Pendaelli
JF-Expert Member
- Feb 13, 2014
- 11,050
- 31,412
Hapana mkuu kuna tofauti kubwa sana kati ya tabasamu la furaha na la masikitikoBasi kucheka na kulia kumefanana sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana mkuu kuna tofauti kubwa sana kati ya tabasamu la furaha na la masikitikoBasi kucheka na kulia kumefanana sana
Basi mimi hizo sura kila nikizitazama naona kama zinaliaHapana mkuu kuna tofauti kubwa sana kati ya tabasamu la furaha na la masikitiko
Tafsiri yake ni kwamba watu hukwama kwenye mapenzi na kuwazuia kufikia malengo yaoView attachment 3261858
Wanaume kabla ya kuyafikia mafanikio wengi tunaishia hapo
Hizi picha ni ai generated. ,Zina kasoro kiuhalisia.View attachment 3261860
Wanafuraha sana japo ni maskini sana
HahahaView attachment 3261866
Hii ina maanisha mwanaume kaa ukijua unapomuacha mkeo sehemu za mbali mbo o ni nyingi ipo ambayo itafanikiwa kumuingia