Nikola24
JF-Expert Member
- Aug 26, 2024
- 222
- 517
Tuanze na hii.
Picha hii inamwonyesha tajiri akijiandaa kumpatia pesa masikini aliyekaa chini na kioo.Pia tunamuona tajiri akijiangalia kwenye kioo Cha masikini.
Maana yake ni kwamba ,kama tutajiona wenyewe kama wenye shida na uhitaji hakika tutaguswa kuwasaidia.
Picha ya pili hapa inaonyesha watu wakitembea Katika foleni huku wameziba macho yao.Kiongozi wao anaonekana kuwa kipofu.
Maana ya hii picha ni kuwa watu hawapendi kuhangaika wao hufuata mkumbo bila kuangalia .