Tujifunze kitu kwa misiba ya vigogo hawa na idadi ya watoto

Waliendekeza ujinga, mambo ya uzazi wa mpango ni ujinga. Walitakiwa wawe angalau na wake wanne na watoto hata 20
 
Vijana wanajiamini wapo vizuri katika lugha n.k natumai watoto wangu pia nitahakikisha wanapata Elimu Bora Nje ya Nchi pia ..

Watanzania tunakosa Nafasi nzuri sababu ya Lugha
 
Kwahyo unawashauri maskini ambao hata Kula Yao NI ya shida waoe wake wanne na wazae kama jafo?? Au hujaelewa hata nimeandika nini, nmesema tuzae kulingana na uwezo wetu, kwahyo jafo nae wake alio nao na watoto NI kulingana na kipato chake
Umetoa mfano wa Ndugulile na Mafuru, hao ni masikini? Nami nimekupa mfano wa hao wà aina ya Ndugulile na Mafuru.
Au umesahau ulichoandika?
 
Family planning ni muhimu lakini watoto wawili ni wachache kulingana na wadhifa wa ndugulie.mwalimu tu wa shule ya msingi anaweza kuwasomesha vizuri tu watoto wake watatu au wa nne kabisa bila shida yeyote.
Hapo nimekuelewa, ukiniambia wawili NI wachache KULINGANA NA WADHIFA WAKE upo sahihi ✅
 

Hao wote waislam.. uislam unafundisha kuzaliana sana waislam wawe wengi duniani
 
Mi nilichojifunza kwenye misiba ya matajiri wafiwa hawavai madera kama huku uswahili, kwa matajiri unalamba suti unanyonga tai alaf una chill kufata ratiba tu.

Kwenye msosi mnapanga mstari kwenye buffet mnakula kwa utaratibu na wapishi wanavaa sare na hawana nongwa, huku uswahilini picha inaanza kwanza sufuria inapakwa majivu , alafu mtu mwenye roho mbaya mtaa mzima ndo anawekwa sekta ya kugawa nyama.

Kwa matajiri msiba ukiisha unatengeneza connection mpya kibao, kwa maskini hadi msiba uishe umeshatengeneza bifu na mtu mpya
 
Tujifunze hasa? Acha kupangiana maisha hatukuja duniani kufuatishana kila mtu na maisha yake we VP?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…