Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee naipata wapi hii hukumu na mimi nisomeNimesoma hukumu yote, ndoa ya kwanza ilikuwa ya mke mmoja kwa hiyo yeye alikuwa ni hawara tu . Na pia alifoji baadhi ya nyaraka. Aibu yale loh
Shida ndoa iliotangulia ni ya mke mmoja na haikuvunjwaVicky akate rufaa tu mahakama ya juu. Ndoa ni ndoa , Tanzania inatambua ndoa za mke zaidi ya mmoja.
Wanasheria uchwara sasa [emoji23][emoji23]Vicky akate rufaa tu mahakama ya juu. Ndoa ni ndoa , Tanzania inatambua ndoa za mke zaidi ya mmoja.
Huu ushauri ni kwa wale wanaotegemea zaidi kupata mali za urithi. Kwa wale wanaohitaji tu kupata ndoa ili wapate watoto, hilo wala halitawasumbua!TUJIFUNZE KWA Vicky jamani kuhusu ndoa. Unakutana na mtu anakwambia nimefunga ndoa na Fulani ndoa ya serikali. Sasa huba nilemeee, wewe unafunga NAE Tena ndoa ya dini may be kanisani.
Ndugu zangu, wewe unayefunga Nae ndoa ya pili wakati ndoa ya kwanza haijavunjwa MAHAKAMANI huna haki kisheria na ndoa yako NI batili. Tuache kujizima data,nasema hakikisha umeonyeshwa hati ya talaka. Serikali ndio inatoa vyeti vya ndoa iwe ya kiserikali/kidini na zote huwa NI halali kisheria.
Na ndoa huvunjwa mahakamani.Hata uwe na CHETI Cha ndoa ya kanisani sijui akatokea mwenzio aliyefunga ndoa ya kiserikali kabla yako,ndoa yako no batili.
Hata Kama hawana mawasiliano, CHETI kipo na hawajavunja ndoa. Kisheria ndoa yao NI halali na NI HAI
KUMBUKA HAKUNA NDOA JUU YA NDOA.
TUNAVYOISHI LEO, TUKUMBUKE NA KESHO YETU.
Vicky akate rufaa tu mahakama ya juu. Ndoa ni ndoa , Tanzania inatambua ndoa za mke zaidi ya mmoja.
Hata Mimi niliamini ndoa ya kikristo haivunjwi CHINI ya just.lakini sio.Mahakama unatoa hati ya kuwatenganisha.Rejea ndoa ya kafulila na Jesca.1. Uanasheria ni taaluma ili uipate itakupasa utumie miaka zaidi ya minne.
2. Ndoa ya Kikristo ili iwe ya Kikristo inavigezo vyake vikuu vinavyoitofautisha na ndoa zingine.
VIGEZO hivyo ni;
a) Haina Talaka, mpaka kifo kiwatenganishe
b) Ni Mke na Mume mmoja.
Mpaka hapo unaweza mpa ushauri dadaako akate rufaa au unataka akapoteze muda na Pesa zake
Hawakujaliwa kupata watoto pamoja.Kwani uyoo Vicky hakuwa na watoto na marehemu