Dumuzii
JF-Expert Member
- Jan 4, 2019
- 3,593
- 8,595
Hauna kazi nyingine za kufanyaMimi nikiwa mtu wa 7 ijapokuwa mvua ni nyingi sana leo hapa Kigoma kuanzia juzi t9.10.2024 ni mvua siku nzima
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hauna kazi nyingine za kufanyaMimi nikiwa mtu wa 7 ijapokuwa mvua ni nyingi sana leo hapa Kigoma kuanzia juzi t9.10.2024 ni mvua siku nzima
Kama ccm inavyofanya inavuruga uchaguzi baada ya kuona kuwa watanyimwa misaada wanajitengenezea wabunge feki tena wanawake kulingana na matakwa ya mabeberu ili kubalance mitambo.Vya kuombea misaada
Hayo mamistari mnayo enda kupanga huko ni Bora huo muda ukaenda kujifungia na mchepuko lodgeKama ccm inavyofanya inavuruga uchaguzi baada ya kuona kuwa watanyimwa misaada wanajitengenezea wabunge feki tena wanawake kulingana na matakwa ya mabeberu ili kubalance mitambo.
Inastahili iwe hivyo.Bila katiba mpya na tume huru ya uchaguzi ni ngumu sana Ccm kuondoka madarakani... If you vote just vote for your own risk...
Hayo ni maoni yako yaheshimiwe japo hayana msaada wowote.Kwa haya yanayoendelea nchini, siwezi kupoteza mda wangu kujiandakisha wala kupiga kura. Ni upotevu wa muda na nguvu zangu.
Ukiona content haikuhusu just passover mkuu!Hayo ni maoni yako yaheshimiwe japo hayana msaada wowote.
dahNimejiandikisha kupiga kura nikiwa mtu wa kwanza kwenye mtaa wangu. Wewe Je?
Kwani lazima itolewe kwa njia ya kura? Wao wenyewe hawategemei kura halali kukaa madarakani, ww unaamini vipi kura ndio za kuwatoa madarakani?Kupiga kura ni haki yako lakini sio lazima.
Na kinachonifurahisha ni kuwa sisi vijana hatuna muda huo wa kupiga kura japo sisi ndio tuna mawazo ya kuing'oa ccm madarakani.
Lakini wazee wetu na akina mama ambao huwaambii kitu kuhusu CCM ndio wapiga kura je, kwa mwendo huu ccm itatolewa madaraka?
Kwahyo mkuu mnataka kupindua nchi? Au kwa njia ya maandamano? Ccm bado sana kutoka madarakani mkuuKwani lazima itolewe kwa njia ya kura? Wao wenyewe hawategemei kura halali kukaa madarakani, ww unaamini vipi kura ndio za kuwatoa madarakani?
Ukishindwa kuheshimu chaguzi kisha ukawa unakaa madarakani kwa udanganyifu, unatoa haki ya kutolewa kwa machafuko, ama mapinduzi ya kijeshi. Simple as...Kwahyo mkuu mnataka kupindua nchi? Au kwa njia ya maandamano? Ccm bado sana kutoka madarakani mkuu
Hata vijana wote wapigie kura ccm haitotoka madarakani. Ccm nikikundi Cha majambazi kilichoteka nchiKupiga kura ni haki yako lakini sio lazima.
Na kinachonifurahisha ni kuwa sisi vijana hatuna muda huo wa kupiga kura japo sisi ndio tuna mawazo ya kuing'oa ccm madarakani.
Lakini wazee wetu na akina mama ambao huwaambii kitu kuhusu CCM ndio wapiga kura je, kwa mwendo huu ccm itatolewa madaraka?