MamaSamia2025
JF-Expert Member
- Mar 29, 2012
- 14,588
- 32,361
Kama una hela zaa wengi. Beckham na Christiano ndo role models wangu upande wa watu wenye hela na watoto wengi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu ukitambuka kuwa kifo ni sehemu ya maisha yetu huna haja ya kulia, kinachotuliza sisi masikini ni huduma, baba alikuwa ndio muhimili mkubwa wa familia, ametutoka je! Ni nani ataihudumia familia? Hapo kulia na kujigaragaza kunapoanza.Tahadhari kwa wazazi uzungu ukizidi sana ndio haya matokeo, ujasiri unaotoa wapi mtoto mdogo unamzika Baba yako uneongelea mziki wa Prof J, sisemi alie agalegale hapana ila sisi wa Africa wazazi tukipoteza ni pigo haijalishi wewe ni nani ila wenzetu naona mpaka tabia wanaiga za huko tuliona hata kwenye msiba wa Mafuru sijui labda ndio watoto wa kileo lakini mimi nilimzika mzazi wangu kwa uchungu hata kama sikulia hadharani lakini sura yangu sikuweza kuficha dhoruba.
Kama maisha ya zamani na sasa NI sawa vizuriHata zamani kuna watu walizaa watoto 1, 2 na wengine 10,20 na n. K
Ni gharama ipi ambayo unaweza sema serikali za nchi za Africa zinaingia kwa ajili ya wananchi.Mtu maskini akizaa mtoto anaongeza maskini mwingine duniani na kuipa serikali gharama kubwa sana ya kuhudumia umaskini wa kizazi chake.
Sawa mamaKama una hela zaa wengi. Beckham na Christiano ndo role models wangu upande wa watu wenye hela na watoto wengi
Ndandeki.Ndio mkuu, huku mitaani watoto wamejaa tele wamekosa malezi
Ndiyo maana watoto wa matajiri hawaji kuwa viongozi kwa sababu ya ujingaMakapuku wana watoto wengi matajiri wana watoto wachache hakika starehe ya masikini ni punane tu. Akiikuta anaishughulikia kweli kweli
Kwaiyo Mafuru na Ndungulile walikuwa hawana uwezo wa kuwatunza wote?Hata kama ana mmoja, hata kama ana Mia, kikubwa NI WATOTO WAWE NDANI YA UWEZO WAKE, KAMA ANAWEZA KUWATUNZA WOTE KIKAMILIFU NI SAWA
Hembu ngoja atakuja kukuelewesha mwingne, Mimi NIMESHINDWAKwaiyo Mafuru na Ndungulile walikuwa hawana uwezo wa kuwatunza wote?
Nimeshangaa.... ni kama walikua wamezoea kumuona anasuffer.Watoto wakavu utasema wamefiwa na jirani.
Tena kuna saa wana smile kabisa.Watoto wakavu utasema wamefiwa na jirani.
Mie nitachukua mfano wa tajiri namba moja duniani na wala sio wanasiasa.Nipo nacheki hapa msiba WA Ndugulile, kuacha watoto wawili tuu, pamoja alikuwa ana uwezo wa kipesa na cheo lakini kaishia kwenye watoto wawili, watoto wawili hawa naona kawakuza na kuwasomesha kwenye shule za gharama inawezekana nje ya nchi maana hata Kiswahili chao ni broken sana wanakuwa kama sio watanzania.
Lawrence Mafuru nae nadhani aliacha watoto wawili tuu.
Swali kwa makapuku wenzangu, hivi Sisi maskini tunazaa watoto wengi ili iweje? na utakuta pengne hata uwezo wa kuwahudumia tuu kikamilifu kwenye elimu na gharama za kila siku hatuwezi, nini maana ya hii?
Nahis NI vizuri kuzaa watoto kulingana na kipato chako, ambao utawamudu vizuri, utakaowapa elimu ya uhakika sio hii ya kuunga unga.
Sisi maskini tunawaza eti tukizaa watoto wengi ndio hao badae watatusaidia, wewe mzazi somesha mtoto, hudumia kwa kadiri ya uwezo wako maana ni jukumu lako, badae akipata maisha mazuri NI yeye sasa atajua atakusaidiaje, ndio ile utakuta wazazi wananunia wakwe zao wanaona kama wao ndio wanafanya wasipewe pesa na mtoto wao.
Tuzae Kwa mahesabu, utakuta mtu ana watoto wanne, halafu kapanga chumba na sebule, sasa jiulize hapo ndani wanaishije, tuwekeze nguvu kwenye kujenga uchumi Kwanza na kuzaa kwa akili.
View attachment 3167382
Huyo wa kike anasoma risala kama graduation speech.Tena kuna saa wana smile kabisa.
Hao ni wazembe tu, usilinganishe, je hana watoto wa pembeni?, sasa akina Jaffo mwenye wake wanne utasemaje, wewe zaa tu kila mtu ana mipango yake bwanaNipo nacheki hapa msiba WA Ndugulile, kuacha watoto wawili tuu, pamoja alikuwa ana uwezo wa kipesa na cheo lakini kaishia kwenye watoto wawili, watoto wawili hawa naona kawakuza na kuwasomesha kwenye shule za gharama inawezekana nje ya nchi maana hata Kiswahili chao ni broken sana wanakuwa kama sio watanzania.
Lawrence Mafuru nae nadhani aliacha watoto wawili tuu.
Swali kwa makapuku wenzangu, hivi Sisi maskini tunazaa watoto wengi ili iweje? na utakuta pengne hata uwezo wa kuwahudumia tuu kikamilifu kwenye elimu na gharama za kila siku hatuwezi, nini maana ya hii?
Nahis NI vizuri kuzaa watoto kulingana na kipato chako, ambao utawamudu vizuri, utakaowapa elimu ya uhakika sio hii ya kuunga unga.
Sisi maskini tunawaza eti tukizaa watoto wengi ndio hao badae watatusaidia, wewe mzazi somesha mtoto, hudumia kwa kadiri ya uwezo wako maana ni jukumu lako, badae akipata maisha mazuri NI yeye sasa atajua atakusaidiaje, ndio ile utakuta wazazi wananunia wakwe zao wanaona kama wao ndio wanafanya wasipewe pesa na mtoto wao.
Tuzae Kwa mahesabu, utakuta mtu ana watoto wanne, halafu kapanga chumba na sebule, sasa jiulize hapo ndani wanaishije, tuwekeze nguvu kwenye kujenga uchumi Kwanza na kuzaa kwa akili.
View attachment 3167382
Mikopo ya kugharimia maisha ya wananchi wengi maskini na matajiri wachache wakwepa kodi.Ni gharama ipi ambayo unaweza sema serikali za nchi za Africa zinaingia kwa ajili ya wananchi.
Serikali nyingi za Afrika zina endeshwa kwa mikopo na misaada ya wazungu.Maana serikali inaendeshwa kwa fedha za kodi zinazokusanywa toka kwa wananchi na wengi ni hao maskini.
Afrika kila mtu ni mkwepa kodi..
Hao matajiri ndio wakwepaji kodi wakubwa na mpaka wanaajiri watu wa kuwashauri namna ya kukwepa kodi.
Hii ndio shida ya Mwafrika. ..ubnafisi na Ulafi.Kosa kubwa alilofanya ni ile akili ya MTU mweusi ya kufanya Accumulation bila distribution
Yale maeneo potential yote aliyojimilikisha kigamboni Kama angeamua kutoa ghorofa lake moja akawapa wanafunzi wakaishi bure au akawa na programs maalumu za kuwalipia Ada wanafunzi hata wanafunzi 100 kila mwaka .
Tafsiri sahihi ya utajiri ya MTU mweusi huwa inafikirisha Sana .
Mikopo na misaada ni uzembe wetu na hao tuliowapa dhamana.Mikopo ya kugharimia maisha ya wananchi wengi maskini na matajiri wachache wakwepa kodi.
Hii ni gharama kubwa kwa serikali inayo zalisha madeni makubwa kwa serikali za Afrika.
Serikali nyingi za Afrika zina endeshwa kwa mikopo na misaada ya wazungu.
Kwanza kwa Afrika watu wengi ni wakwepa kodi. Kwanzia maskini hadi matajiri.
Afrika kila mtu ni mkwepa kodi.
Ni vile hao maskini hawajapata nafasi ya kuingia serikalini kupiga.
Ila mentality za waafrika wengi zimekaa kiwizi wizi.
Jk,Mwinyi mzee,JkNyerere,MasabuliTukianza kujilinganisha na Ndugulile na Mafuru utaona watu wengi hawàna sifa ya kuwa háta na nusu mtoto!
Siyo kweli kwamba hao wawili wanawakilisha wenye hela wote kuwa nà watoto wawili wawili.
Hao ni uzembe wao tuu mbona husemi waziri Jafo mwenye wake wanne na watoto lukuki?
Nchengerwa, Awesu, Hafidh nk wana hela na wana wake zaidi ya mmoja?
Unadhani hawa hawamjui Ndugulile, au Mafuru?