safuher
JF-Expert Member
- Feb 11, 2019
- 11,837
- 17,412
Mimi nikikaa na watu huwa nakuwa msikilizaji saana na kuuliza maswali kadhaa juu ya fani ya mtu yule.That's true, Huwezi kujua mambo mengi kama wewe sio mtu wa kuuliza maswali, mimi nauliza sana maswali mpaka Sometimes inakuwa kero.
Pia watu walio smart ni wachache kulinganisha na ambao hawapo smart, hivyo muda mwingi unajikuta upo na watu wa kawaida na wakijua unauwezo mkubwa ndipo matatzo huanzia hapo.
Sasa jambo la ajabu nasangaa watu wale nikiwa sipo husifia kwamba safuher ana akili sana,najiuliza akili kwa sababu ya kuuliza ?
Ila baadae nikapata majibu kwamba kumbe ukiwa mdadisi kwa mtu ana utaalamu fulani basi mtu yule hukutafsiri kuwa una akili kwa sababu wenye akili ndio ambao wana kiu ya kujifunza