Tujifunze kitu kwa misiba ya vigogo hawa na idadi ya watoto

Kumbuka utajiri wa masikini ni watoto wake.
 
Kuna jamaa huwa anasema misiba ya kibongo hatumlili marehemu, tunalilia gap la uchumi aloliacha ataziba nani, hao wako well-off financially ndo maana labda
Nakataa hilo.
Mali haziwezi fanya usiumie kuondokewa na mzazi.

Sijui kwanini hawaoneshi huzuni ila naamini wana huzuni na kuna saa wanalia
 
Kwahyo unawashauri maskini ambao hata Kula Yao NI ya shida waoe wake wanne na wazae kama jafo?? Au hujaelewa hata nimeandika nini, nmesema tuzae kulingana na uwezo wetu, kwahyo jafo nae wake alio nao na watoto NI kulingana na kipato chake
Njoo huku nzega nikuoneshe baba wakubwa,wadogo,mashangazi wa ndugulile,wanajaa yutong mbili
 
Mimi nadhani ni suala la utashi wa mtu binafsi.....maana wapo matajiri wenye watoto lukuki...na wapo matajiri wenye watoto wachache
 
Hujamtaja elon musk, nasikia jamaa ana mchezo... wanasema ana hadi shule yake mwenyewe kwa ajili ya watoto wake!
 
Mwanaume Una hela unazaa watoto wawili kweli? Hata shetani anashangaa
Baltazar ndo maana alipita na wake za mawaziri Hadi wa cdf WA huko
 
Watoto wakavu utasema wamefiwa na jirani.

Mama yao Mchaga.
Nimeona somebody Lyimo kama sijakosea.
Wachaga wa mjini hawaliagi misibani wengi wao Sijui huwa ni kwanini.
Tena wengine utakuta wanapombeka wala haajali wala nini.
Inashangaza mno.
 
Hio elimu kaitoe kwa Waha na wasukuma
 
Kwahyo unawashauri maskini ambao hata Kula Yao NI ya shida waoe wake wanne na wazae kama jafo?? Au hujaelewa hata nimeandika nini, nmesema tuzae kulingana na uwezo wetu, kwahyo jafo nae wake alio nao na watoto NI kulingana na kipato chake

Jafo ni Mzaramo bila Shaka au sio ??
 
Hao wote waislam.. uislam unafundisha kuzaliana sana waislam wawe wengi duniani

Eti ili wanaamini itafika wakati Dunia yote itabaki na wanaoamini katika Islam tu.
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Kama vile hao wa dini nyingine wamejileta wenyewe Duniani.
 
Tajiri huwa anazaa/zalisha watoto wachache anawasomesha na kuwajengea uwezo wa kiutawala ili waje kusimamia na kuendeleza mali/miradi yake..

Masikini ye ana Bet tu anafyatua wengi ili aje kupata ata mmoja kati yao wakuja kumsaidia majukum ya kulea familia.
 
Maskini anaamini watoto ndo watamtoa kwenye umaskini wake ilhali hana hela ya kuwatunza na kuwasomesha hao watoto. Circle ya ufukara inaendelea tu.


Kwa kweli.
Mtoto analishwa uji wa sembe na haina hata tone la maziwa.
Mama mwenyewe tangu ujauzito kula yake mashaka matupu.
Chai ya rangi na kitumbua.
 
Christian ronaldo.ana watoto.wangapi? Ni.upunguani.kuzaa watoto chini ya wanne
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…