Tujifunze kutafakari: Aliyekimbia toka Kigoma alitumiaje siku 22 umbali wa 1400KM?

Umbali wa kutoka kigoma kwenda Dar ni almost 1400KM

Ili ufanikiwe kutoka kigoma kwa kukimbia inabidi at most ukimbie kwa Speed ya 5km/hr ili kumaintain stability na pumzi!
Kwa maana hiyo, ili kupata mda sahihi ukichukua umbali 1400 gawa kwa mwendo 5 utapata majibu ya 280 ambayo ni idadi ya masaa kwa umbali huo mfululizo NON STOP ( Yaani hakuna kukojoa wala kula)

Masaa 280 ukichukulia alikimbia mchana NON STOP 12 Hours maana yake (280/12) ni sawa na siku 23 na masaa mawili (23.3) NON STOP

Hivyo basi, speed ya 5Km/hr kwa masaa 12 mfululizo bila kupumzika, bila kukojoa,Bila kula na kunywa, bila kuchimba dawa yaani kila sekunde na hatua, tunatarajia mtu angetumia siku 23.3 (JAMBO AMBALO HALIWEZEKANI BINADAM Kukimbia 12hrs bila kusimama)

Kama kwa gari tu ni ngumu kukimbia 12hrs pasipo kuchimba sawa, iweje kwa mkimbia kwa mguu?

Huyu jamaa kawezaje kukimbia kwa siku 22 kutoka Kigoma hadi Dar wakati kiuhalisia 12hrs NON STOP ni siku 23?

Ina maana huyo jamaa alikatiza misitu ya hatari huko nyakanazi, na kupandisha mirima pasipo KUSIMAMA 12 hours Kila siku Hadi atangazwe katumia siku 22?

Tunaambiwa alianza safari tarehe 15 April mchana, na kufika Dar tarehe 7 may ! Amewezaje kutumia mda huo ambao ni mchache zaidi ya uhalisia?

JE, hakusimama kula, kuchimba dawa, kukojoa wala n.k
Mbona sayansi inagoma?
AU NDO TUAMINI ULE MSEMO kuwa alikimbia mijini, inje ya mji alidandia maroli?
Au hii hesabu ikoje?View attachment 1782115View attachment 1782116View attachment 1782117
Estimation ya speed zako haiko sahihi. Mtu ana uwezo wa kutembea ( na siyo kukimbia) umbali wa km 10 kwa muda wa saa moja, na kwa kukimbia nadhani anaweza akaenda hadi km 25 kwa saa. Kwa masaa kumi anaweza kwenda angalau km 200-250. Kwa hiyo akitoka Dar es Salaam anaweza kupita Morogoro kwa siku moja
 
Sehemu ya mbuga za wanyama alikuwa anapandishwa kwenye gari na sehemu nyingine alikuwa anachukua boda

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ila yale mapori i see yanatisha sana! Huyu alikuwa ameamua kukomiti suisaide! Anatakiwa achukuliwe sheria kali ili liwe funzo kwa wengine wenye mawazo kama yake😡!
Pori lipi linatisha kutoka Kigoma?
 
Kwa ulaya lazima tungeona camera ikimrekodi na kila siku kupata update ili huku gizani sasa tumeishia kumuona kigoma na taifa tu...

Hapa Ndipo Uwongo ulipo!
Ndio maana wenye akili hawakujisumbua kumpa hata Simu ya Kurekodi walijua huu ni Uwongo lengo ni Kuwapa Motisha wananchi washinde Mechi yao over!Kuna Running watch,Phone,Tungemuwekea Strava,Adidas,Runkeeper Aanze kurekodi tumuone watu walijua ni Uweongo ndio maana Hawakujisumbua Kum track
 
Hiyo km 5/lisaa ni kwa kutembea siyo kukimbia, mimi huwa natumia masaa mawl na DKK arobain kukimbia umbali wa km 42.
Nakuunga mkono. Kutembea unatumia lisaa limoja kwa km 5. hivyo kukimbia inategemea na pace.
Jogging ndo inaweza kulingana na kutembea ila kukimbia-running- lisaa limoja unaweza kukimbia km 10 au 20 kutegemea na speed unayokwenda nayo
 
1400/22=63

Haiwezekani kwa siku binadamu atembee kilomita 63.Never!
Kama alikuwa anakimbia kilometer 40 kwa masaa mawili, twice a day ni kilometer 80 kwa siku.

Ikiwa alikuwa na maandalizi ya muda mrefu atakuwa anaweza kukimbia kilometer 60/3 hrs twice a day hivyo kukimbia 120 kilometer per day.

1400/80 = 17 days

Hata hivyo huko maporini alipitaje? Hapo tu ndio natafakari
 
Juzi tu nimetembea kwa mguu kutoka keko had Serengeti breweries pale kwa dk 13 pana urefu wa km 2.6 .. nilitembea sikukimbia

Speee aliyoweka mtoa mada ni speed ya kutembea kwa mguu tena slow sana
Kabisa sio mtu unakuwa hauna uzoefu afu unaandika tu
 
Wabongo utawawezaaa kupenda kuongopeanaaa eti akimbie kutoka kigoma mpaka Dar...wakati ukipanda basii tuu ukifika miguu imevimbaa yaani jamaa mipori mizito ya kutoka Uvinza kuisaka kalihua kapasua peke yakeee... kama ndo hivyoo Guiness book of world recods si wangemsaka jamaa ni muongo mnoooo
 
Estimation ya speed zako haiko sahihi. Mtu ana uwezo wa kutembea ( na siyo kukimbia) umbali wa km 10 kwa muda wa saa moja, na kwa kukimbia nadhani anaweza akaenda hadi km 25 kwa saa. Kwa masaa kumi anaweza kwenda angalau km 200-250. Kwa hiyo akitoka Dar es Salaam anaweza kupita Morogoro kwa siku moja
Sidhani
 
HAPA NAJUA KUNA USHABIKI WA YANGA NA SIMBA NDIO ULIOINGIA KWA HUYU JAMAA YETU.

SIMBA HAWATAKI KUKUBALI KUA INAWEZEKANA MTU KUKIMBIA UMBALI HUO, WAKATI YANGA WANAAMINI INAWEZEKANA.

BINAFSI NAAMINI INAWEZEKANA KABISA KUTOKA KIGOMA MPAKA DAR KWA KUKIMBIA, KWASABABU KWENYE KILI MARATHON NAONA WATU WANAKIMBIA KM 42 KWA MASAA 2:40 SASA ITASHINDIKANA VIPI KUMALIZA KM 1200 KWA SIKU 22 TENA KWA MWANARIADHA?

WABONGO KILA KITU TUNAPENDA KUPINGA KWA KUJEUZA KILA KITU SIASA.
 
Umbali wa kutoka kigoma kwenda Dar ni almost 1400KM

Ili ufanikiwe kutoka kigoma kwa kukimbia inabidi at most ukimbie kwa Speed ya 5km/hr ili kumaintain stability na pumzi!
Kwa maana hiyo, ili kupata mda sahihi ukichukua umbali 1400 gawa kwa mwendo 5 utapata majibu ya 280 ambayo ni idadi ya masaa kwa umbali huo mfululizo NON STOP ( Yaani hakuna kukojoa wala kula)

Masaa 280 ukichukulia alikimbia mchana NON STOP 12 Hours maana yake (280/12) ni sawa na siku 23 na masaa mawili (23.3) NON STOP

Hivyo basi, speed ya 5Km/hr kwa masaa 12 mfululizo bila kupumzika, bila kukojoa,Bila kula na kunywa, bila kuchimba dawa yaani kila sekunde na hatua, tunatarajia mtu angetumia siku 23.3 (JAMBO AMBALO HALIWEZEKANI BINADAM Kukimbia 12hrs bila kusimama)

Kama kwa gari tu ni ngumu kukimbia 12hrs pasipo kuchimba sawa, iweje kwa mkimbia kwa mguu?

Huyu jamaa kawezaje kukimbia kwa siku 22 kutoka Kigoma hadi Dar wakati kiuhalisia 12hrs NON STOP ni siku 23?

Ina maana huyo jamaa alikatiza misitu ya hatari huko nyakanazi, na kupandisha mirima pasipo KUSIMAMA 12 hours Kila siku Hadi atangazwe katumia siku 22?

Tunaambiwa alianza safari tarehe 15 April mchana, na kufika Dar tarehe 7 may ! Amewezaje kutumia mda huo ambao ni mchache zaidi ya uhalisia?

JE, hakusimama kula, kuchimba dawa, kukojoa wala n.k
Mbona sayansi inagoma?
AU NDO TUAMINI ULE MSEMO kuwa alikimbia mijini, inje ya mji alidandia maroli?
Au hii hesabu ikoje?View attachment 1782115View attachment 1782116View attachment 1782117
Nimependa ulivyotumia numbers/hesabu kwenye analysis yako. Numbers hua hazidanganyi Ila kuna uwalakini kwenye calculation zako.

Kwanza pale uliposema alikimbia masaa 12 ya Mwanga. Sasa inawezekana hata masaa 12 ya Giza nayo alikimbia baadhi. Na humo ndimo alikofidia muda wa kukojoa, kula, haja kubwa etc katika masaa ya Mwanga.

Pili inawezekana kabisa speed ya kilometa 5/hr uliyompa ni ndogo. Mimi hutembea umbali wa 1.5km kwa dakika 20. Ina maana kwa lisaa limoja nitatembea umbali wa kilometa 4.5, karibia na ulizompa huyu anaekimbia.
 
Haha
 
Back
Top Bottom