Tujiangalie sana na hizi Sunday school na Madrasa

Dunia haihitaji dini, inahitaji upendo. Upuuzi unafanywa maeneo mengi na wenye dini wapo kimya, ikatokea tungekua na wenye upendo tungeweza kusikia kitu ama cha kutupa tumaini au kutupa suluhu.

We need more love.

Pia huyo bwana hafanyi hivyo kwakua yeye ni mwalimu wa dini isipokua ni pedophile ambaye anapata access kwa watoto kwa kuwa ameaminiwa afundishe dini. Hili ni swala la mental casw kuliko la kidini.

Also before watching the video my d.ck was half erect, watched the video and my erection gone. If you were aroused by this then hope unamjua babu seya.
 
Ukiwa na akili nyingi Kama wewe.
Haya ndio matokeo yake.
UJUAJI MWINGI,CHUKI ZISIZOKUWA NA KICHWA WALA MIGUU.
dini ni sehemu ya Maisha yetu.
Dini zinatuweka Karibu na mungu aliyetuleta duniani.
padre kubaka au sheikh kubaka.
HAYO SIO MAFUNDISHO YA UISLAM WALA UKRISTO.
Kuhusu Vita HYO NI BIASHARA YA MATAIFA MAKUBWA.
Kwahiyo unakubaliana nao kuwa dini za mababu zako zilikuwa za kishenzi ila hizi za kukletwa ni za ukweli mpaka unamkashifu aliyeleta hii habari?????
 
Dunia haihitaji dini, inahitaji upendo. Upuuzi unafanywa maeneo mengi na wenye dini wapo kimya, ikatokea tungekua na wenye upendo tungeweza kusikia kitu ama cha kutupa tumaini au kutupa suluhu.

We need more love.

Pia huyo bwana hafanyi hivyo kwakua yeye ni mwalimu wa dini isipokua ni pedophile ambaye anapata access kwa watoto kwa kuwa ameaminiwa afundishe dini. Hili ni swala la mental casw kuliko la kidini.

Also before watching the video my d.ck was half erect, watched the video and my erection gone. If you were aroused by this then hope unamjua babu seya.
Bora mkuu waelezee hawa ndugu zetu wanafikiri kuna ahera na jehanamu ukifanya mabaya halafu wao wanakua wa kwanza kufanya hayo ambayo wanawaaminisha wenzao kuwa yatawapeleka Jehanamu.
 
Lete stori iliyokamilika.

Tunaona mara video, jamaa na katoto anakakamatisha.

Mara huyohuyo kafungamanishwa pingu na askari!

Hayo yametokea wapi na lini?
Hapa si kukuletea story bali video imejikamilisha yenyewe kama wewe umepewa uwezo wa kufikiri vizuri utajua.
 
Tatizo la mleta post ameshindwa kutofautisha Kati ya dini na wafuasi wa dini ambao ni binadamu, hivi ni vitu viwili tofauti kabisa. Sasa Kama isingekua hivi huo Moto usingekuepo, tungekua na pepo tu.
Tofauti yako na ya mtoa mada ni kwamba wewe umeamua kuamini kitu kilicholetwa na wageni kwa kukufumba macho na kuudanganya ubongo wako kuwa walichokileta ni cha kweli. Ukweli ni kwamba hakuna tofauti na huo ushenzi waliowaambia mababu zetu na huu ushenzi wao unaoitwa dini. Wazee wetu walikwenda kuabudu katika miti na mahali mbalimbali kufuatana na Imani zao, wao wakaja na misikiti na makanisa. Wakaja na mitume wakati babu zetu walitumia babu zao waliofariki (tambiko) kama njia ya kupita kumuomba Mungu kupitia wao. Jaribu kujitoa katika utumwa wa mawazo ili uwe huru.
 
Nikiwa si muumini wa hivi vitu viitwavyo dini itaniwia vigumu kuelezea nini maana ya Sunday School ama Madrasa. Hii nawaachia wafia dini zilizoletwa na washenzi waliotulazimisha kufuata mila na desturi zao na kuambia za kwetu ni za kishenzi. Wakatuletea Novel zao wakatuambia vinaitwa vitabu vitakatifu ambavyo kuna mistari inahalalisha utumwa na kushusha thamani ya wanawake.

Baada ya kuuamini ushenzi wao tukawaamini watusaidie kuwafundisha watoto wetu njia rahisi ya kumfikia Mola bila kujua tulikabidhi mbuzi kwa Simba aliyejifanya Beberu. Mengine ni historia.

Najua baadhi watakuja na comment kali hata za kunikashifu ama kuwakashifu watakao iunga mkono hoja. Bali ukweli utabaki palepale baada ya kutusaidia kwa kutuunganisha dini zimekuja kuwa vyanzo vya upotevu wa amani kwa jamii nyingi. Dini zimesababisha vita vikubwa duniani kuna baadhi ya maeneo vita vinaendelea mpaka leo.

Ifike wakati tukubali hizi dini tulizoletewa hazikuja kutusaidia bali kutuangusha tusifike huko mbinguni. Chini kuna clip ya kudhihirisha nini nilichokisema hapo juu. Huko nyuma tuliona mapadre wakilawiti watoto lakini sababu watu wa dini tunawaweka katika makundi ya watu wa Mungu tulinyamazia na hivyo kuwafanya vijana waendelee kunyanyaswa na washetwani.

Niweke neno la kuwaomba msamaha kwa watakaokwazika na huu uzi lakini ndiyo ukweli wenyewe lazima usemwe waziwazi badala ya kuendelea kulumbana dini ya nani bora zaidi hakuna dini iliyo bora zote ni za kishenzi.
View attachment 1250214
View attachment 1250215
Naheshimu mawazo yako, lakini suala la mapadri kulawiti watoto tukiacha ushabiki lina historia pana. Hiyo ilikuwa mipango wakati ule wa ukomunisti kuliingilia kanisa ili kuliondoa kwenye reli, yuko mwana falsafa mmoja wa Urusi aliandaa mpango wa namna ya kutekeleza hilo. Kizazi cha mapadre na maaskofu waliopo sasa ndio matokeo ya mpango huo mchafu kuliua kanisa katoliki. Mfano mzuri huko Marekanj kanisa linakufa taratibu kwani limetekwa tayari na jumuiya ya LGBT na sasa wanahesabika kama sehemu ya kanisa. Zimebaki parish chache sana zinazosimamoa mafunzo ya awali ya kanisa (tradition) na sasa zinatengw na kupigwa vita.

Hivyo kwa hali ya sasa, abiria chunga mzigo wako. Wavamizi wameteka kanisa na sasa wanatekeleza agenda zao kuwafanya watu wasiamini Mungu tena
 
Ni vizuri sana kuheshimu mawazo swali kwako je kuna nchi inaizidi Ireland kwa Ukatoliki? Kwanini kashfa nyingi zilikua huko na si Urusi. Mkuu mimi nimezaliwa katika ukatoliki nimesima seminari mpaka ngazi ya senior Seminary. Hivyo hizo propaganda zinafaa uwaambie wafia ukatoliki siyo watu tunaoujua huo ukatoliki.

Sababu kubwa hii aibu imelikumba kanisa lenye wauumini wengi zaidi duniani ni kulindana. Huko nyuma kijana akilawitiwa na aka report Padri anaaminika zaidi kuliko kijana.

Jiulize kwanini kanisa liliwaficha wahalifu badala ya kuwapeleka mahakamani?

Hii si kwa wakristu hata kwa masheikh jamii inawaona watu wa dini kwa maana ya viongozi wa dini kama malaika lakini kizazi hiki kimebadilika na kujua kwamba ujinga kama huu hautakiwi na at last watu wanalipia makosa yao.

Naomba njoo na utetezi wenye mshiko siyo ku quote waandishi wafia dini.
 
Huyo wenye deeen yao ya haki watakwambia ametumwa na kuchafua waislamu na uislamu.
 
Ni kweli si wongo dini hizi tumeletewa zingine zilisaidia kueneza ukoloni kama Dr David Livingstone alivyokuja na gear ya dini.Huo ni upande mmoja wa shillingi.
Upande mwingine si wongo dini zimetuletea ustaarabu.Waafrika tulikuwa na mambo ya hovyo mno.Kuuana kijinga kwa mila potofu.Mfano eti mtoto akizaliwa meno yakiwa ndio yanaanza kuota ya juu anauawa.
Mtoto akizaliwa zeruzeru anauwawa.Makabila mengine wanasema huwa wanapotea kumbe wanawaua.Kuna baadhi ya makabila zamani ni vigumu kuona zerezeru.
Mtu anamuua kaka yake kisa amezaa watoto wengi wa kike ili watakapoolewa yeye apate ng'ombe.
Mwanamke akipata mimba kabla hajaolewa anapigwa mambo tumboni maani eti ni uchuro.
Mtoto akiugua safura ikipigwa ramli kalogwa na mke mdogo wa baba yake.
Mfalme akifa anazikwa na mtu hai kisa eti anamsindikiza na hata huyo mtu anaona sifa.
Hakika waafrika tulikuwa gizani mno na walituita bara la giza.Ujio wa hizi dini ulitusaidia kiasi chake na walifanikiwa kututawala kwa ujinga wetu.
 
Nikiwa si muumini wa hivi vitu viitwavyo dini itaniwia vigumu kuelezea nini maana ya Sunday School ama Madrasa. Hii nawaachia wafia dini zilizoletwa na washenzi waliotulazimisha kufuata mila na desturi zao na kuambia za kwetu ni za kishenzi. Wakatuletea Novel zao wakatuambia vinaitwa vitabu vitakatifu ambavyo kuna mistari inahalalisha utumwa na kushusha thamani ya wanawake.

Baada ya kuuamini ushenzi wao tukawaamini watusaidie kuwafundisha watoto wetu njia rahisi ya kumfikia Mola bila kujua tulikabidhi mbuzi kwa Simba aliyejifanya Beberu. Mengine ni historia.

Najua baadhi watakuja na comment kali hata za kunikashifu ama kuwakashifu watakao iunga mkono hoja. Bali ukweli utabaki palepale baada ya kutusaidia kwa kutuunganisha dini zimekuja kuwa vyanzo vya upotevu wa amani kwa jamii nyingi. Dini zimesababisha vita vikubwa duniani kuna baadhi ya maeneo vita vinaendelea mpaka leo.

Ifike wakati tukubali hizi dini tulizoletewa hazikuja kutusaidia bali kutuangusha tusifike huko mbinguni. Chini kuna clip ya kudhihirisha nini nilichokisema hapo juu. Huko nyuma tuliona mapadre wakilawiti watoto lakini sababu watu wa dini tunawaweka katika makundi ya watu wa Mungu tulinyamazia na hivyo kuwafanya vijana waendelee kunyanyaswa na washetwani.

Niweke neno la kuwaomba msamaha kwa watakaokwazika na huu uzi lakini ndiyo ukweli wenyewe lazima usemwe waziwazi badala ya kuendelea kulumbana dini ya nani bora zaidi hakuna dini iliyo bora zote ni za kishenzi.
View attachment 1250214
View attachment 1250215

Laana hii
 
wanapiga miti watoto wetu shenzii
 
Ni vizuri sana kuheshimu mawazo swali kwako je kuna nchi inaizidi Ireland kwa Ukatoliki? Kwanini kashfa nyingi zilikua huko na si Urusi. Mkuu mimi nimezaliwa katika ukatoliki nimesima seminari mpaka ngazi ya senior Seminary. Hivyo hizo propaganda zinafaa uwaambie wafia ukatoliki siyo watu tunaoujua huo ukatoliki.

Sababu kubwa hii aibu imelikumba kanisa lenye wauumini wengi zaidi duniani ni kulindana. Huko nyuma kijana akilawitiwa na aka report Padri anaaminika zaidi kuliko kijana.

Jiulize kwanini kanisa liliwaficha wahalifu badala ya kuwapeleka mahakamani?

Hii si kwa wakristu hata kwa masheikh jamii inawaona watu wa dini kwa maana ya viongozi wa dini kama malaika lakini kizazi hiki kimebadilika na kujua kwamba ujinga kama huu hautakiwi na at last watu wanalipia makosa yao.

Naomba njoo na utetezi wenye mshiko siyo ku quote waandishi wafia dini.
Sijaelewa utetezi wenye mashiko ni nini. Mimi naeleza mambo ambayo kama ungekuwa kweli umepita seminary ulipaswa kuyajua. Maneno yako ni ya kawaida vijiweni na sioni haja ya kuvutana kwani halikuwa lengo langu.

Hapo nimeandika kifupi sana lakini kuna mengi ambayo mtu wa ufahamu wako huwezi kuyajua. Hujui lolote kuhusu mtandao uliojikita ndani ya kanisa. Hujui hata hicho unachokiita kulindana ni mtazamo wa nje lakini ndani kuna majanga makubwa zaidi. Ungeeleza nani alikuwa anamlinda nani kwa sababu zipi ningejua nianzie wapi. Do your research.

Huko Ireland unakosema ushoga umetamalaki ndani ya kanisa kwa sababu hizo hizo nilizotaja. Halafu inaonekana hujui hata huko marekani hali ikoje, kuanzia ngazi ya chini hadi juu. Hujui kuwa kuna asilimia kubwa ya watawa ni lgbt na hujui kuwa sehemu mpango ulikofanyiwa ni kwenye seminaries. Kwa kuwa mtazamo wako uko Urursi kwa sababu ya ideology ilikozaliwa basi unadhani hata ujamaa uko Urusi tu.

Kwa kifupi kanisa katoliki limeshatekwa, ni wachache waliosalia wenye mtazamo wa awali. Nikiwa na nafasi nitaandika makala ndefu kuelezea kwa undani kuhusu suala hili, lakini kwa sasa itoshe kusema hayo
 
Tofauti yako na ya mtoa mada ni kwamba wewe umeamua kuamini kitu kilicholetwa na wageni kwa kukufumba macho na kuudanganya ubongo wako kuwa walichokileta ni cha kweli. Ukweli ni kwamba hakuna tofauti na huo ushenzi waliowaambia mababu zetu na huu ushenzi wao unaoitwa dini. Wazee wetu walikwenda kuabudu katika miti na mahali mbalimbali kufuatana na Imani zao, wao wakaja na misikiti na makanisa. Wakaja na mitume wakati babu zetu walitumia babu zao waliofariki (tambiko) kama njia ya kupita kumuomba Mungu kupitia wao. Jaribu kujitoa katika utumwa wa mawazo ili uwe huru.
Sasa niambie, ninyi msioamini katika dini hamfanyi mambo machafu? Ukinijibu hili kwa usahihiBasi nitahamia katika mitazamo yenu

Na kuhusu hayo mawazo yako kwamba sisi tunaoamini uwepo wa Mungu kupitia dini(uislamu) ya kwamba hatupo huru, hebu niambie wewe kutoamini uwepo wa Mungu kumekuweka huru kwa kiasi gani, na unaenjoy maisha kwa kiasi gani?
 
Dunia haihitaji dini, inahitaji upendo. Upuuzi unafanywa maeneo mengi na wenye dini wapo kimya, ikatokea tungekua na wenye upendo tungeweza kusikia kitu ama cha kutupa tumaini au kutupa suluhu.

We need more love.

Pia huyo bwana hafanyi hivyo kwakua yeye ni mwalimu wa dini isipokua ni pedophile ambaye anapata access kwa watoto kwa kuwa ameaminiwa afundishe dini. Hili ni swala la mental casw kuliko la kidini.

Also before watching the video my d.ck was half erect, watched the video and my erection gone. If you were aroused by this then hope unamjua babu seya.
Dunia inahitaji vitu vingi mkuu na si upendo tu.
 
Tofauti yako na ya mtoa mada ni kwamba wewe umeamua kuamini kitu kilicholetwa na wageni kwa kukufumba macho na kuudanganya ubongo wako kuwa walichokileta ni cha kweli. Ukweli ni kwamba hakuna tofauti na huo ushenzi waliowaambia mababu zetu na huu ushenzi wao unaoitwa dini. Wazee wetu walikwenda kuabudu katika miti na mahali mbalimbali kufuatana na Imani zao, wao wakaja na misikiti na makanisa. Wakaja na mitume wakati babu zetu walitumia babu zao waliofariki (tambiko) kama njia ya kupita kumuomba Mungu kupitia wao. Jaribu kujitoa katika utumwa wa mawazo ili uwe huru.
Hivi kuna mambo mangapi walikuwa wakiyafanya mababu zetu na sasa hatuyafanyi kwanini iwe walichokuwa wakiamini mababu katika enzi zao ndiyo kiwe muhimu sana na isiwe mavazi waliyovaa,usafiri waliyosafiria na hadi tiba walizotibiana?kama tunaamini mababu walikuwa bora sana kwanini tusifuate yote waliyoyafanya maana walikuwa watu bora hivyo walivyofanya wao vilikuwa vitu bora hakuna haja ya kufanya ya kuletewa. Lakini leo umevaa jeans ambayo si vazi alilovaa babu zetu,unatibiwa na tiba za wazungu huko na kuacha kujitibu kama walivyojitibu mababu..lakini kwenye imani ndio tunashikilia kuwa ni imani za mababu(japo hatujui nao walizitoa wapi) hivyo ndio sahihi ila mavazi yao hayakuwa sahihi?
 
Back
Top Bottom