Sio unaenda chooni unasikia watoto waliokufa kwa nyeto wanaita "baba baba baba"Yaani tukose utajiri wa pesa na tukose utajiri wa binadamu?
Ni mwendo wa kufyatua tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio unaenda chooni unasikia watoto waliokufa kwa nyeto wanaita "baba baba baba"Yaani tukose utajiri wa pesa na tukose utajiri wa binadamu?
Ni mwendo wa kufyatua tu
HakikaMakapuku wana watoto wengi matajiri wana watoto wachache hakika starehe ya masikini ni punane tu. Akiikuta anaishughulikia kweli kweli
Kama kaacha mali Huwa watu hawalii maana wanaona mwanga Bado upo kwenye familia zao,sasa baba kama Hana anacho acha ,kila sku bila kwenda kibaruani watot hawana msos unadhan akifa kilio chake kinakuaje?Nipo nacheki hapa msiba WA Ndugulile, kuacha watoto wawili tuu, pamoja alikuwa ana uwezo wa kipesa na cheo lakini kaishia kwenye watoto wawili, watoto wawili hawa naona kawakuza na kuwasomesha kwenye shule za gharama inawezekana nje ya nchi maana hata Kiswahili chao ni broken sana wanakuwa kama sio watanzania.
Lawrence Mafuru nae nadhani aliacha watoto wawili tuu.
Swali kwa makapuku wenzangu, hivi Sisi maskini tunazaa watoto wengi ili iweje? na utakuta pengne hata uwezo wa kuwahudumia tuu kikamilifu kwenye elimu na gharama za kila siku hatuwezi, nini maana ya hii?
Nahis NI vizuri kuzaa watoto kulingana na kipato chako, ambao utawamudu vizuri, utakaowapa elimu ya uhakika sio hii ya kuunga unga.
Sisi maskini tunawaza eti tukizaa watoto wengi ndio hao badae watatusaidia, wewe mzazi somesha mtoto, hudumia kwa kadiri ya uwezo wako maana ni jukumu lako, badae akipata maisha mazuri NI yeye sasa atajua atakusaidiaje, ndio ile utakuta wazazi wananunia wakwe zao wanaona kama wao ndio wanafanya wasipewe pesa na mtoto wao.
Tuzae Kwa mahesabu, utakuta mtu ana watoto wanne, halafu kapanga chumba na sebule, sasa jiulize hapo ndani wanaishije, tuwekeze nguvu kwenye kujenga uchumi Kwanza na kuzaa kwa akili.
View attachment 3167382
Hapana ndugu yangu kifo hakizoeleki japo tunajuwa sote siku tutaondoka kulia mimi sisemi kijigalalagaza nadhani sio nayosema, sisi binadamu tupo tofauti kuna watu wanazuia machozi lakini wanaumia sana kuliko hata wanaolia, ila huzuni usoni huwezi kuikwepa. George Bush alishindwa kujizuia dakika za mwisho baba yake mwenye miaka 100 kumzika na yeye ni milionea huo mfano mmoja tu. Siku tunamzika Baba yake mdogo Mo unamuona mtu ana majonzi sio lazima kulia. Mimi na uwezo wangu lakini nilimililia babu yangu na wala hakuwa tajiri.Mkuu ukitambuka kuwa kifo ni sehemu ya maisha yetu huna haja ya kulia, kinachotuliza sisi masikini ni huduma, baba alikuwa ndio muhimili mkubwa wa familia, ametutoka je! Ni nani ataihudumia familia? Hapo kulia na kujigaragaza kunapoanza.
Mbowe hataki wapumbavu, kaoe huko CCM. Usije mzalia wajukuu watekaji. Maana nyie ccm kwa kuambukizana tabia mko vizuri.Nilitaka nikaoe kwa mbowe ila sasa nimeghairi naenda kuoa kwa ndugulile
Naamini wana huzuni ila labda wanaomboleza kizungu sio kama sisi kajamba nane hapo kila nikiangalia jeneza ni kilio tuHuyo wa kike anasoma risala kama graduation speech.
Shida ya wazazi wengi wanadhani kumpa mtoto pesa shule bora ndio umemaliza, hapana familia kuwa pamoja ku share mambo mazuri pamoja inamfanya mtu ajisikie kapoteza kitu sio mtoto toka chekechea anakuona mara moja kwa wiki ukubwa tena ndio hamuonani tena kama wageni. Ndio matokeo yake haya watoto wakavu hawana walichopoteza kama pesa zipo wewe sio muhimu tena.Unadhani ni kwanini wapo hivyo?
Unapimaje.uchungu kwa kulia?Tahadhari kwa wazazi uzungu ukizidi sana ndio haya matokeo, ujasiri unaotoa wapi mtoto mdogo unamzika Baba yako uneongelea mziki wa Prof J, sisemi alie agalegale hapana ila sisi wa Africa wazazi tukipoteza ni pigo haijalishi wewe ni nani ila wenzetu naona mpaka tabia wanaiga za huko tuliona hata kwenye msiba wa Mafuru sijui labda ndio watoto wa kileo lakini mimi nilimzika mzazi wangu kwa uchungu hata kama sikulia hadharani lakini sura yangu sikuweza kuficha dhoruba.
Kama David Beckham.Mwanaume mwenye kipato na nguvu, Raha uwe timu ya mpira ndani, sio viwili kama ndege.
Binafsi, docta alitakiwa kua na watoto wengi..Nipo nacheki hapa msiba WA Ndugulile, kuacha watoto wawili tuu, pamoja alikuwa ana uwezo wa kipesa na cheo lakini kaishia kwenye watoto wawili, watoto wawili hawa naona kawakuza na kuwasomesha kwenye shule za gharama inawezekana nje ya nchi maana hata Kiswahili chao ni broken sana wanakuwa kama sio watanzania.
Lawrence Mafuru nae nadhani aliacha watoto wawili tuu.
Swali kwa makapuku wenzangu, hivi Sisi maskini tunazaa watoto wengi ili iweje? na utakuta pengne hata uwezo wa kuwahudumia tuu kikamilifu kwenye elimu na gharama za kila siku hatuwezi, nini maana ya hii?
Nahis NI vizuri kuzaa watoto kulingana na kipato chako, ambao utawamudu vizuri, utakaowapa elimu ya uhakika sio hii ya kuunga unga.
Sisi maskini tunawaza eti tukizaa watoto wengi ndio hao badae watatusaidia, wewe mzazi somesha mtoto, hudumia kwa kadiri ya uwezo wako maana ni jukumu lako, badae akipata maisha mazuri NI yeye sasa atajua atakusaidiaje, ndio ile utakuta wazazi wananunia wakwe zao wanaona kama wao ndio wanafanya wasipewe pesa na mtoto wao.
Tuzae Kwa mahesabu, utakuta mtu ana watoto wanne, halafu kapanga chumba na sebule, sasa jiulize hapo ndani wanaishije, tuwekeze nguvu kwenye kujenga uchumi Kwanza na kuzaa kwa akili.
View attachment 3167382
Ulitaka walie mpaka.kugara gara kama kwenye misiba yenu ya kiswaziWatoto wakavu utasema wamefiwa na jirani.
Nina uhakika wa mali za kutosha, nagalagala ili iweje?.Hakuna kulia kwa kugalagala na kuzimia
Walie kwa njaa au shida gani walioachiwa mkuuWatoto wakavu utasema wamefiwa na jirani.
Hili ni swali zuri sana, ila sina uhakika kama watu watajibusiwezi kukujibu
lakini niruhusu niulize hili swali; uwezo wa kuhudumia ndo kigezo pekee cha kuleta watoto duniani?
Kuna jamaa huwa anasema misiba ya kibongo hatumlili marehemu, tunalilia gap la uchumi aloliacha ataziba nani, hao wako well-off financially ndo maana labdaNaamini wana huzuni ila labda wanaomboleza kizungu sio kama sisi kajamba nane hapo kila nikiangalia jeneza ni kilio tu
Hivi kweli unaweza kuwa mtu mwema na ukawa mwanachama wa ccm. He was failure as father. Haiwezekani uwe kiongozi wa watu halafu watoto wako hata hawawezi hata kuongea lugha ya watu anao waongoza. Hii inaonyesha ni njisi hao watu tunao waita viongozi wasivyq Jari kabisa watanzania. Mtu anaye jitambuwa anahakisha anatuza asiri yake kutoka kizazi mpaka kizazi. Lakini huyo kaiba hela za wananchi akaona haitoshi mpaka watoto wake kawageuza wazungu weusi. Shame to all parent like him.Nipo nacheki hapa msiba WA Ndugulile, kuacha watoto wawili tuu, pamoja alikuwa ana uwezo wa kipesa na cheo lakini kaishia kwenye watoto wawili, watoto wawili hawa naona kawakuza na kuwasomesha kwenye shule za gharama inawezekana nje ya nchi maana hata Kiswahili chao ni broken sana wanakuwa kama sio watanzania.
Lawrence Mafuru nae nadhani aliacha watoto wawili tuu.
Swali kwa makapuku wenzangu, hivi Sisi maskini tunazaa watoto wengi ili iweje? na utakuta pengne hata uwezo wa kuwahudumia tuu kikamilifu kwenye elimu na gharama za kila siku hatuwezi, nini maana ya hii?
Nahis NI vizuri kuzaa watoto kulingana na kipato chako, ambao utawamudu vizuri, utakaowapa elimu ya uhakika sio hii ya kuunga unga.
Sisi maskini tunawaza eti tukizaa watoto wengi ndio hao badae watatusaidia, wewe mzazi somesha mtoto, hudumia kwa kadiri ya uwezo wako maana ni jukumu lako, badae akipata maisha mazuri NI yeye sasa atajua atakusaidiaje, ndio ile utakuta wazazi wananunia wakwe zao wanaona kama wao ndio wanafanya wasipewe pesa na mtoto wao.
Tuzae Kwa mahesabu, utakuta mtu ana watoto wanne, halafu kapanga chumba na sebule, sasa jiulize hapo ndani wanaishije, tuwekeze nguvu kwenye kujenga uchumi Kwanza na kuzaa kwa akili.
View attachment 3167382
Comedy, umenichekesha sana....Kwahyo unawashauri maskini ambao hata Kula Yao NI ya shida waoe wake wanne na wazae kama jafo?? Au hujaelewa hata nimeandika nini, nmesema tuzae kulingana na uwezo wetu, kwahyo jafo nae wake alio nao na watoto NI kulingana na kipato chake