Missile of the Nation
JF-Expert Member
- May 24, 2018
- 15,101
- 56,054
Kwani Lowasa alivyoenda CHADEMA ili kuwalainisha viongozi wake waache kumuita fisadi, wampe tiketi ya kigombea na wamnadi hakucheua mpunga?Humjuwi Zitto? Waulize wanao mjuwa wakupe japo data uje kurekebisha hili andiko... Wewe njoo tuungane uku tule na kunya tuwaache majasusi wapambane ...