Mbasembase1970
JF-Expert Member
- Jun 11, 2015
- 6,056
- 4,608
Inaelekea wewe ni mtoto was faiza foxbaada≠badala
hawa waliotawaliwa na chuki unadhani wanao hata huo muda wa kufikiriUkiwa na akili nyingi Kama wewe.
Haya ndio matokeo yake.
UJUAJI MWINGI,CHUKI ZISIZOKUWA NA KICHWA WALA MIGUU.
dini ni sehemu ya Maisha yetu.
Dini zinatuweka Karibu na mungu aliyetuleta duniani.
padre kubaka au sheikh kubaka.
HAYO SIO MAFUNDISHO YA UISLAM WALA UKRISTO.
Kuhusu Vita HYO NI BIASHARA YA MATAIFA MAKUBWA.
Anatia hasira kwa kweli yani tulipo na tunapoelekea ulimwengu unakua si sehemu salama kwa watt
Wanatafuta mnatoHivi wanaume wenzetu wameingiliwa na nini?
Mbona warembo wamejaa na wanahitaji huduma zetu?