Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kingereza sio shida ,swala upo kichwani upo vizuri?Nipo nacheki hapa msiba wa Ndugulile, kuacha watoto wawili tu, pamoja alikuwa ana uwezo wa kipesa na cheo lakini kaishia kwenye watoto wawili, watoto wawili hawa naona kawakuza na kuwasomesha kwenye shule za gharama inawezekana nje ya nchi maana hata Kiswahili chao ni broken sana wanakuwa kama sio watanzania.
Lawrence Mafuru nae nadhani aliacha watoto wawili tu.
Swali kwa makapuku wenzangu, hivi Sisi maskini tunazaa watoto wengi ili iweje? Na utakuta pengne hata uwezo wa kuwahudumia tuu kikamilifu kwenye elimu na gharama za kila siku hatuwezi, nini maana ya hii?
Nahis NI vizuri kuzaa watoto kulingana na kipato chako, ambao utawamudu vizuri, utakaowapa elimu ya uhakika sio hii ya kuunga unga.
Sisi maskini tunawaza eti tukizaa watoto wengi ndio hao badae watatusaidia, wewe mzazi somesha mtoto, hudumia kwa kadiri ya uwezo wako maana ni jukumu lako, badae akipata maisha mazuri NI yeye sasa atajua atakusaidiaje, ndio ile utakuta wazazi wananunia wakwe zao wanaona kama wao ndio wanafanya wasipewe pesa na mtoto wao.
Tuzae Kwa mahesabu, utakuta mtu ana watoto wanne, halafu kapanga chumba na sebule, sasa jiulize hapo ndani wanaishije, tuwekeze nguvu kwenye kujenga uchumi Kwanza na kuzaa kwa akili.
Faida za ukoo mkubwa ni zipi? Kwako binafsi au kwa mwanaukooBinafsi, docta alitakiwa kua na watoto wengi..
Kama Dr.FAU amefariki na miaka 51 akiwa na kijana huyo mmoja ndio KUSEMA UKOO WA NDUGULILE upo HATARINI KUPOTEA huyo kijana wake anatakiwa azae watoto wengi wa kiume ili ukoo upate vijana wakuuendeleza ukoo.
Binafsi hata sisi ukoo wetu umekua na watu wachache Sana maana wanawake sio wanao beba jina la UKOO
☺️😊 Unakuta ukoo una watu below 20 shame..
Hao walioishia la7 ndo hao wakisema sasa wasomi hamna hela mnaanza kununa,Dunia time change sana kwa sasa determination ya pesa imehama,hata asiyejua kusoma ana hesabu mabunda ya pesa na anatumia vizur all means ya technologia.ChunguzaTunazaa wengi halafu wanabaki kichunga kama mifugo ya Kisukuma! Sisi Waafrika ni watu wa ajabu sana. Kuna ki bwana mdogo kikawa kinajisifia mimi nina watoto 15 eti kinanicheka mimi niliyeishia watoto wasiomaliza kiganja kimoja. Nikakauliza wamesoma mpaka la ngapi? Aliyejitahidi kaishia form ya D ya Kiswahili! Kazi kweli kweli!
Na hayo ni mafunzo yanaanza ukiwa mdogo… emotional intelligence ni very critical component ya maisha ya sasaWatoto wakavu utasema wamefiwa na jirani.
Mkuu,Faida za ukoo mkubwa ni zipi? Kwako binafsi au kwa mwanaukoo
Ukiishi mbali na wanao kuhusu mapenzi hupotea na hili hutokezaWatoto wakavu utasema wamefiwa na jirani.
Utaweza kuwahudumia hao 20? Lets be realisticaly here, can you keep up with them mpaka wajitegemee?Waliendekeza ujinga, mambo ya uzazi wa mpango ni ujinga. Walitakiwa wawe angalau na wake wanne na watoto hata 20
Tajiri na mali zake maskini na wanae. Fahari ya maskini ni kuzaa na starehe kuu ya maskini ni ngono.Nipo nacheki hapa msiba wa Ndugulile, kuacha watoto wawili tu, pamoja alikuwa ana uwezo wa kipesa na cheo lakini kaishia kwenye watoto wawili, watoto wawili hawa naona kawakuza na kuwasomesha kwenye shule za gharama inawezekana nje ya nchi maana hata Kiswahili chao ni broken sana wanakuwa kama sio watanzania.
Lawrence Mafuru nae nadhani aliacha watoto wawili tu.
Swali kwa makapuku wenzangu, hivi Sisi maskini tunazaa watoto wengi ili iweje? Na utakuta pengne hata uwezo wa kuwahudumia tuu kikamilifu kwenye elimu na gharama za kila siku hatuwezi, nini maana ya hii?
Nahis NI vizuri kuzaa watoto kulingana na kipato chako, ambao utawamudu vizuri, utakaowapa elimu ya uhakika sio hii ya kuunga unga.
Sisi maskini tunawaza eti tukizaa watoto wengi ndio hao badae watatusaidia, wewe mzazi somesha mtoto, hudumia kwa kadiri ya uwezo wako maana ni jukumu lako, badae akipata maisha mazuri NI yeye sasa atajua atakusaidiaje, ndio ile utakuta wazazi wananunia wakwe zao wanaona kama wao ndio wanafanya wasipewe pesa na mtoto wao.
Tuzae Kwa mahesabu, utakuta mtu ana watoto wanne, halafu kapanga chumba na sebule, sasa jiulize hapo ndani wanaishije, tuwekeze nguvu kwenye kujenga uchumi Kwanza na kuzaa kwa akili.
Nipo nacheki hapa msiba wa Ndugulile, kuacha watoto wawili tu, pamoja alikuwa ana uwezo wa kipesa na cheo lakini kaishia kwenye watoto wawili, watoto wawili hawa naona kawakuza na kuwasomesha kwenye shule za gharama inawezekana nje ya nchi maana hata Kiswahili chao ni broken sana wanakuwa kama sio watanzania.
Lawrence Mafuru nae nadhani aliacha watoto wawili tu.
Swali kwa makapuku wenzangu, hivi Sisi maskini tunazaa watoto wengi ili iweje? Na utakuta pengne hata uwezo wa kuwahudumia tuu kikamilifu kwenye elimu na gharama za kila siku hatuwezi, nini maana ya hii?
Nahis NI vizuri kuzaa watoto kulingana na kipato chako, ambao utawamudu vizuri, utakaowapa elimu ya uhakika sio hii ya kuunga unga.
Sisi maskini tunawaza eti tukizaa watoto wengi ndio hao badae watatusaidia, wewe mzazi somesha mtoto, hudumia kwa kadiri ya uwezo wako maana ni jukumu lako, badae akipata maisha mazuri NI yeye sasa atajua atakusaidiaje, ndio ile utakuta wazazi wananunia wakwe zao wanaona kama wao ndio wanafanya wasipewe pesa na mtoto wao.
Tuzae Kwa mahesabu, utakuta mtu ana watoto wanne, halafu kapanga chumba na sebule, sasa jiulize hapo ndani wanaishije, tuwekeze nguvu kwenye kujenga uchumi Kwanza na kuzaa kwa akili.
Zaaa wewe acha UVIVU!! wewe unafikiri huo muhogo MUNGU likupa wa nini?,,,,,kwanza mnatenda dhambi sana kwenda kinyume na maagizo ya MUNGU!! mungu alisema "zaeni mkaijaze DUNIA!! leo hii wazungu wanahangaika kwani raia wanafuata uzazi wa mpango matokeo yake hamna nguvu kazi!! ukienda CANADA na MAREKANI kuna ki2 inaitwa green card!!...ZAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA!!!HAYA NYIE MNAOSEMA WATU WAZAE TUU, NJOONI
😂😂😂😂😂Kwanza minashangaa wanazaa kwanini, hakuna haja ya kuzaa🤨
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Makapuku wana watoto wengi matajiri wana watoto wachache hakika starehe ya masikini ni punane tu. Akiikuta anaishughulikia kweli kweli
Nduki .Duu! Ngoja kwanza nikimbie 🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Basi tusingekuwa tunauguza wagonjwa ili wafe tufanye sherehe na mwandishi wa biblia apate faidaKifo kinapaswa kuambatana na sherehe za kumtakia marehemu apokelewe vema huko mbinguni, na siyo vilio.
Biblia imeandika "kufa kwangu ni faida, kwa maana kuishi ni kristo".
Mfano angekua kafa Mama yao je?Malezi ya kisasa hayo na ni ya hovyo kupata kutokea.
Hao angekuwa amekufa house girl wao aliyewalea mpaka wakafika aged 12 hakuna angekaa normal kama walivyo hapo but kwa sababu hawajawahi kuwa karibu na baba yao kwa kiasi hicho ndiyo maana wanaona kila kitu sawa tu.