Pendaelli JF-Expert Member Joined Feb 13, 2014 Posts 11,050 Reaction score 31,412 Mar 6, 2025 #21 Al-mukheef said: Basi kucheka na kulia kumefanana sana Click to expand... Hapana mkuu kuna tofauti kubwa sana kati ya tabasamu la furaha na la masikitiko
Al-mukheef said: Basi kucheka na kulia kumefanana sana Click to expand... Hapana mkuu kuna tofauti kubwa sana kati ya tabasamu la furaha na la masikitiko
Al-mukheef JF-Expert Member Joined Feb 2, 2025 Posts 3,727 Reaction score 3,777 Mar 6, 2025 #22 Pendaelli said: Hapana mkuu kuna tofauti kubwa sana kati ya tabasamu la furaha na la masikitiko Click to expand... Basi mimi hizo sura kila nikizitazama naona kama zinalia
Pendaelli said: Hapana mkuu kuna tofauti kubwa sana kati ya tabasamu la furaha na la masikitiko Click to expand... Basi mimi hizo sura kila nikizitazama naona kama zinalia
Nikola24 JF-Expert Member Joined Aug 26, 2024 Posts 222 Reaction score 517 Mar 6, 2025 Thread starter #23 Binti Sayuni03 said: Hii ya kwanza ina funzo kubwa sana Click to expand... Kweli kabisa inagusa sana
Nikola24 JF-Expert Member Joined Aug 26, 2024 Posts 222 Reaction score 517 Mar 7, 2025 Thread starter #24 Wagumu Tunadumu said: View attachment 3261858 Wanaume kabla ya kuyafikia mafanikio wengi tunaishia hapo Click to expand... Tafsiri yake ni kwamba watu hukwama kwenye mapenzi na kuwazuia kufikia malengo yao
Wagumu Tunadumu said: View attachment 3261858 Wanaume kabla ya kuyafikia mafanikio wengi tunaishia hapo Click to expand... Tafsiri yake ni kwamba watu hukwama kwenye mapenzi na kuwazuia kufikia malengo yao
Nikola24 JF-Expert Member Joined Aug 26, 2024 Posts 222 Reaction score 517 Mar 7, 2025 Thread starter #25 Pendaelli said: View attachment 3261860 Wanafuraha sana japo ni maskini sana Click to expand... Hizi picha ni ai generated. ,Zina kasoro kiuhalisia.
Pendaelli said: View attachment 3261860 Wanafuraha sana japo ni maskini sana Click to expand... Hizi picha ni ai generated. ,Zina kasoro kiuhalisia.
Nikola24 JF-Expert Member Joined Aug 26, 2024 Posts 222 Reaction score 517 Mar 7, 2025 Thread starter #26 To yeye said: Picha namba mbili 🥴 Click to expand... Yeah picha nambabili ni kipofu akiwaongoza watu waliofumba macho. Ni fumbo zuri linalotuonya kuhusu kufuata mkumbo.
To yeye said: Picha namba mbili 🥴 Click to expand... Yeah picha nambabili ni kipofu akiwaongoza watu waliofumba macho. Ni fumbo zuri linalotuonya kuhusu kufuata mkumbo.
Nikola24 JF-Expert Member Joined Aug 26, 2024 Posts 222 Reaction score 517 Mar 7, 2025 Thread starter #27 Wagumu Tunadumu said: View attachment 3261866 Hii ina maanisha mwanaume kaa ukijua unapomuacha mkeo sehemu za mbali mbo o ni nyingi ipo ambayo itafanikiwa kumuingia Click to expand... Hahaha
Wagumu Tunadumu said: View attachment 3261866 Hii ina maanisha mwanaume kaa ukijua unapomuacha mkeo sehemu za mbali mbo o ni nyingi ipo ambayo itafanikiwa kumuingia Click to expand... Hahaha