Ndio ishawahi nitokeaHakika. Umewahi kuguswa na hali ya mwenzio baada kuwazia ndio wewe mwenye hali ya mwenzako?
mapema kabisa haipingwiYeah nitaweka nyingine, shukrani.
Utafanya ulicho jifunza hapo?
Well saidTuanze na hii.
View attachment 3261831
Picha hii inamwonyesha tajiri akijiandaa kumpatia pesa masikini aliyekaa chini na kioo.Pia tunamuona tajiri akijiangalia kwenye kioo Cha masikini.
Maana yake ni kwamba ,kama tutajiona wenyewe kama wenye shida na uhitaji hakika tutaguswa kuwasaidia.
Picha ya pili hapa inaonyesha watu wakitembea Katika foleni huku wameziba macho yao.Kiongozi wao anaonekana kuwa kipofu.
Maana ya hii picha ni kuwa watu hawapendi kuhangaika wao hufuata mkumbo bila kuangalia .
View attachment 3261835
KahawaView attachment 3261858
Wanaume kabla ya kuyafikia mafanikio wengi tunaishia hapo
Mbona kama wanaliaView attachment 3261860
Wanafuraha sana japo ni maskini sana
So,it means...View attachment 3261866
Hii ina maanisha mwanaume kaa ukijua unapomuacha mkeo sehemu za mbali mbo o ni nyingi ipo ambayo itafanikiwa kumuingia
Tatizo la AI sasa hivi.View attachment 3261860
Wanafuraha sana japo ni maskini sana
Hizi ni kweli kabisa mkuuTatizo la AI sasa hivi.
Hizo picha ni, za watoto kweli?
Noo!wacheka kabisa na tabasamu la aina yakeMbona kama wanalia
Basi kucheka na kulia kumefanana sanaNoo!wacheka kabisa na tabasamu la aina yake