Tujifunze kutafakari: Aliyekimbia toka Kigoma alitumiaje siku 22 umbali wa 1400KM?

Achana na hiyo stori, mi nipo hapo unapotenganisha kuchimba dawa na kukojoa....kwani kukojoa sio kuchimba dawa? Kuchimba dawa unakozungumzia hapa ni nini kwa mawazo yako?
 
 
Mkuu Ni Route ya km 1253.... Kgm-Tbr-Itigi- Manyoni-Dom-Moro-Dar. Njiani Hakuna mapori Wala wanyama wa Kutisha sanasana Mbweha na Fisi wadogo Kati ya Tura na Manyoni... Inawezekana Kabisa Kukimbia Umbali Huo Tena kwa Wastani wa Km60 kwa Siku...
 
Huyo jamaa kakimbia bhana tuache mambo zetu akimbie nani ndio utaamini...
 
Mkuu mijitu mijinga km hii mimi huwa siisikilizi kabisa. Logically jambo km hilo tena kwa jiografia ya nchi yetu ni impossible.
Alitaka afanye tu kituko ili atrend.
You guys inatakiwa mje na uthibitisho wa gari, pikipiki au guta lililombeba popote pale kuanzia Kigoma hadi Dar es salaam. Vinginevyo itakuwa ni wivu tu. Yaani kwa jogging ya kawaida anaweza kimbia umbali huo kwa siku 18 tu.
 
Anasemaje kwani kuhusu kula, kunywa, kunya, kuoga na kulala??? Sipati picha aisee. Hivi Guinness Book of Records officials wamepigiwa simu ili waje wadhibitishe wenyewe miujiza hiyo?
 
1400/22=63

Haiwezekani kwa siku binadamu atembee kilomita 63.Never!
Km63 ni Ubungo Flyover to Kibaha Maili moja then return to Ubungo Flyover.

Au tufanye hivi, kwa dakika 1 ukitembea mita 100 (urefu wa goli hadi goli), basi kwa dakika 60 utatembea mita 6000.

Na Kama kwa dakika 60 hizo (saa 1) ukitembea hizo mita 6000 (6km), basi kwa masaa 10 utatembea hizo kilomita 60.

Hapo juu ni mfano wa mtu anaetembea. Sasa kwa anaekimbia atachukua muda mfupi zaidi, na hapo ndipo unapopatikana muda wa kukojoa, kula, haja kubwa, etc
 
Mbio zirudiwe,
Mbio zirudiwe,

Sababu mechi haijachezwa Mbio zirudiwe,
(In yule jamaa's voice)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…