Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Wale wote mnaoponda na kudharau alichofanya Zitto hebu jaribuni kuvivaa viatu vya Alikael Mbowe au mkewe au watoto wake for five minutes only. Who knows? Labda familia imebariki ombi hilo.
Zaidi ya kupigapiga kelele humu, there is not much ambacho wakereketwa wa Chama wamefanya. Kila mtu anajua ile kesi ni ya kumkomoa Mbowe na inaweza kuendeshwa hata kwa miaka 20 ijayo.
Zaidi ya kupigapiga kelele humu, there is not much ambacho wakereketwa wa Chama wamefanya. Kila mtu anajua ile kesi ni ya kumkomoa Mbowe na inaweza kuendeshwa hata kwa miaka 20 ijayo.