Tujifunze kitu kwa misiba ya vigogo hawa na idadi ya watoto

Kabinti kamecharaza ngeli imenyooka balaa, kamemzidi mpaka Mwana FA
 
Kingereza sio shida ,swala upo kichwani upo vizuri?
Marehem alikua vizuri that's mpaka anafika itwa dr amechakaza Cadaver , wenda mwinginge alikesha na mifupa ya Cadaver akisoma anatomy , sasa huyu akizungumza kingereza mwamuona yupo vizuri , Dr,s should be respected ,nchi nzima , kama sio Dunia
 
Faida za ukoo mkubwa ni zipi? Kwako binafsi au kwa mwanaukoo
 
Hao walioishia la7 ndo hao wakisema sasa wasomi hamna hela mnaanza kununa,Dunia time change sana kwa sasa determination ya pesa imehama,hata asiyejua kusoma ana hesabu mabunda ya pesa na anatumia vizur all means ya technologia.Chunguza
 
Watoto wakavu utasema wamefiwa na jirani.
Na hayo ni mafunzo yanaanza ukiwa mdogo… emotional intelligence ni very critical component ya maisha ya sasa

Na hawa watoto wanasoma kwa exposure za namna hiyo

Kulia kuuutwa sio ishara ya mapenzi, ni ishara nyingine kabisa

KWa anayeamini Mungu na matendo yake, anayejua death ina maana gani na anayejua public conducts ni tofauti na private conduct huwezi kumkuta anachsnganya madesa
 
Kuzaa ni haki ya kila binadam alokamilika ila tuitumie haki iyo vzr
 
Faida za ukoo mkubwa ni zipi? Kwako binafsi au kwa mwanaukoo
Mkuu,
Inamaana Jambo jepesi Kama hili nalo nila Mimi kukupa MERITS & DEMERITS πŸ€£πŸ€£πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ€£πŸ˜‚
 
Matajiri wana vyumba vingi kuliko idadi ya watoto wakati masikini wa fikra siku zote kama kanuni, Huwa na idadi kubwa ya watoto kuliko vyumba....Kulala mzungu wa nne ni kitu cha kawaida!.
 
Tajiri na mali zake maskini na wanae. Fahari ya maskini ni kuzaa na starehe kuu ya maskini ni ngono.
 

HAYA NYIE MNAOSEMA WATU WAZAE TUU, NJOONI
Zaaa wewe acha UVIVU!! wewe unafikiri huo muhogo MUNGU likupa wa nini?,,,,,kwanza mnatenda dhambi sana kwenda kinyume na maagizo ya MUNGU!! mungu alisema "zaeni mkaijaze DUNIA!! leo hii wazungu wanahangaika kwani raia wanafuata uzazi wa mpango matokeo yake hamna nguvu kazi!! ukienda CANADA na MAREKANI kuna ki2 inaitwa green card!!...ZAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!
 
Una uhakika alikuanao hao tu? Alafu mbona kuna matajiri wengi tu wanawatt lukuki?
 
Duu! Ngoja kwanza nikimbie πŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈπŸƒβ€β™‚οΈ
Nduki .

πŸƒπŸΏβ€β™‚οΈβ€βž‘οΈ,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,,
 
Kifo kinapaswa kuambatana na sherehe za kumtakia marehemu apokelewe vema huko mbinguni, na siyo vilio.

Biblia imeandika "kufa kwangu ni faida, kwa maana kuishi ni kristo".
Basi tusingekuwa tunauguza wagonjwa ili wafe tufanye sherehe na mwandishi wa biblia apate faida
 
Mfano angekua kafa Mama yao je?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…