Tujifunze kuwaambia watu tunawakubali, kuliko kuwaiga na kufanya ushindani.

That's true, Huwezi kujua mambo mengi kama wewe sio mtu wa kuuliza maswali, mimi nauliza sana maswali mpaka Sometimes inakuwa kero.

Pia watu walio smart ni wachache kulinganisha na ambao hawapo smart, hivyo muda mwingi unajikuta upo na watu wa kawaida na wakijua unauwezo mkubwa ndipo matatzo huanzia hapo.
Mimi nikikaa na watu huwa nakuwa msikilizaji saana na kuuliza maswali kadhaa juu ya fani ya mtu yule.

Sasa jambo la ajabu nasangaa watu wale nikiwa sipo husifia kwamba safuher ana akili sana,najiuliza akili kwa sababu ya kuuliza ?

Ila baadae nikapata majibu kwamba kumbe ukiwa mdadisi kwa mtu ana utaalamu fulani basi mtu yule hukutafsiri kuwa una akili kwa sababu wenye akili ndio ambao wana kiu ya kujifunza
 
Maswali ni ufunguo wa ujuzi, pasipo kuuliza maswali huwezi kujifunza mengi.

Lakini mkuu nimependa they way ulivyo eleza, ni wachache sana wenye personality ya aina hiyo.
 
Sijisifu lakini wapo wengi wanao nisikiliza, na mimi hulka yangu ni kushare ninayo yafahamu kwa watu wengine.
Kawaida yangu, na yeyote, ukigundua unaongea na asiyetambua mambo au kujitambua unanyamaza. Au kuongea point rahisi kulingana na uwezo wake. Uking'ang'ana na maneno yako ni sawa na kuingia wodini kupigana wagonjwa na kujifisu una nguvu.
 
Hakuna niliye mlazimisha kunisikiliza, ila marafiki wengi wa karibu ndyo hugeuka baada ya kujua kina cha fikra zangu.

Mwanga haufichiki kwa kufunikwa na kitambaa, ni sawa na fikra haziwezi kufichika hata usiposema jambo.
 
Back
Top Bottom