Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 25,252
- 36,513
Matokeo ya kupeleka watoto boarding schools tangu grade oneHawa si siku ya pili tu wamekusahau
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Matokeo ya kupeleka watoto boarding schools tangu grade oneHawa si siku ya pili tu wamekusahau
ana mkuu 🙌Kosa kubwa alilofanya ni ile akili ya MTU mweusi ya kufanya Accumulation bila distribution
Yale maeneo potential yote aliyojimilikisha kigamboni Kama angeamua kutoa ghorofa lake moja akawapa wanafunzi wakaishi bure au akawa na programs maalumu za kuwalipia Ada wanafunzi hata wanafunzi 100 kila mwaka .
Tafsiri sahihi ya utajiri ya MTU mweusi huwa inafikirisha Sana .
Watoto wawili? Kama utajiri na usomi ndo kuzaa watoto wachache kama alama ya kuwa civilized, vipi kuhusu Kikwete? Mwinyi etc?
Malezi ya kisasa hayo na ni ya hovyo kupata kutokea.Watoto wakavu utasema wamefiwa na jirani.
😀😀 Mzee naona inatoka budget maalumu kabisa ya mavazi ya msibani, watu wanapigilia aisee full ma makeup kama Ile misiba ya kwenye movie za marekaniMi nilichojifunza kwenye misiba ya matajiri wafiwa hawavai madera kama huku uswahili, kwa matajiri unalamba suti unanyonga tai alaf una chill kufata ratiba tu.
Kwenye msosi mnapanga mstari kwenye buffet mnakula kwa utaratibu na wapishi wanavaa sare na hawana nongwa, huku uswalini picha inaanza kwanza sufuria inapakwa majivu , alafu mtu mwenye roho mbaya mtaa mzima ndo anawekwa sekta ya kugawa nyama
Wewe baba yako aliwazaa wangapi?Makapuku wana watoto wengi matajiri wana watoto wachache hakika starehe ya masikini ni punane tu. Akiikuta anaishughulikia kweli kweli
Wanahuhakika wa lishe...wee na mje hapa baba wa kambo akifa unasema toba yalaaaa.....ugali wa kila siku nitaupatajeHakuna kulia kwa kugalagala na kuzimia
erere alikuwa muislamu?lowassa alikuwa muislamu? ShitholeHao uliowataja ni waislam. Uislam unafundisha kuzaliana sana ili waislam wawe wengi duniani
haya ngoja niseme tuHUWEZI kunijibu,, halafu Mimi nikuruhusu uniulize swali, swali lenyewe umeuliza la kijinga watakuja kujibu wengine.
Kama mzee kafa kaacha mali walizwa na nn weweTahadhari kwa wazazi uzungu ukizidi sana ndio haya matokeo, ujasiri unaotoa wapi mtoto mdogo unamzika Baba yako uneongelea mziki wa Prof J, sisemi alie agalegale hapana ila sisi wa Africa wazazi tukipoteza ni pigo haijalishi wewe ni nani ila wenzetu naona mpaka tabia wanaiga za huko tuliona hata kwenye msiba wa Mafuru sijui labda ndio watoto wa kileo lakini mimi nilimzika mzazi wangu kwa uchungu hata kama sikulia hadharani lakini sura yangu sikuweza kuficha dhoruba.
Ndiyo mimi namshangaa mleta mada kwani ndungulile ndiyo ameleta kitabu cha maisha?Lete kwao walikuwa wangapi? Alafu kama na uwezo wote huo ana watoto wawili Ina maana kapuku asizae, zaa kama unavyotaka wewe si mtu akupangie, maskini wewe wanakuhusu nini na njaa zao? Acha watu wazae wanavyotaka, wengine hiyo niadhabu wamepewa pesa wanazo na maisha bado wanayaogopa, watu ni matajiri Wana wtt wawili na na kilaki Tano chako Cha mwezi unatakiwa usizae kabisa, ????????????????????????
Sasa mbona unachokisema na Mimi nilichokiandika ndio kilekile? wewe kabila gani? au muhahaya ngoja niseme tu
mtu hatakiwi kupangiwa idadi ya watoto wa kuzaa IKIWA anaweza kumudu gharama za maisha
japo nahisi kwa mbaali kuna kitu nakosa hapo....
hizi mada za kimaadili zinakuwaga ngumu mno
Kwani ukilia kwa kuzimia ndo nini yaani? Walishalia kidogo inatosha.Hawa si siku ya pili tu wamekusahau
Haijalishi mali kwenye hili kufiwa ni kufiwa tu.Kama mzee kafa kaacha mali walizwa na nn wewe
Ndivyo ilivyo mkuu. Wanatuzuga hapo kumbe huko nje kuna utitiri.Kuna kitu inawezekana hatukijui Ila hao unakuta Wana watoto 2 ndani Ila nje wapo 5 hivyo kupanga ni kuchagua