No logicKosa kubwa alilofanya ni ile akili ya MTU mweusi ya kufanya Accumulation bila distribution
Yale maeneo potential yote aliyojimilikisha kigamboni Kama angeamua kutoa ghorofa lake moja akawapa wanafunzi wakaishi bure au akawa na programs maalumu za kuwalipia Ada wanafunzi hata wanafunzi 100 kila mwaka .
Tafsiri sahihi ya utajiri ya MTU mweusi huwa inafikirisha Sana .
Hayo ni matumizi mabaya ya Rasilmali utaratibu ni kuzaa watoto kadri ya mali au uwezo wakiuchumi ulionao sasa yeye watoto 2 kweli!Nipo nacheki hapa msiba WA Ndugulile, kuacha watoto wawili tuu, pamoja alikuwa ana uwezo wa kipesa na cheo lakini kaishia kwenye watoto wawili, watoto wawili hawa naona kawakuza na kuwasomesha kwenye shule za gharama inawezekana nje ya nchi maana hata Kiswahili chao ni broken sana wanakuwa kama sio watanzania.
Lawrence Mafuru nae nadhani aliacha watoto wawili tuu.
Swali kwa makapuku wenzangu, hivi Sisi maskini tunazaa watoto wengi ili iweje? na utakuta pengne hata uwezo wa kuwahudumia tuu kikamilifu kwenye elimu na gharama za kila siku hatuwezi, nini maana ya hii?
Nahis NI vizuri kuzaa watoto kulingana na kipato chako, ambao utawamudu vizuri, utakaowapa elimu ya uhakika sio hii ya kuunga unga.
Sisi maskini tunawaza eti tukizaa watoto wengi ndio hao badae watatusaidia, wewe mzazi somesha mtoto, hudumia kwa kadiri ya uwezo wako maana ni jukumu lako, badae akipata maisha mazuri NI yeye sasa atajua atakusaidiaje, ndio ile utakuta wazazi wananunia wakwe zao wanaona kama wao ndio wanafanya wasipewe pesa na mtoto wao.
Tuzae Kwa mahesabu, utakuta mtu ana watoto wanne, halafu kapanga chumba na sebule, sasa jiulize hapo ndani wanaishije, tuwekeze nguvu kwenye kujenga uchumi Kwanza na kuzaa kwa akili.
View attachment 3167382
Sawa tunajikita kwenye maada mkuu, kila mtu azae kulingana na uwezo wake, je, unataka kutuaminisha kua uwezo wa kipesa wa mafuru ulikua kuzaa watoto wawili tu?Tujikite kwenye point, KILA MTU AZAE KULINGANA NA KIPATO CHAKE, hapo ya Ku guess tuachane nayo
Ni nani alizaa hao watoto unaosema wakaishi bure kwenye gorofa?Kosa kubwa alilofanya ni ile akili ya MTU mweusi ya kufanya Accumulation bila distribution
Yale maeneo potential yote aliyojimilikisha kigamboni Kama angeamua kutoa ghorofa lake moja akawapa wanafunzi wakaishi bure au akawa na programs maalumu za kuwalipia Ada wanafunzi hata wanafunzi 100 kila mwaka .
Tafsiri sahihi ya utajiri ya MTU mweusi huwa inafikirisha Sana .
Tutafute hela.... ukifiwa una uhakika hata ukilala miaka maisha yanasonga unalia kidogo tu unakua poa.Hakuna kulia kwa kugalagala na kuzimia
Utakuta zuzu limezaa watoto 10 halafu halina hata kazi wala kipato cha kueleweka .Nipo nacheki hapa msiba WA Ndugulile, kuacha watoto wawili tuu, pamoja alikuwa ana uwezo wa kipesa na cheo lakini kaishia kwenye watoto wawili, watoto wawili hawa naona kawakuza na kuwasomesha kwenye shule za gharama inawezekana nje ya nchi maana hata Kiswahili chao ni broken sana wanakuwa kama sio watanzania.
Lawrence Mafuru nae nadhani aliacha watoto wawili tuu.
Swali kwa makapuku wenzangu, hivi Sisi maskini tunazaa watoto wengi ili iweje? na utakuta pengne hata uwezo wa kuwahudumia tuu kikamilifu kwenye elimu na gharama za kila siku hatuwezi, nini maana ya hii?
Nahis NI vizuri kuzaa watoto kulingana na kipato chako, ambao utawamudu vizuri, utakaowapa elimu ya uhakika sio hii ya kuunga unga.
Sisi maskini tunawaza eti tukizaa watoto wengi ndio hao badae watatusaidia, wewe mzazi somesha mtoto, hudumia kwa kadiri ya uwezo wako maana ni jukumu lako, badae akipata maisha mazuri NI yeye sasa atajua atakusaidiaje, ndio ile utakuta wazazi wananunia wakwe zao wanaona kama wao ndio wanafanya wasipewe pesa na mtoto wao.
Tuzae Kwa mahesabu, utakuta mtu ana watoto wanne, halafu kapanga chumba na sebule, sasa jiulize hapo ndani wanaishije, tuwekeze nguvu kwenye kujenga uchumi Kwanza na kuzaa kwa akili.
View attachment 3167382
Jitahidi kuelewa hojaSawa tunajikita kwenye maada mkuu, kila mtu azae kulingana na uwezo wake, je, unataka kutuaminisha kua uwezo wa kipesa wa mafuru ulikua kuzaa watoto wawili tu?
Ungesema kila mtu azae anavyotaka bila kujali uwezo wake kipesa hapo ningekuelewa sana.
Naona kama unajitekenya na kucheka mwenyewe!!!
Hata kitanda halina, mwisho wa siku watoto wanakuwa kama kuku wa kienyejiUtakuta zuzu limezaa watoto 10 halafu halina hata kazi wala kipato cha kueleweka .
Upuuzi
Dah nomah sana, nilikuwa nataka watoto watatu lakini mwenzangu hesabu yake ni Tano sa nikisema nilete Undugulile si nitalea shahaw* za wahuni😢😥Nipo nacheki hapa msiba WA Ndugulile, kuacha watoto wawili tuu, pamoja alikuwa ana uwezo wa kipesa na cheo lakini kaishia kwenye watoto wawili, watoto wawili hawa naona kawakuza na kuwasomesha kwenye shule za gharama inawezekana nje ya nchi maana hata Kiswahili chao ni broken sana wanakuwa kama sio watanzania.
Lawrence Mafuru nae nadhani aliacha watoto wawili tuu.
Swali kwa makapuku wenzangu, hivi Sisi maskini tunazaa watoto wengi ili iweje? na utakuta pengne hata uwezo wa kuwahudumia tuu kikamilifu kwenye elimu na gharama za kila siku hatuwezi, nini maana ya hii?
Nahis NI vizuri kuzaa watoto kulingana na kipato chako, ambao utawamudu vizuri, utakaowapa elimu ya uhakika sio hii ya kuunga unga.
Sisi maskini tunawaza eti tukizaa watoto wengi ndio hao badae watatusaidia, wewe mzazi somesha mtoto, hudumia kwa kadiri ya uwezo wako maana ni jukumu lako, badae akipata maisha mazuri NI yeye sasa atajua atakusaidiaje, ndio ile utakuta wazazi wananunia wakwe zao wanaona kama wao ndio wanafanya wasipewe pesa na mtoto wao.
Tuzae Kwa mahesabu, utakuta mtu ana watoto wanne, halafu kapanga chumba na sebule, sasa jiulize hapo ndani wanaishije, tuwekeze nguvu kwenye kujenga uchumi Kwanza na kuzaa kwa akili.
View attachment 3167382
Upendo kwa wazazi unakuwa 0Matokeo ya kupeleka watoto boarding schools tangu grade one
Hao wana kipato na resources za kuhakikisha malezi na future za watoto wao hata ikitokea emergency wametoweka duniani .Tukianza kujilinganisha na Ndugulile na Mafuru utaona watu wengi hawàna sifa ya kuwa háta na nusu mtoto!
Siyo kweli kwamba hao wawili wanawakilisha wenye hela wote kuwa nà watoto wawili wawili.
Hao ni uzembe wao tuu mbona husemi waziri Jafo mwenye wake wanne na watoto lukuki?
Nchengerwa, Awesu, Hafidh nk wana hela na wana wake zaidi ya mmoja?
Unadhani hawa hawamjui Ndugulile, au Mafuru?
Huzuni sio lazima kulia mtanganyika😁😂😂Watoto wakavu utasema wamefiwa na jirani.
Kama marafiki zao wa muda wote ni midoli wataujua lini uchungu wa mzaziWatoto wakavu utasema wamefiwa na jirani.
Mungu atussidie kwenye maleziUpendo kwa wazazi unakuwa 0
Kama Una uwezo WA kuzaa WA5 sawa, ila kama huna uwezo utasaidiwa kuleaDah nomah sana, nilikuwa nataka watoto watatu lakini mwenzangu hesabu yake ni Tano sa nikisema nilete Undugulile si nitalea shahaw* za wahuni😢😥
Hivi Mtoto wa kwanza wa the late Ndugulile ana miaka mingapi?Family plan ni muhimu sana
Hapo NI sawa, si Wana uwezo WA kuwalea? Hata wazae watoto 100, kama wanauwezo nao sawa, Mimi nawapinga wale njaa kali halafu Wana watoto kama utitiriWengi wameigiza wazungu bila kujua kuwa kuna aina nyingine za wazungu wanazaa hadi kumi na ushei. Nenda Marekani au Kanada uone wamenonnite na wajerumani wanavyofyatua watoto usiku na mchana utajua nisemacho kwa wale waliowahi kuishi katika nchi hizi.