Uchaguzi 2020 Tujifunze kufanya siasa za kistaarabu bila kukomoana

Uchaguzi 2020 Tujifunze kufanya siasa za kistaarabu bila kukomoana

ZALEMDA

JF-Expert Member
Joined
Aug 15, 2017
Posts
1,956
Reaction score
2,225
Tukitaka maendeleo ya haraka lazima tujifunze siasa za kistarabu na siyo kuviziana au kukomoana.

Mfano kabla ya tarehe 25 August, ukipita mitandao ya kijamii kulikuwa na mtifuano juu ya kilichoitwa kufanya kampeni kabla ya wakati. Hili lilifikia wakati watu wengi tukasema kama ni kweli Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA hatapitishwa na NEC!! Jana tumeona akipitishwa kwa kishindo!! Je ,kwa nini NEC ilikaa kimya kiasi kile mpaka mh Mbowe akaingiwa na hofu kwa kusema eti kuna njama za kumuengu TL.? Hii no weakness ya Tume yetu .

Leo tunasikia eti kuna wagombea wa ubunge wameondolea kisa kasahau kuweka passport Kwenye form yake, common?? You can not be serious!! Kwa nini kukomoana??

Nasikia Tundu Naye kamwekea pingamizi Mh Rais JPM kisa passport! Huu ni utoto, kutafutana, kukomoa kuwindana etc. Nauliza Hivi jana hakuna kitu Tume ilimsaidia kwa kukagua wadhamini wake kwa kutumia busara?? Hili TL ameliona ni haki yake ila la Mh Rais kusahau passport ni kosa kubwa. Tuwage tunatumia akili. NEC mkilishililia hili mtalaniwa na damu ikimwagika iwe juu ya vichwa vyenu.

Pingamizi nyengine ni za kitoto, acheni wagombea waende uwanjani wapingane kwa hoja na siyo viroja kwa kuengua watu bila sababu ya msingi. HOJA KAMA mtu siyo raia, hakupata wadhamini halali ni za msingi.

Lakini pia why tume imtangaze mtu kuwa amechaguliwa kugombea wakati inajua fika kuwa kuna makosa? KWA NINI KUMDHALILISHA RAIS KIASI HICHO? PIA, KWA NINI FORM ZIWEKWE HADHARANI KILA MTU AZIONE?? MAANA NAJIULIZA TUNDU AMEJUAJE KUWA KWENYE FORM ZA MH JPM HAKUNA PICHA ??
 
Mh Rais Jana kaweka viambatanisho vyote ila basi tu utoto wa Lissu umezidi ni Aina ya watu Fulani wanaforce mno wajulikane.
Rejea katibu wa NEC wakati anampa taarifa Mwenyekiti wake wa NEC alisema kabisa picha nne zipo.
 
Tukitaka maendeleo ya haraka lazima tujifunze siasa za kistarabu na siyo kuviziana au kukomoana............
Akienguliwa Minja kwa kosa la picha ni sawa ila akiguswa mwingine taaaabu.Nani alivuruga uchaguzi serikali za mitaa na kuonyesha kuwa wapinzani hawajui kusoma na kuandika.Leo wasimamizi wanaongeza digit kwenye namba za simu za wadhamini na wamawaengua hapo hapo.Nisingependa JPM aenguliwe ili hili liwe ni fundisho,kwa somo kunaliwa na kwa kungwi vilevile
 
Wazo zuri ila ni afadhali zaidi kufuata taratibu mkuu kuliko utashi wa ntu na ntu.

Utashi hutofautiana.
 
Tukitaka maendeleo ya haraka lazima tujifunze siasa za kistarabu na siyo kuviziana au kukomoana.

Mfano kabla ya tarehe 25 August, ukipita mitandao ya kijamii kulikuwa na mtifuano juu ya kilichoitwa kufanya kampeni kabla ya wakati. Hili lilifikia wakati watu wengi tukasema kama ni kweli Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA hatapitishwa na NEC!! Jana tumeona akipitishwa kwa kishindo!! Je ,kwa nini NEC ilikaa kimya kiasi kile mpaka mh Mbowe akaingiwa na hofu kwa kusema eti kuna njama za kumuengu TL.? Hii no weakness ya Tume yetu...?
Ujinga mtupu ,ivi nawewe una mke ?? Kuna wanawake wameolewa na Vilaza sana.

Tafuta video ya Lissu, itizame kaelezea kwa mapana yake sheria za Uchaguzi na matakwa yake.

Ata kuongea ongea kwa kusikia.

"USIRAHISISHE MAMBO KWA KUVUNJA SHERIA"...T.Lissu
 
Tukitaka maendeleo ya haraka lazima tujifunze siasa za kistarabu na siyo kuviziana au kukomoana....

hakuna sehem magufui alikosea, ni utoto tu wa jamaa mbna sio mara ya kwanza magufuli kugombea! kukaa kimya nyo ni kampeni tosha maaana jamaa anaonekana kama lichizi flan ivi yeye kila akilala akiamka magufuli akiamka magufuli, huoni kakoswa mawe alivokua anatafuta wadhamini kifupi watu wamamchoka hata mbowe hazunguki nae maaana jamaa anajua ni tatizo tu
 
Tukitaka maendeleo ya haraka lazima tujifunze siasa za kistarabu na siyo kuviziana au kukomoana..

Mtenda akitendwa hujihisi kaonewa. Imekuuma rais kuwekewa pingamizi. Uchaguzi wa SM z mitaa ccm ilitangazwa kushinda kwa 90%+ kwa tabia hizi hizi, na ulikaa kimya.

Hivi sasa ccm ina wabunge 15+ na wote hao wamepita kwa njia hizi hizi zinazokuliza hapa. Tumekuwa tukisema sheria za kipuuzi hazina afya kwa nchi yetu ila mlikuwa kimya.

Leo mpenzi mkubwa wa siasa za kupita bila kupingwa, kakutana na yale yale yaliyokuwa yanamfanya ashinde hata alipokuwa mbunge. Haya sasa puuzeni hizo sheria zenu za kupuuzi muwe wazi peupe kuwa sio wafuata sheria.
 
Hivi anaposema Jpm hajaweka passport hii hapa Nini, [emoji116][emoji116]
IMG_20200826_215632_603.jpg
 
N
Ujinga mtupu ,ivi nawewe una mke ?? Kuna wanawake wameolewa na Vilaza sana...
Nimemsikiliza .

Jibu maswali haya f
Yafutaho:
1.form,wadhamini ,zitakaguliwa na Tume ya uchaguzi wapi? Makao makuu au wapi?maana ofisi ya wakurugenzi ni wasaidizi wa Tume ya u uchaguzi hivyo ni tume ya uchaguzi.
 
Tukitaka maendeleo ya haraka lazima tujifunze siasa za kistarabu na siyo kuviziana au kukomoana.

Mfano kabla ya tarehe 25 August, ukipita mitandao ya kijamii kulikuwa na mtifuano juu ya kilichoitwa kufanya kampeni kabla ya wakati. Hili lilifikia wakati watu wengi tukasema kama ni kweli Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA hatapitishwa na NEC!! Jana tumeona akipitishwa kwa kishindo!! Je ,kwa nini NEC ilikaa kimya kiasi kile mpaka mh Mbowe akaingiwa na hofu kwa kusema eti kuna njama za kumuengu TL.? Hii no weakness ya Tume yetu...
Naona CCM mmeanza kuomba pooooo 😂😂😂😂. Kweli Lissu Habari ingine 😂😂😂
 
Mtenda akitendwa hujihisi kaonewa. Imekuuma rais kuwekewa pingamizi. Uchaguzi wa SM z mitaa ccm ilitangazwa kushinda kwa 90%+ kwa tabia hizi hizi, na ulikaa kimya. Hivi sasa ccm ina wabunge 15+ na wote hao wamepita kwa njia hizi hizi zinazokuliza hapa. Tumekuwa tukisema sheria za kipuuzi hazina afya kwa nchi yetu ila mlikuwa kimya. Leo mpenzi mkubwa wa siasa za kupita bila kupingwa, kakutana na yale yale yaliyokuwa yanamfanya ashinde hata alipokuwa mbunge. Haya sasa puuzeni hizo sheria zenu za kupuuzi muwe wazi peupe kuwa sio wafuata sheria.
Leo CCM wanaomba poooo 😂😂😂😂

Kweli dunia inaenda kasi sana 😂😂😂😂😂
 
N
Nimemsikiliza .

Jibu maswali haya f
Yafutaho:
1.form,wadhamini ,zitakaguliwa na Tume ya uchaguzi wapi? Makao makuu au wapi?maana ofisi ya wakurugenzi ni wasaidizi wa Tume ya u uchaguzi hivyo ni tume ya uchaguzi.
Kwan Lissu kasemaje? Mimi ni Mtanzania ninayesaidiwa Masuala ya Sheria.
Weee tukutane Uwanja wa Afya ndio nitakujibu vzuri....karibu sana.

Kwa sasa Tumsikilize Tundu Lissu anasemaje [emoji23]. Kila mtu na chake .
 
Back
Top Bottom