Tujifunze kitu kwa misiba ya vigogo hawa na idadi ya watoto

Hapo nimekuelewa, ukiniambia wawili NI wachache KULINGANA NA WADHIFA WAKE upo sahihi ✅
Kipato na wadhifa havitoshi kuwa sababu ya kuzaa watoto wengi ama wachache. Kuna mambo mengi sana unapozumgumzia idadi ya watoto. Kuna changamoto za uzazi, Kuna mambo mengine nje ya uwezo wa kifedha. Pia wengine hawajitaji kuwa na watoto wengi sababu ya kukosa muda wa kutosha kuwekeza kitu kwenye maisha yao. Malezi ya watoto siyo kitu rahisi sana, ni zaidi ya kipato ama uchumi mzuri
 
😂
 
Giving out for free kwa sisi weusi ni kama crime
 
Sawa, kwahyo hata kama unafanya kazi kiwandani unalipwa kwa siku elfu7 hata ukizaa watoto 10 sawa tuu ausio
Sawa tu. Yaani kama.kwako ndungulile ni mfano wa kuigwa kwenye kuzaa kulingana na kipato cha mtu kuna watu hawapaswi hata kushiriki.tendo la ndoa
 
UMESAHAUU NA MA PADREE WANAOZIKA N WAKUBWAA KABISA

KUFA WEWE MWANAUKOMEE KAMA UJAPELEKEWA KATEKISTA AKUZIKEEE
WHY ME
 
Tuzae jamani tuache masihara.
Kuzaa ni baraka.
Imeandikwa:” żarni na kuongezeka mkaojaze
Nchi .
Kuzaa watoto wengi kunpemdeza Mungu na wanadamu.
Tuache mtazamo usio sahihi wa kuzani kuzaa watoto wachache ndio kiwa wa kisasa au kwenda na wakati.
Wazungu wenyewe walishaondoa huwa mtazamo,
Siku hizi wanatotoa nao kama waafrika.
Tuzaeni wapendwa Tena sio watoto 2-3 saa kuanzia 5 nakuendelea.
 
Maybe wewe ulilia kwa sababu hukuwa na uhakika mshua amewaacha vipi hapo home. Hao wapo confident mshua kawaachaje, wana uhakika na kesho yao.

Masikini kwenye misiba tunalizwa na mengi-Not necessarily na marehemu.
 
hakutafiti vzuri, hyu alkua na agenda yake, hakua na mifano ssa katumia msiba wa muheshimiwa kama reference hai
 
lakini mimi nilimzika mzazi wangu kwa uchungu hata kama sikulia hadharani lakini sura yangu sikuweza kuficha dhoruba.
Wewe ulizika vitu 2 kwa mpigo ndiyo maana ulikuwa na uchungu sana. Ulizika future yako na ukazika mwili wa babako, lkn hawa wanazika mwili wa baba yao tu. Kwasabb future tayari baba yao amewatengenezea
 
kabisa, gen musuguri wako 172
 
Yule Bilionair wa India alokufa majuzi wanasema hajaacha mke wala mtoto.
Dunia ina mengi sana ya kushangaza.
Imagine a Bilionair 🤔🤔🤔
Kaa ha mbwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…