DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 32,386
- 83,431
The days of ccm as ruling party are numbers
Duuu haya
Ni Haki pekee ndiyo itasababisha tukubali matokeo. Vinginevyo patachimbika!The days of ccm as ruling party are numbers
Mkuu Ali sio hali ila utashangaa wanaccm wanafurahi vibaya mno,mpaka mda huu kwanza katika jumuia za kimataifa tuko wazi kosa tu ni hawa tume kumzuia lissu ,nimesikia mahojiano ya wakili wa lissu Yani mpaka sielewi,Hili jambo jema, ila tambua watu wanataka haki, usawa, kuheshimu sheria na utii, ikiwa wasimamizi wanaanza kuendesha mchakato kwa hila nani atakubali matokeo! Wanashitakiana unamwita mmoja na kumuadhibu anaelalamikiwa kwa rushwa umgusi, unawakata wagombea wa upinzani tu, vyombo vya serikali vinasaidia kampeni upande wa utawala tu.
Utajiri wa nchi, fedha za nchi ni mali ya wananchi. Chama kilichopo madarakani kinatakiwa kusimamia utajiri, kuuendeleza na kusimamia matumizi ya fedha za wananchi na sio kuzifuja au kujinadi kama za kwao.The days of ccm as ruling party are numbers
Utajiri wote na vitu vyote vya thamani na anasa miundo mbinu yote uijuayo, haina maana kama hakuna haki usawa kuheshimu sheria na utii, na ku- oneana/dhulumiana hata Libya, Iraq hakukuwa na haki, wabaya wakaingia kati, nini kimebaki?,Utajiri wa nchi, fedha za nchi ni mali ya wananchi. Chama kilichopo madarakani kinatakiwa kusimamia utajiri, kuuendeleza na kusimamia matumizi ya fedha za wananchi na sio kuzifuja au kujinadi kama za kwao.
Kidumu chama cha demokrasia na maendeleoUtajiri wote na vitu vyote vya thamani na anasa miundo mbinu yote uijuayo, haina maana kama hakuna haki usawa kuheshimu sheria na utii, na ku- oneana/dhulumiana hata Libya, Iraq hakukuwa na haki, wabaya wakaingia kati, nini kimebaki?,