli wa 2019 na 2020???Simwombei Mama Samiah mabaya ila nyakati huwa zinaamua nini cha kufanya.Kwa hiyo tusikatishane tamaa uwanja umefunguliwa twende tukatimize wajibu wetu.Kuna faida yoyote ya kupiga kura hapa nchini kwetu Ili Hali matokeo mnayo tiyari?
Muda huo heri nikaoge bwawani nipate kichocho.