Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi inamaana hamuoni hapo kwenye picha anakimbia sawa na bodaboda🤣Na wewe ukaamini katembea kilometa 1400 bila kudandia usafiri wowote?
Anastahili pongeziView attachment 1782533
dmkali hesabu yako mbona inaniacha njia panda?
Kutoka Kigoma mpaka Dar ni 1400 na siku ina masaa 24 je saa moja kakimbia kilomita ngapi ni 58
1400km / 24hr = 58km je km angekimbia 88km asubuhi saa 12 mpaka usiku wa saa 1 ni masaa 13 ni 107 km
ni siku 13 tu
Huyu jamaa leo hii wamemuingiza katika Historia ya Jengo la Makumbusho ya Taifa ni si Yanga tena mavazi yake yametundikwa pale
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Na wewe ukaamini katembea kilometa 1400 bila kudandia usafiri wowote?
Shortcut ???? hahahahahTAFAKARI YANGU
Sijawahi kwenda Kigoma niliishia Tabora inawezekana ikawa jamaa kweli alikimbia kwasababu wewe umepiga Kilomita za Tanroads
Sasa kumbuka kuna Shortcut na barabara zetu nyingi zinazunguka sana mfano ukitoka Dar ukienda Tanga ukiwa unakimbia huwezi kupitia wami kitakuwa kuna njia za kati kati huko utakuta amekata nusu Jamaa badala ya ya km 450 ataenda hata 280Km haya ni tafakuri yangu
Hujaelewa nini hapo? Maana yake ni kwamba mchana wote alitembea na kukimbia meaning 12 hrs na mengine 3 yale ya alfajiri na jioni2. Mchana aliutumia kukimbia na kutembea kwa masaa zaidi ya 15 kwa siku
HAKIKA HESABU ZAKO HAZINA WALAKINI 😀
Unafahamu njia alizopita au njia zote ni hizo km zako 1400?Umbali wa kutoka kigoma kwenda Dar ni almost 1400KM
Ili ufanikiwe kutoka kigoma kwa kukimbia inabidi at most ukimbie kwa Speed ya 5km/hr ili kumaintain stability na pumzi!
Kwa maana hiyo, ili kupata mda sahihi ukichukua umbali 1400 gawa kwa mwendo 5 utapata majibu ya 280 ambayo ni idadi ya masaa kwa umbali huo mfululizo NON STOP ( Yaani hakuna kukojoa wala kula)
Masaa 280 ukichukulia alikimbia mchana NON STOP 12 Hours maana yake (280/12) ni sawa na siku 23 na masaa mawili (23.3) NON STOP
Hivyo basi, speed ya 5Km/hr kwa masaa 12 mfululizo bila kupumzika, bila kukojoa,Bila kula na kunywa, bila kuchimba dawa yaani kila sekunde na hatua, tunatarajia mtu angetumia siku 23.3 (JAMBO AMBALO HALIWEZEKANI BINADAM Kukimbia 12hrs bila kusimama)
Kama kwa gari tu ni ngumu kukimbia 12hrs pasipo kuchimba sawa, iweje kwa mkimbia kwa mguu?
Huyu jamaa kawezaje kukimbia kwa siku 22 kutoka Kigoma hadi Dar wakati kiuhalisia 12hrs NON STOP ni siku 23?
Ina maana huyo jamaa alikatiza misitu ya hatari huko nyakanazi, na kupandisha mirima pasipo KUSIMAMA 12 hours Kila siku Hadi atangazwe katumia siku 22?
Tunaambiwa alianza safari tarehe 15 April mchana, na kufika Dar tarehe 7 may ! Amewezaje kutumia mda huo ambao ni mchache zaidi ya uhalisia?
JE, hakusimama kula, kuchimba dawa, kukojoa wala n.k
Mbona sayansi inagoma?
AU NDO TUAMINI ULE MSEMO kuwa alikimbia mijini, inje ya mji alidandia maroli?
Au hii hesabu ikoje?View attachment 1782115View attachment 1782116View attachment 1782117
Njia yako yakupata jibu la hiyo hesabu ni ndefu na complex sana. Nyie ndio mlitufanya tukimbie hesabu😬😬😬🏃♂️Umbali wa kutoka kigoma kwenda Dar ni almost 1400KM
Ili ufanikiwe kutoka kigoma kwa kukimbia inabidi at most ukimbie kwa Speed ya 5km/hr ili kumaintain stability na pumzi!
Kwa maana hiyo, ili kupata mda sahihi ukichukua umbali 1400 gawa kwa mwendo 5 utapata majibu ya 280 ambayo ni idadi ya masaa kwa umbali huo mfululizo NON STOP ( Yaani hakuna kukojoa wala kula)
Masaa 280 ukichukulia alikimbia mchana NON STOP 12 Hours maana yake (280/12) ni sawa na siku 23 na masaa mawili (23.3) NON STOP
Hivyo basi, speed ya 5Km/hr kwa masaa 12 mfululizo bila kupumzika, bila kukojoa,Bila kula na kunywa, bila kuchimba dawa yaani kila sekunde na hatua, tunatarajia mtu angetumia siku 23.3 (JAMBO AMBALO HALIWEZEKANI BINADAM Kukimbia 12hrs bila kusimama)
Kama kwa gari tu ni ngumu kukimbia 12hrs pasipo kuchimba sawa, iweje kwa mkimbia kwa mguu?
Huyu jamaa kawezaje kukimbia kwa siku 22 kutoka Kigoma hadi Dar wakati kiuhalisia 12hrs NON STOP ni siku 23?
Ina maana huyo jamaa alikatiza misitu ya hatari huko nyakanazi, na kupandisha mirima pasipo KUSIMAMA 12 hours Kila siku Hadi atangazwe katumia siku 22?
Tunaambiwa alianza safari tarehe 15 April mchana, na kufika Dar tarehe 7 may ! Amewezaje kutumia mda huo ambao ni mchache zaidi ya uhalisia?
JE, hakusimama kula, kuchimba dawa, kukojoa wala n.k
Mbona sayansi inagoma?
AU NDO TUAMINI ULE MSEMO kuwa alikimbia mijini, inje ya mji alidandia maroli?
Au hii hesabu ikoje?View attachment 1782115View attachment 1782116View attachment 1782117
Alisema aliishia Moro maana aliumwa tumbo.
Sijui yale mapori yenye majambazi/kutekana huko kigoma akipitaje kwa miguu.?
Una matatizo ya akili
Angetumia km hizo si angetumia 12 days ??
Jifunze kutumia akili , i just wanted to tell you 5 km per hr n speed ya kutembea kwa mguu kawaida kabisa , that means mtu akikimbia mwendo mdogo kama wa kupasha tu anajikuta kwenye km kati ya 8 na 12 kwa saa
Utakua mfuasi wa mwendazake, ndio binadamu pekee ambao hawana akili kabisa
Umbali wa kutoka kigoma kwenda Dar ni almost 1400KM
Ili ufanikiwe kutoka kigoma kwa kukimbia inabidi at most ukimbie kwa Speed ya 5km/hr ili kumaintain stability na pumzi!
Kwa maana hiyo, ili kupata mda sahihi ukichukua umbali 1400 gawa kwa mwendo 5 utapata majibu ya 280 ambayo ni idadi ya masaa kwa umbali huo mfululizo NON STOP ( Yaani hakuna kukojoa wala kula)
Masaa 280 ukichukulia alikimbia mchana NON STOP 12 Hours maana yake (280/12) ni sawa na siku 23 na masaa mawili (23.3) NON STOP
Hivyo basi, speed ya 5Km/hr kwa masaa 12 mfululizo bila kupumzika, bila kukojoa,Bila kula na kunywa, bila kuchimba dawa yaani kila sekunde na hatua, tunatarajia mtu angetumia siku 23.3 (JAMBO AMBALO HALIWEZEKANI BINADAM Kukimbia 12hrs bila kusimama)
Kama kwa gari tu ni ngumu kukimbia 12hrs pasipo kuchimba sawa, iweje kwa mkimbia kwa mguu?
Huyu jamaa kawezaje kukimbia kwa siku 22 kutoka Kigoma hadi Dar wakati kiuhalisia 12hrs NON STOP ni siku 23?
Ina maana huyo jamaa alikatiza misitu ya hatari huko nyakanazi, na kupandisha mirima pasipo KUSIMAMA 12 hours Kila siku Hadi atangazwe katumia siku 22?
Tunaambiwa alianza safari tarehe 15 April mchana, na kufika Dar tarehe 7 may ! Amewezaje kutumia mda huo ambao ni mchache zaidi ya uhalisia?
JE, hakusimama kula, kuchimba dawa, kukojoa wala n.k
Mbona sayansi inagoma?
AU NDO TUAMINI ULE MSEMO kuwa alikimbia mijini, inje ya mji alidandia maroli?
Au hii hesabu ikoje?View attachment 1782115View attachment 1782116View attachment 1782117
Umbali wa kutoka kigoma kwenda Dar ni almost 1400KM
Ili ufanikiwe kutoka kigoma kwa kukimbia inabidi at most ukimbie kwa Speed ya 5km/hr ili kumaintain stability na pumzi!
Kwa maana hiyo, ili kupata mda sahihi ukichukua umbali 1400 gawa kwa mwendo 5 utapata majibu ya 280 ambayo ni idadi ya masaa kwa umbali huo mfululizo NON STOP ( Yaani hakuna kukojoa wala kula)
Masaa 280 ukichukulia alikimbia mchana NON STOP 12 Hours maana yake (280/12) ni sawa na siku 23 na masaa mawili (23.3) NON STOP
Hivyo basi, speed ya 5Km/hr kwa masaa 12 mfululizo bila kupumzika, bila kukojoa,Bila kula na kunywa, bila kuchimba dawa yaani kila sekunde na hatua, tunatarajia mtu angetumia siku 23.3 (JAMBO AMBALO HALIWEZEKANI BINADAM Kukimbia 12hrs bila kusimama)
Kama kwa gari tu ni ngumu kukimbia 12hrs pasipo kuchimba sawa, iweje kwa mkimbia kwa mguu?
Huyu jamaa kawezaje kukimbia kwa siku 22 kutoka Kigoma hadi Dar wakati kiuhalisia 12hrs NON STOP ni siku 23?
Ina maana huyo jamaa alikatiza misitu ya hatari huko nyakanazi, na kupandisha mirima pasipo KUSIMAMA 12 hours Kila siku Hadi atangazwe katumia siku 22?
Tunaambiwa alianza safari tarehe 15 April mchana, na kufika Dar tarehe 7 may ! Amewezaje kutumia mda huo ambao ni mchache zaidi ya uhalisia?
JE, hakusimama kula, kuchimba dawa, kukojoa wala n.k
Mbona sayansi inagoma?
AU NDO TUAMINI ULE MSEMO kuwa alikimbia mijini, inje ya mji alidandia maroli?
Au hii hesabu ikoje?View attachment 1782115View attachment 1782116View attachment 1782117
Una maoni gani kuhusu yule Muhindi ambae alikimbia zaidi ya 9900km ndani ya siku 100 huku lengo lake likiwa kukimbia 10,000km?1400/22=63
Haiwezekani kwa siku binadamu atembee kilomita 63.Never!
Na inakufanya uwe na nguvu na pia pumzi isikupotee. Ukikimbia, utafanya 20kph kwa labda saa 1 zima halafu utashindwa kuendelea kukimbia sababu ya uchovu. Wakati hiyo ya kutembea angeweza kufanya hata masaa 8 kwa siku akakava 40kph..Hiyo speed ya 5 km per hr ni speed ya kutemba sio kukimbia
Huwa unakimbia umbali gani?Yah.
Mi huwa nafanya jogging nikiwa peke yangu kwa sababu sipendagi saikolojia ya kukimbia kwenye makundi maana nahisi yananinyima fuursa ya kukimbia kwa speed ninayoitaka. Mi ni mtu wa high speed.
Huwa nakimbia 23km kwa saa kila jioni siku za kawaida na asubuhi weekend.
So huyo muha yawezekana ni mkweli