Dah umeongea kitu ambacho hakuna hata member anakiwaza jamani tusidharau wasio na wakuwabeba wavuja jasho wa kariakoo na wauza miguu yabkuku ndio inalipa mishahara hao watt wa mabrigedia mnaowaimba kila hali na tabaka flani ni milestone ya jamii ya juuNdo hivyo Mwajuma analipa kodi huyo mwingine halipi kodi
Kodi ya mwajuma ndo inamfanya huyo mwingine asome ulaya
wagonjwa sawa, inafaa mkae pembeni,Hapo uliposema imeandikwa, Nani kaandika ? Hapo wazungu wenyewe walioandika biblia mbona hawazai hovyo kama watu weusi.?
Wanasema wanatakiwa wazaane Sana eti, bila kujali Una nini, hata kama humiliki chochote hata kikombe, kwa maelezo Yao zaa hata watoto 7, sasa sijui Nani atawaleaSahihi.
Mimi Kula yangu ya shida, tunashindia uji WA chumvi na dagaa, Nina mke na watoto7, nakaa chumba na sebule na Nimepanga sio kwangu sina hata kiwanja, watoto hawapati chakula Bora, unanishaurije niendelee kufyatua waje niendelee kuwatesa au nipunguze speed?wagonjwa sawa, inafaa mkae pembeni,
lakini wale wengine ambao tuko timamu kiafya,
yafaa kushirikiana na Mungu kazi hii muhimu na ya maana sana ya uumbaji, bila kuchoka wala sijui kutumia kondomu au uzazi wa mpango....
hiyo ni kosa kabisa, fyatua watoto kadiri iwezekanavyo
Siwezi kua masikini wa hela alafu niwe maskini wa watoto wakati uzazi Mungu kanipa huo ujinga sina. Siku utakapo kuja kujua eiza umeondokewa na hao watoto ghafla bila kutegemea na wewe umri umeendaKosa kubwa alilofanya ni ile akili ya MTU mweusi ya kufanya Accumulation bila distribution
Yale maeneo potential yote aliyojimilikisha kigamboni Kama angeamua kutoa ghorofa lake moja akawapa wanafunzi wakaishi bure au akawa na programs maalumu za kuwalipia Ada wanafunzi hata wanafunzi 100 kila mwaka .
Tafsiri sahihi ya utajiri ya MTU mweusi huwa inafikirisha Sana .
Sanaaa,nimejifunza jambo kubwa sanaaa.Hapa nina mmoja hovyo kwa dhati kabisa nitaongeza mmoja tena nikioaFamily plan ni muhimu sana
Tujikite kwenye point, KILA MTU AZAE KULINGANA NA KIPATO CHAKE, hapo ya Ku guess tuachane nayoUna hoja mtoa maada usipuuzwe, lakini wengine wana changamoto za uzazi, wengine hasa vgogo wake zao ni wajuaji hawapendi kabisa kuzaa zaa, mimba zingine hua zinatolewa kimya kimya bila mme kujua. We utazan ni uzaz wa mpamgo kumbeee!!!!!!
Unakuta hata hao wawili sio wa marehemu.
Tahadhari kwa wazazi uzungu ukizidi sana ndio haya matokeo, ujasiri unaotoa wapi mtoto mdogo unamzika Baba yako uneongelea mziki wa Prof J, sisemi alie agalegale hapana ila sisi wa Africa wazazi tukipoteza ni pigo haijalishi wewe ni nani ila wenzetu naona mpaka tabia wanaiga za huko tuliona hata kwenye msiba wa Mafuru sijui labda ndio watoto wa kileo lakini mimi nilimzika mzazi wangu kwa uchungu hata kama sikulia hadharani lakini sura yangu sikuweza kuficha dhoruba.
Halafu ukute watoto uliowazaa karibuni wote hasara tupu ya kimaadili na kiutendaji ambayo huchagizwa na kutokuwamudu kimalezi kwasababu ya wingi wao.Wanasema wanatakiwa wazaane Sana eti, bila kujali Una nini, hata kama humiliki chochote hata kikombe, kwa maelezo Yao zaa hata watoto 7, sasa sijui Nani atawalea
Ambao watapata mahitaji yote ya kibinadamu kwa wakati na ubora mpaka pale watakapo anza kujitegemea.Sanaaa,nimejifunza jambo kubwa sanaaa.Hapa nina mmoja hovyo kwa dhati kabisa nitaongeza mmoja tena nikioa
Kuzaa Watoto Wawili ni UMASIKINI MBAYA SANAWatoto wawili? Kama utajiri na usomi ndo kuzaa watoto wachache kama alama ya kuwa civilized, vipi kuhusu Kikwete? Mwinyi etc?
Furaha wanayo lakini mda mwingine ni mateso kulala pamoja mmerundikana kama utitiriMalizia..na wanafuraha
Mkuu huu mkoa wa Pwani umeshazunguka ukaona ardhi yake?Nimeishia hapo uliposema watu wazae maana nchi NI kubwa Sana ardhi NI kubwa, ndio NI kubwa lakin kuna maskin Kula mlo mmoja kwa siku NI kasheshe kwenye ardhi unavyosema IPO Hana hata 10 kwa 10, nyie jazaneni ujinga tuu
Nadhani hamjamuelewa mleta mada.Wqtoto wa
Kuzaa Watoto Wawili ni UMASIKINI MBAYA SANA
Humo humo. Unavyozidi kuzaa ndio akili inavyopanuka na ndio unavyoijaza nchi.Nadhani hamjamuelewa mleta mada.
Mleta mada anasema tuzae kulingana na uwezo wetu.
Huyo Ndugulile hata angekua na watoto kumi uwezo unaruhusu kama huyo Kikwete.
Pangu pakavu unazaa watoto wanne nyumba ya kupanga chumba na sebule.
ππππππππππAya mkuu.Humo humo. Unavyozidi kuzaa ndio akili inavyopanuka na ndio unavyoijaza nchi.