Tukitaka maendeleo ya haraka lazima tujifunze siasa za kistarabu na siyo kuviziana au kukomoana.
Mfano kabla ya tarehe 25 August, ukipita mitandao ya kijamii kulikuwa na mtifuano juu ya kilichoitwa kufanya kampeni kabla ya wakati. Hili lilifikia wakati watu wengi tukasema kama ni kweli Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA hatapitishwa na NEC!! Jana tumeona akipitishwa kwa kishindo!! Je ,kwa nini NEC ilikaa kimya kiasi kile mpaka mh Mbowe akaingiwa na hofu kwa kusema eti kuna njama za kumuengu TL.? Hii no weakness ya Tume yetu .
Leo tunasikia eti kuna wagombea wa ubunge wameondolea kisa kasahau kuweka passport Kwenye form yake, common?? You can not be serious!! Kwa nini kukomoana??
Nasikia Tundu Naye kamwekea pingamizi Mh Rais JPM kisa passport! Huu ni utoto, kutafutana, kukomoa kuwindana etc. Nauliza Hivi jana hakuna kitu Tume ilimsaidia kwa kukagua wadhamini wake kwa kutumia busara?? Hili TL ameliona ni haki yake ila la Mh Rais kusahau passport ni kosa kubwa. Tuwage tunatumia akili. NEC mkilishililia hili mtalaniwa na damu ikimwagika iwe juu ya vichwa vyenu.
Pingamizi nyengine ni za kitoto, acheni wagombea waende uwanjani wapingane kwa hoja na siyo viroja kwa kuengua watu bila sababu ya msingi. HOJA KAMA mtu siyo raia, hakupata wadhamini halali ni za msingi.
Lakini pia why tume imtangaze mtu kuwa amechaguliwa kugombea wakati inajua fika kuwa kuna makosa? KWA NINI KUMDHALILISHA RAIS KIASI HICHO? PIA, KWA NINI FORM ZIWEKWE HADHARANI KILA MTU AZIONE?? MAANA NAJIULIZA TUNDU AMEJUAJE KUWA KWENYE FORM ZA MH JPM HAKUNA PICHA ??