Lucha
JF-Expert Member
- Aug 24, 2018
- 14,516
- 50,658
Msiba wa matajiri itifaki inazingatiwa, siyo kwetu uswahilini, niliwahi kwenda musoma nikakuta wanautamaduni wa kushangaza, kuna ule muda msibani watu huwa wanatulia kimya hawalii sasa akiingia ndugu mpya vilio ndo vinachochewa kinyama wanalia Balaa, baada ya nusu saa wanatulia akiingia tena mgeni mwingine mayowe yanaanza.😀😀 Mzee naona inatoka budget maalumu kabisa ya mavazi ya msibani, watu wanapigilia aisee full ma makeup kama Ile misiba ya kwenye movie za marekani
Ikaenda hadi yule mtu akazikwa sasa imeshapita wiki kama 3 mtaa mzima tumesahau msiba si akafika ndugu alietoka safari ya mbali hicho kilio walicholia nilijua wamepata msiba mwingine kumbe ndo staili ya kumpokea mgeni msibani full fujo.