Tujifunze kitu kwa misiba ya vigogo hawa na idadi ya watoto

Wewe ulizika vitu 2 kwa mpigo ndiyo maana ulikuwa na uchungu sana. Ulizika future yako na ukazika mwili wa babako, lkn hawa wanazika mwili wa baba yao tu. Kwasabb future tayari baba yao amewatengenezea
Kwaiyo baba akishatengeza future akifa uchungu unapungua?
 
Masikini ndo tunazaa ovyo. Kuna tofauti kati ya kuzaa watoto ili uwatunze wajisaidie wenyewe na kuzaa watoto ili waje wakusaidie baadae. Tajiri anazaa watoto ili wajisaidie baadae
 
Watoto wao ni kundi la watawala sharti wawe wachache
Sie watoto wetu ni kundi la wapiga kura hivyo sharti wapiga kura wawe wengi kura zitoshe.
Nawasilisha.
 
Sasa mbona umepanic? Au wewe unalipwa buku7 kwa siku?
Hii picha unayoiona hapo kwenye Avatar inaakisi sehemu ya kazi ninazofanya.

Unajua mshahara wa kazi hii plus other benefits?

Nimezungumza kwa muktadha wa jumla bila kujali nani ana kiwango gani cha maisha suala la kuwa na idadi fulani ya watoto linabaki kuwa choice yake kwasababu hajaja kukuomba msaada wa kumsaidia kulea familia yake.

Binafsi kiumri nipo kwenye my early 30 nina watoto watatu lakini bado ni wachache sana nahitaji zaidi ya 10 kama ikiwezekana na ndivyo nilivyochagua iwe.
 
Atakuwa na mmoja wa nje
 
Hivi kafarik kwa ugonjwa gani mbona cjaona popote ilipotajwa ugonjwa.. Hata salamu za familia hazikugusia kilichomuua
 
Watoto wakavu utasema wamefiwa na jirani.
Watoto wa Kishua. Misiba ya Kishua hizi ndo pigo zake. Watoto wana uhakika wa maisha hata baada ya baba yao kuondoka. Misiba ya kipato cha chini ndio mara nyingi hutawaliwa na vilio na simanzi kubwa hasa wanapoondokewa na waliyekuwa wanamtegemea kwa kila kitu.
 
Mie nawaMIMBA tu, watoto waje tu kadri nitakavyopewa, sina mambo ya idadi mie.
 
Imeandikwa,

Mwanzo 1:28​

Mungu akawabariki na akawaambia, “Zaeni na mkaongezeke, mkaijaze tena dunia na kuitiisha. Mkatawale samaki wa baharini, ndege wa angani, na kila kiumbe hai kiendacho juu ya ardhi.”

ni muhimu sana kuwafyatua watoto kadiri ya neema na baraka za Mungu
 
Nilitaka nikaoe kwa mbowe ila sasa nimeghairi naenda kuoa kwa ndugulile
Tafadhali sana tusiingiliane nmewaachia sana watu watoto wazur ila Kwa Ndugulile mm ndo nitaoa na tayar nishaanza kuchombeza ,yule dada alipita karbu na mm nkamwambia " gudi ivinini biutiful ledi" akaitia 'thanki yuu naisi boy'
 
Hapo uliposema imeandikwa, Nani kaandika ? Hapo wazungu wenyewe walioandika biblia mbona hawazai hovyo kama watu weusi.?
 
Mtu yeyote anayezaa watoto wachache chini ya wanne 4 Hana akili..

Ardhi yetu Tanzani ni kubwa sana na Africa Bado ni kubwa sana. Mtu anaweza kuishi popote kwa kufanya shughuli yeyote ndani ya nchi au Africa na Bado akafanikiwa vizuri TU.

Hii propaganda ya kuzaa watoto wachache ni mikakati ya magharibi ( nchi za ulaya na marekani) kupunguza idadi ya mtu mweusi duniani.

Kumbuka kidole kimoja hakivunji chawa. Mnatakiwa muwe wengi ndio muwe na nguvu yaani kama population ya china au India unaweza ikajigawa na kuzalisha bidhaa tofauti na kujiuzia yenyewe na Bado ikasonga mbele.

Kuna wakati nadhani ni 2019 kulikuwa na semina Kanisani kwetu baada ya Misa ( Katoliki) na ilihusu kudorora kwa uzazi Tanzania , Africa na duniani ( hasa familia za kikristu) kwa ujumla.

Padre mtoa mada aliongelea vizuri sana kuhusu propaganda za magharibi. Lakini pia akasema hata wao hizo policy za uzazi WA mpango zinawatokea puani maana ukienda uingereza makanisa hayana waumini na yanageuzwa misikiti.

Means waarabu ( kitu ambacho hata Gadafi Kuna clip anazungumzia) wamejipanga kuitawala ulaya kwa wingi wa population miaka ijayo kwahiyo kwa Sasa wanazaliana sana huko ulaya.

Padre akasema hebu Mwenye mjamzito hapa ndani asimame, akasimama mwanamke MMOJA TU. Akasema unaona!!!??? Watu wanadanganyana wanafunga ndoa wanazaa mtoto MMOJA au wawili basi..... Je nchi itajazwa na nani???

Kuna mikoa na wilaya Sasa hivi ni aibu, shule za awali hazina watoto na darasa la kwanza hamna watoto. Nchi inakwenda wapi?? Je miaka 50 mbele nchi ITAKUWA kwenye mustakabali Gani???

Tusikurupuke TU kujazana ujinga hapa. Wewe zaa jaza Dunia kama Mungu alivyoamuru kama una uwezo somesha kama huna elimu Tanzania ni Bure Hadi six, hata asiposoma anaweza kuwa mkulima, mfugaji, mvuvi, fundi mwashi, mama ntilie na kadhalika.

Lengo la wazungu ni kutujaza ujinga kama wanavyofanya kwenye mambo ya jinsia Moja kuoana. Mwishoni mnajikuta mna Taifa la watu wachache wengi wakiwa mashoga na wasagaji halafu wanarudi upya kututawala....
 
Cultural Alienation inalipiga tabaka la juu. Hawa wanaadopt actively and enthusiastically tamaduni za ulaya kwa fahari kubwa. Hata grieving huwezi iona misibani tena. Sad
 
Mweli




Aisee pole Sana.
Tusimkufuru mungu watoto idadi na future prospects zinapangwa na muumba wetu kwa sababu zake mbali mbali regardless all mentioned mentioned factors leo kuna mataji wanakila kitu na wanapopita vituo vya afya duniani wapo normal ila hawapati watoto kuna wengn leo unaoewa kesho wote mungu wmanawachukua kuna masikini mwanzo shida mbele kuna kipato so mwenyew kwa wale wenye imani ni mungu ndo anaendesha haya
 
Ndugu ubize na kutumia muda mwingi kwenye elimu ndo unawafanya hawa wasizae Sana. Ila wangekuwa na muda wangezaa Sana tu. Wanaume wengi wanapenda Sana watoto
 
Sahihi.
 
Nimeishia hapo uliposema watu wazae maana nchi NI kubwa Sana ardhi NI kubwa, ndio NI kubwa lakin kuna maskin Kula mlo mmoja kwa siku NI kasheshe kwenye ardhi unavyosema IPO Hana hata 10 kwa 10, nyie jazaneni ujinga tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…